MAREKANI YAIOMBA CHINA KUWAACHIA RAIA 2 WA CANADA
> China inadaiwa kuwashikilia raia hao kama kisasi dhidi ya Canada inayomshikilia Mkurugenzi wa Huawei
> China inawatuhumu raia hao kujihusisha na ujasusi na tayari kesi yao imeanza kusikilizwa
Soma https://jamii.app/ChinaCanadaRaia
#JFLeo

MBARONI KWA KUTAKATISHA TAKRIBAN TSH. BILIONI 2
> Salum Rajabu(51), amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kujipatia kiudanganyifu fedha takriban Tsh. Bilioni 2
> Amedaiwa kutenda hayo kati ya Aprili 1 na 20 katika maeneo tofauti ikiwemo Lubumbashi, Congo
Soma https://jamii.app/Kizimbani898k

LINDI: ZITTO KABWE NA SULEMANI BUNGARA WAKAMATWA NA POLISI
- Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) na viongozi wengine wamekamatwa
- Ni baada ya Polisi kuwasili kwenye mkutano wa ndani wa ACT Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zikiendelea
Angalia Video; https://youtu.be/zzh_jXkxnKY
#JFSiasa

YouTube
Kilwa: Zitto Kabwe, Selemani Bungara na Viongozi wengine wa ACT-Wazalendo wakamatwa na Polisi
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) na viongozi wengine wamekamatwa na Polisi
Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokeaβ¦

UGANDA: WAGONJWA 23 WA #COVID19 WAONGEZEKA. WATANZANIA 2 WARUDISHWA
- Wagonjwa wapya ni Waganda na visa vimefikia 797. Waliopona ni 699 na hakuna kifo
- Madereva 13; Kenya 8, Tanzania 2, Burundi 1, Eritrea 1 na Rwanda 1 wamekutwa na virusi na kurudishwa
Soma https://jamii.app/COVID19UG-797
#JFCOVID19_Updates

TABORA: MBARONI KWA KUHUJUMU MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA
> Creti Mabula (20) na wenzake wanne wamekutwa na vifaa vya thamani ya Tsh. milioni 57.6
> Vifaa hivyo ni vya kampuni inayotekeleza mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Tabora
Soma https://jamii.app/TaboraMradiWizi

ZANZIBAR: MJUMBE WA KAMATI TENDAJI YA ZFA ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS
- Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM
- Amekuwa mwanachama wa 24 wa CCM kuchukua fomu hiyo ya kuwania nafasi hiyo
Soma https://jamii.app/HashimSalumZNZ
#Uchaguzi2020

KAGERA: MTENDAJI WA KATA KIZIMBANI KWA KUMPAPASA MATITI MTOTO
- Mtendaji Kata ya Kyakailabwa, Patrick Rwegasira (44) amefikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kumtorosha mtoto (14) na kumfanyia shambulio la aibu la kumpapasa matiti
Soma https://jamii.app/MtendajiKizimbaniKGR

UNESCO: WATOTO MILIONI 258 DUNIANI HAWAKWENDA SHULE MWAKA 2018
- Asilimia 90 ya vijana walioathiriwa zaidi ni kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara na Asia
- Mamilioni ya Vijana hubaguliwa katika mifumo ya elimu kutokana na asili zao au ulemavu walionao
Soma https://jamii.app/RipotiElimuUNESCO

MWANZA: WAFANYAKAZI 30 WA MSD MBARONI WAKITUHUMIWA KWA UBADHIRIFU
- TAKUKURU inawashikilia Wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) na Mfanyakazi mmoja wa Wizara ya Afya kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 254
Angalia; https://youtu.be/BmT7GtTicq0
#KemeaRushwa

Mwanza: TAKUKURU inawashikilia Wafanyakazi 30 wa MSD na mmoja wa Wizara ya Afya
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mwanza inawashikilia Wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) na Mfanyakazi mmoja wa Wizara ya Afya kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 254
SERIKALI YASITISHA LESENI YA GAZETI LA TANZANIA DAIMA NDANI NA NJE YA NCHI
- Gazeti hilo halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa nchini au nje ya nchi kuanzia kesho
- Ni kutokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka sheria ya nchi na maadili ya uandishi
Soma https://jamii.app/TanzaniaDaimaLeseni

