NDEGE YALAZIMIKA KUTUA KWA DHARURA KUTOKANA NA HOFU YA UWEPO WA VILIPUZI
- Ndege hiyo ya Shirika la Ryanair ilitua baada ya ujumbe kuwa kuna vilipuzi kupatikana chooni
- Watu wawili wamekamatwa kwa tuhuma za kutishia kuhatarisha ndege
Soma - https://jamii.app/RyanairBombNote

DKT. CHARLES KIMEI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
- Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei amechukua fomu kupitia CCM
- Rais Magufuli aliwahi kumsifu kwa utendaji wake na kusema atampatia nafasi Serikalini
Angalia: https://youtu.be/fSHUo2YqJOw
#Uchaguzi2020

YouTube
Dkt. Charles Kimei achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea Ubunge Jimbo la Vunjo
Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea Ubunge Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro
Hadi Bunge linavunjwa Juni 16, 2020 Jimbo hilo lilikuwa chini ya Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.…

UGANDA: VISA VYA #COVID19 VYAFIKIA 1,040
- Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575
- Aidha, madereva kutoka Kenya-23, Congo-2 na Tanzania-2 wamerudishwa nchini mwao baada ya kukutwa na maambukizi
Soma https://jamii.app/Corona1040-UG
#JFCOVID19_Updates

MWANZA: MWANDISHI ALBERT SENGO AHUKUMIWA KWA KUTOA MAUDHUI BILA LESENI
> Albert Sengo amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 au kifungo cha Mwaka 1 kwa kutoa taarifa na kuendesha Kituo cha habari mtandaoni (GSENGO Online TV) bila kuwa na leseni
> Amelipa faini na kuachiwa huru
Soma - https://jamii.app/HukumuSengo

SERIKALI: MECHI YA SIMBA YA YANGA IMEONESHA ELIMU ZAIDI INAHITAJIKA KUHUSU #COVID19
> Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, Serikali iliruhusu mashabiki 30,000 kati ya 60,000 kwa lengo la mashabiki kuachiana nafasi ila hali ilikuwa tofauti licha ya baadhi ya majukwaa kuwa tupu
Soma - https://jamii.app/COVID19Viwanjani

CHINA YAKUMBWA NA MAFURIKO MAKUBWA, MITO 33 YAFURIKA
- Mafuriko hayo yamepelekea vifo vya Watu zaidi ya 140 na kuathiri wengine Milioni 38
- Majimbo yaliyoathirika zaidi ni Jiangxi, Hubei, Hunan, Anhui, Zhejiang, Jiangsu na Chongqing
Soma https://jamii.app/MafurikoChina

SERIKALI YAPINGA MAOMBI YA WADHAMINI WA TUNDU LISSU KUJIONDOA
- Upande wa Mashtaka umewasilisha pingamizi la awali Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupinga maombi yaliyowasilishwa na wadhamini wa Tundu Lissu ya kujiondoa kuendelea kumdhamini
Soma - https://jamii.app/PingamiziWadhaminiLissu

HOJA: KWANINI WAZAZI WENGINE HUZUNGUMZIA WATOTO WAO VIBAYA KWA WATU WENGINE?
> Mdau wa JamiiForums.com anasema unaweza kusikia maneno mabaya yakisemwa na mzazi wako kwa watu. Mfano; utasikia maneno kama "Huyo fulani kwani mipango yake huwa ni mizuri? Ona sasa kasoma lakini hana kazi, anatangatanga tu''
> Mdau anaomba kufahamu namna gani ya kuishi na mzazi wa namna hii? Je, nawe ulishapitia kadhia hii? Una mtazamo gani kuhusu wazazi wa aina hii?
Mjadala - https://jamii.app/KejeliMzaziMtoto

WANA-CCM ZAIDI YA 100 WACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE KAWE, KINONDONI
- Ikiwa ndio siku ya 1, watu 31 wamechukua fomu kwa Jimbo la Kinondoni huku 80 wakichukua kwa Jimbo la Kawe
- Zoezi la kuchukua na kurudisha fomu litakamilika Julai 17
Angalia - https://youtu.be/hOsZ6psjfDU

MAHUSIANO: KUMWAMBIA MWANAMKE 'FANYA MAARIFA' HUMAANISHA NINI?
> Baadhi ya wadau wa JamiiForums.com wanasema kauli hii humtaka Mwanamke kujiongeza hata kwa kwenda kukopa unga dukani ili familia isilale njaa au kwa yule mwenye akili zaidi atakuwa ana akiba yake kidogo na huo ndiyo muda wa kuitumia
> Wengine wanasema kauli hii huweza kumfanya Mwanamke kutafuta mchepuko nje ya ndoa kwa ajili ya kuitunza familia yake
Je, kauli hii inaamaanisha nini? Ni maarifa gani ambayo Mwanaume akishindwa, Mwanamke ndiyo atayaweza?
Mjadala zaidi - https://jamii.app/MaarifaNdoaMke

