MICHEZO: MAN CITY YASHINDA RUFAA YA KUTOCHEZA MICHUANO YA ULAYA KWA MISIMU MIWILI
- Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) imeiondolea Man. City adhabu hiyo
- Pia, imeipunguzia faini iliyotolewa awali na kuwataka walipe Yuro Milioni 10
Soma - https://jamii.app/ManCityYashindaRufaa

#CORONAVIRUS: FAMILIA YA MUIGIZAJI AMITABH BACHCHAN YAPATA MAAMBUKIZI YA #COVID19
> Waliopata maambukizi ni Aishwarya Rai Bachchan (46), pamoja na mwanaye, Aaradhya (8)
> Wengine ni Mume wake, Abhishek Bachchan na Baba Mkwe wake, Amitabh Bachchan
Soma > https://jamii.app/FamiliaAmitabhCOVID19

ENGLAND: MTOTO WA MIAKA 12 AKAMATWA BAADA YA WILFRIED ZAHA KUPOKEA UJUMBE WA KIBAGUZI
- Polisi wamethibitisha kumkamata mtoto huyo kutoka Solihull akihusishwa na tukio hilo
- Ligi Kuu ya Soka imesema wanasimama na Zaha kupinga ubaguzi
Soma - https://jamii.app/WilfriedZahaRacism

MADELINE SWEGLE: MWANAMKE WA KWANZA MMAREKANI MWEUSI KUENDESHA NDEGE YA KIVITA (TACTICAL JET)
> Luteni Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita (tactical jet) katika kikosi cha Wanamaji nchini Marekani
> Atatunukiwa cheo cha βWings of Goldβ Mwezi huu
Zaidi, soma - https://jamii.app/SwegleFighterPilot

KENYA: VISA VYA #CORONAVIRUS VYAFIKIA 10,294
- Watu 189 zaidi wamekutwa na maambukizi ya #COVID19 baada ya sampuli 1,205 kufanyiwa vipimo
- Aidha, wagonjwa waliopona wamefikia 2,946 na vifo vilivyorekodiwa hadi sasa ni 197
Soma https://jamii.app/Corona10294-KE
#JFCOVID19_Updates

HANDENI, TANGA: WANANCHI WASHAMBULIWA KWA MAPANGA. MMOJA AFARIKI
> Mtu mmoja ameuawa huku 4 akiwemo mtoto wakijeruhiwa baada ya kukatwa mapanga jana jioni
> Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha tukio hilo
Soma - https://jamii.app/MapangaHandeni

AFYA: ZIFAHAMU NJIA ZA UZAZI WA MPANGO (FAMILY PLANNING METHODS)
> Kuna aina kadhaa za njia za uzazi wa mpango ikiwemo njia za muda mfupi kama (kondomu,vidonge), njia za muda mrefu kama vipandikizi na Lupu na njia za kudumu (kufunga kabisa uzazi kwa Mwanamke au Mwanaume)
> Uzazi wa mpango unapangwa na wenza wote wawili hivyo wote wanapaswa kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupata elimu na kuchagua njia itakayowafaa. Huduma za uzazi wa mpango zinatolewa bure
Zaidi, soma - https://jamii.app/UzaziMpango

NIDA KUTOZA FEDHA TAASISI ZINAZOTUMIA TAARIFA ZAKE KUHUDUMIA WANANCHI
> Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Geofrey Tengeneza amesema Kampuni za simu, NSSF, Bima ya Afya, Benki na wadau wengine ambao ili waweze kutoa huduma kwa wateja wao wanahitaji kupata Taarifa NIDA ni lazima kuzilipia ili kuendelea kupata huduma hiyo
Soma - https://jamii.app/TozoNIDATaarifa

#CORONAVIRUS-SRI LANKA: SERIKALI YAAGIZA SHULE KUFUNGWA TENA, WIKI 1 BAADA YA KUFUNGULIWA
- Imesema wamefikia uamuzi huo kutokana na maelekezo ya Mamlaka za Afya
- #SriLanka imerekodi maambukizi 2,631, vifo 11 na waliopona ni 1,981
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

IVORY COAST: MAKAMU WA RAIS AJIUZULU SIKU CHACHE BAADA YA KIFO CHA WAZIRI MKUU
- Makamu wa Rais wa nchi hiyo Daniel Kablan Duncan amejiuzulu wadhifa huo
- Imeelezwa kuwa, Makamu huyo anaachia nafasi hiyo kutokana na sababu binafsi
Soma - https://jamii.app/IvoryCoastVPResigns

MDAU: JE, NI SAHIHI KUTOPOKEA NAMBA NGENI/NAMBA MPYA?
> Mdau wa JamiiForums.com anasema kuna watu wamejiwekea utaratibu kwamba hata iweje, namba ngeni ikipiga simu kamwe hatopokea. Hii iko pande zote kwa Wanaume na Wanawake na kila mtu huwa na sababu zake
> Anahoji: Je, huoni haja ya kumsikia anayekupigia ni nani kabla hujampotezea?
> Sababu gani hupelekea watu kutopokea namba mpya? Je, ulishawahi kupoteza fursa ya maana kwa kutopokea namba ngeni?
Mjadala - https://jamii.app/SimuNambaMpya

KENYA: MGONJWA WA KWANZA WA #COVID19 KATIKA KAUNTI YA ISIOLO KUISHTAKI SERIKALI
> Osman Shariff (62) amepanga kudai fidia ya Ksh. Milioni 25 akidai alipata matatizo ya kunyanyapaliwa na kupoteza wateja katika biashara yake baada ya wafanyakazi wa idara ya afya kuweka picha yake kwenye mitandao ya kijamii
Soma - https://jamii.app/CoronaLawSuitKE

MADAGASCAR: WABUNGE 2 WAFARIKI KWA #COVID19, 25 WAPATA MAAMBUKIZI
- Taarifa hiyo imetolewa na Rais Andry Rajoelina. Aprili alizindua dawa aliyodai inatibu #CoronaVirus
- Nchi hiyo ina visa 5,080, vifo 37 na wagonjwa 2,494 waliopona
Soma https://jamii.app/COVID19Madagascar

TUNDURU, RUVUMA: WAZAZI WAKAMATWA KWA KUWAFUNDISHA WATOTO WADOGO NGONO
> Wazazi 35 wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike wa miaka chini ya 8 mbinu za kuishi na Wanaume na kufanya ngono maarufu kama msondo
> Pia, Mtendaji na Mwenyekiti wa Kijiji wamekamatwa kwa kushindwa kuchukua hatua
Soma - https://jamii.app/MsondoWatoto

NEC: HAKUTAKUWA NA PUNGUZO AU NYONGEZA YA MAJIMBO KATIKA UCHAGUZI MKUU
- Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema kutakuwa na majimbo 214 kwa Tanzania Bara na 50 Zanzibar
- Pia, NEC inatarajia kuwa na vituo 75,000 na kila kituo kitakuwa na watu 5
Soma https://jamii.app/NECUchaguzi2020

DR CONGO: WHO YATOA TAHADHARI KUFUATIA ONGEZEKO LA VISA VYA EBOLA
- Visa 48 vimethibitishwa tangu kuibuka upya kwa #Ebola mwezi Juni
- Shirika la Afya limesema watu 20 wamefariki, na 11,327 wamepatiwa chanjo ya ugonjwa huo mwezi uliopita
Soma - https://jamii.app/EbolaOutbreakDRCongo

HONG KONG: MAMLAKA ZATANGAZA MASHARTI KUDHIBITI MLIPUKO WA #COVID19
- Wananchi watalazimika kuvaa barakoa kwenye usafiri wa umma
- Vilevile, mikusanyiko itahusisha watu 4 pekee huku migahawa na sehemu za mazoezi (gym) zikifungwa
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
- Wananchi watalazimika kuvaa barakoa kwenye usafiri wa umma
- Vilevile, mikusanyiko itahusisha watu 4 pekee huku migahawa na sehemu za mazoezi (gym) zikifungwa
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates
NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAOMBWA KUFUNGUA SAFARI ZA NDEGE KIMATAIFA
> Baraza la Biashara la Nchi za Afrika Mashariki (EABC), limezisihi nchi zote kuruhusu safari za Kimataifa ili kufungua biashara na shughuli za kitalii katika Ukanda huo
> Tanzania, Kenya na Rwanda zimeanza kufungua anga zao
Soma - https://jamii.app/SafariNdegeEAC

HAI: WATUHUMIWA 2 WA DAWA ZA KULEVYA NA GONGO WADAIWA KUTOROKA MAHABUSU
> Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Emmanuel Lukula amethibitisha watuhumiwa kutoroka wakiwa chini ya uangalizi wa Polisi. Mmoja anatuhumiwa kusafirisha Mirungi na mwingine alipatikana na Gongo
> Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea
Soma - https://jamii.app/WatuhumiwaWatoroka

AGGREY MWANRI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA SIHA
- Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Tabora, Aggrey Mwanri amechukua fomu hiyo kupitia CCM
- Hadi Bunge linavunjwa Juni 16, 2020 Siha ilikuwa chini ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel
Soma https://jamii.app/MwanriSihaUbunge
#Uchaguzi2020