IDADI YA WALIOATHIRIKA NA #COVID19 KENYA YAFIKIA 4,952
- Wagonjwa 155 wameongezeka. Wote ni Wakenya; Wanaume 120 na Wanawake 35
- Wagonjwa 3 wamefariki na vifo vimefikia 128. Pia, Wagonjwa 102 wamepona na jumla watu 1,782 wamepona
Soma https://jamii.app/COVID19KE-4952

SIKU YA WAJANE DUNIANI: #COVID19 YAONGEZA CHANGAMOTO KWA WAJANE
> Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema #COVID19 inaua zaidi wanaume
> Wajane wengi wanaingia katika hali mbaya kutokana na mifumo ya jamii inayombagua mwanamke katika kurithi mali
Soma https://jamii.app/SikuYaWajane

KILWA: DC AAMURU VIONGOZI 8 WA ACT-WAZALENDO WAKAMATWE. BWEGE AUGUA MAHABUSU
> Selemani Bungara (Bwege) amezidiwa ghafla akiwa mahabusu na kukimbizwa Hospitali ya Kilwa Masoko
> Viongozi hao akiwemo Zitto Kabwe wamekamatwa asubuhi na Polisi wanataka kila Kiongozi awe na mdhamini wake
Soma https://jamii.app/LindiViongoziACT

ENGLAND: KLABU YA BURNLEY YALAANI UJUMBE ULIOONESHWA UWANJANI
> Ujumbe wa kibaguzi ulipitishwa katika Uwanja wa Etihad wakati wa mechi ya Burnley na Manchester City
> Uchunguzi unaendelea kuwabaini waliohusika, wakibainika watazuiwa kuingia viwanjani
Soma https://jamii.app/UbaguziPremierLeague

WANAFUNZI WASISITIZWE, WAPATAPO DALILI HIZI WATOE TAARIFA MARA MOJA
> Homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, mwili kuchoka
> Wawajuze walimu, wazazi au kupiga namba 199
Soma https://jamii.app/CoronaMashuleni

MBEYA: WANNE AKIWEMO POLISI WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
> Erasto Mwalwego (29), dereva wa bodaboda mkazi wa Nzovwe, aliuawa na watu wanne kwa kupigwa na kitu butu
> Tukio lilitokea katika nyumba ya kulala wageni, Erasto alifariki hospitalini
Soma https://jamii.app/MauajiMbeyaPolisi

PEMBA: KARAFUU YA MAGENDO YAKAMATWA. WALIOTOA TAARIFA KUPATA GAWIO
> Magunia 30 ya Karafuu yaliyokuwa yasafarishwe nje ya kisiwa hicho kimagendo yamekamatwa
- Serikali imeagiza karafuu iliyokamatwa iuzwe na waliotoa taarifa kuhusu magendo hayo wapate mgao kama motisha
Soma https://jamii.app/KarafuuPemba

CHINA: TUTAENDELEA NA MSIMAMO MKALI DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
> Rais Xi Jinping leo ametoa wito kuendeleza juhudi za kupambana na #DawaZaKulevya
> Takwimu za mwaka jana zinaonesha 0.18% ya wachina (takriban watu milioni 2.5) wanatumia dawa za kulevya
Soma https://jamii.app/XiOnDrugs

PROFESA BASSETTI: #CORONAVIRUS INAWEZA KUISHA YENYEWE BILA CHANJO
> Mtaalamu wa Magonjwa ambukizi amesema #COVID19 imetoka kuwa Chui mkali hadi kuwa Paka mwitu
> Asema tahadhari zikiendelea kuchukuliwa, #COVID19 itapotea yenyewe
Soma https://jamii.app/CoronaExpertTalks

TWITTER YAFICHA βPOSTSβ ZA RAIS TRUMP ZINAZOTISHIA WAANDAMANAJI
> Jumbe hizo za Rais Trump zinatishia kutumia nguvu kumaliza maandamano
> Pia, Facebook waliiondoa tangazo la Rais Trump lililokuwa na alama ya Utawala wa βNaziβ iliyotumika na wajerumani
Soma https://jamii.app/TwitterTrump