UFILIPINO: WAGONJWA WA #CORONAVIRUS KUSAKWA NYUMBA KWA NYUMBA
- Mamlaka zitaendesha msako huo wenye lengo la kudhibiti maambukizi ya #COVID19
- Aidha, Waziri wa Mambo ya Ndani ameonya kuwa watakaogoma kutoa ushirikiano wanaweza kwenda jela
Soma https://jamii.app/WagonjwaCoronaUfilipino

TMA YATAHADHARISHA HALI MBAYA YA HEWA
- Imetoa angalizo la upepo mkali kuanzia Julai 15-18, 2020, kwa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi
- Mikoa itakayoathirika ni Lindi, Mtwara, Dar, Tanga, Pwani, Unguja na Pemba
Soma https://jamii.app/TMAUtabiri

UINGEREZA YAPIGA MARUFUKU HUAWEI KUWEKA MITAMBO YA 5G
- Marufuku iliyotolewa na Uingereza ni ushindi mkubwa kwa Marekani ambayo imekuwa ikishinikiza mataifa kupiga marufuku kampuni hiyo ya China kwa madai kuwa ni tishio kwa usalama wa taifa
Soma - https://jamii.app/UKBansHuawei

GOOGLE WATUHUMIWA KUINGILIA FARAGHA ZA WATUMIAJI, WATAKIWA KULIPA FIDIA
- Inadaiwa Google imekuwa ikikusanya taarifa za watumiaji wakiwa 'online', kujua wanatafuta nini na wanafanya nini kwenye 'App' zao hata wakiwa kwenye 'private mode'
Soma - https://jamii.app/GoogleTracking

MAREKANI: MUIGIZAJI NICK CANNON ATUHUMIWA KUWA MBAGUZI BAADA YA KUWAFANANISHA WAZUNGU NA WANYAMA
- Amesema wazungu wapo chini ikilinganishwa na watu weusi kutokana na ukosefu wa 'Melanin'
- Kutokana na hilo, Kampuni ya ViacomCBS yaacha kufanya naye kazi
Soma - https://jamii.app/NickCannonRacism

URUSI: RAIS PUTIN ARAHISISHA MCHAKATO WA WAGENI KUPATA URAIA
- Kulingana na Sheria mpya, mchakato umekuwa rahisi zaidi kwa raia wa baadhi ya nchi kuwa Warusi
- Urusi inatarajia kuvutia wahamiaji wapatao Milioni 10 hadi kufikia mwaka 2025
Soma - https://jamii.app/SheriaUraiaUrusi

FAHAMU KUHUSU BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA MAZAO YA NAFAKA
> Mazao ya vyakula hususan nafaka yamekuwa na mchango mkubwa sana katika kuongeza fursa za kiuchumi kutokana na kwamba vyakula hivi ni muhimu kwa binadamu wote duniani
> Kwa kawaida nafaka zote huwa bei ndogo wakati zinapovunwa na bei hupanda kadri muda unavyoenda. Hivyo hakuna siku utapata hasara kwa kuhifadhi nafaka endapo utafuata taratibu za uhifadhi ili zisiharibiwe na wadudu
Zaidi, soma - https://jamii.app/BiasharaNafaka

RC MAKONDA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
> RC wa Dar, Paul Makonda amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge huo kupitia CCM
> Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile
Soma https://jamii.app/MakondaMPKigamboni

MNYIKA ATANGAZA KUTOGOMBEA UBUNGE. KUBENEA ATHIBITISHA HAJACHUKUA FOMU
- Mnyika amesema hatogombea ili atumikie ipasavyo Ukatibu Mkuu wa Chama hicho
- Aidha, Saed Kubenea amesema ni kweli hajachukua fomu kwa tiketi ya CHADEMA kuwania Ubunge Ubungo
Soma https://jamii.app/Ubunge2020

MAREKANI: VISA VIPYA 67,417 VYA #COVID19 VYARIPOTIWA
- Marekani ina jumla ya visa 3,868,873 na vifo 143,943 vya #CoronaVirus huku waliopona wakiwa 1,523,103
- Utabiri mpya unakadiria vifo 224,000 hadi kufikia Novemba 01, 2020
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates