MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA UCHAGUZI (ZEC) ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
> Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kupitia CCM
> Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Soma https://jamii.app/JechaTena

SHUGHULI MPAKANI MWA TANZANIA NA UGANDA ZAREJEA BAADA YA MAKUBALIANO
> Makubaliano yanahusisha Madereva wa Malori kupima #COVID19 kwa mujibu wa miongozo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kudhibiti maambukizi mipakani na kukabiliana na usumbufu wa kibiashara
> Upimaji umelenga kuhakikisha hatari za kiafya zinazohusiana na #CoronaVirus zinapunguzwa
Soma - https://jamii.app/MakubalianoMutukula

MSAJILI: VYAMA VYENYE NIA YA KUSHIRIKIANA UCHAGUZI MKUU VIMESHACHELEWA
- Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa amesema hawajapata mkataba wa makubaliano ya ushirikiano kutoka Chama chochote. Vyama vitakavyofanya hivyo vitaenda kinyume na Sheria
Soma https://jamii.app/UshirikianoVyamaSiasa

UFARANSA: VIWANJA VYA MPIRA KURUHUSU MASHABIKI KUANZIA JULAI 11
- Serikali imetangaza viwanja vya mpira vitafunguliwa kuanzia Julai 11 mwaka huu
- Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu imesema watu 5,000 pekee ndio wataruhusiwa uwanjani
Soma - https://jamii.app/COVID19Updates

ZANZIBAR KUFUNGUA SHULE NA SHUGHULI ZA KIJAMII KUANZIA JUNI 29
> Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ametangaza kufungua skuli zote pamoja na shughuli za kijamii kuanzia Juni 29 baada ya kupungua kwa maradhi ya #COVID19
> Pia, amevunja Baraza la Wawakilishi la 9 huko Chukwani
Soma - https://jamii.app/ShuleZbarJuni29

Jamii Forums tunapenda kutambua uwepo, umuhimu, Jitihada na changamoto ambazo hupitiwa na wale wote ambao wanaheshimu na kuthamini nafasi zao kama baba kwa watoto wao wa kuwazaa na kuwalea
Tunatambua kama walezi si kazi rahisi, hivyo tungependa kutumia nafasi hii kuwakumbusha na kuwasihi kutokata tamaa kwasababu Watoto na familia hufarijika pale wanapofanya Jitihada za makusudi kuwalea, kuwatunza na kuwa karibu nao Kimahitaji ya kisaikolojia, kiuchumi na hata Faraja
Kheri ya siku ya akina baba duniani

UNA MTAZAMO GANI KUHUSU BUNGE LA 11? UNAKUMBUKA TUKIO GANI LILILOTOKEA
> Baadhi ya wadau wamesema kwa miaka 5 ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
> Mkurugenzi THRDC, Onesmo Olengurumwa, amesema halikufanya jukumu lake la uwakilishi bali ilikuwa sehemu ya kutetea Serikali
Kwa mjadala zaidi - https://jamii.app/MaoniBunge11

DARAJA LA WAMI KUFUNGWA KWA MUDA KWA SIKU 3 KUANZIA JUNI 25
- Litafungwa kwa saa 2, kuanzia 8 usiku hadi saa 10 alfajiri kwa siku 3 kuanzia Juni 25-27
- Ni kutokana na ukaguzi na matengenezo ya daraja hilo kwenye barabara ya Chalinze-Segera
Soma https://jamii.app/KufungwaDarajaWami

MEMBE: TUNAFANYAJE UCHAGUZI BILA TUME HURU NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA?
> Adai hivi sasa Ma-DC, RC na DED wamejawa na hofu ya kupoteza nafasi zao endapo mtu wa Upinzani atashinda uchaguzi
> Ahoji utayari wa kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa
Angalia > https://youtu.be/vweXBFaMi6s
#SiasaTZ #Siasa

YouTube
Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru na Waangalizi wa Kimataifa?
Benard Membe ambaye alifukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya CCM Februari mwaka huu, amesema haamini nchi inafanya uchaguzi kutokana na hali ya Corona
Amesema alitarajia ungefanywa uchambuzi mkubwa sana kabla ya kuamua kuingia kwenye uchaguzi katika mazingiraβ¦

CUF: WABUNGE, MADIWANI WALIOPOKELEWA NA ACT WALISHAJITENGA NA CHAMA
- Mkurugenzi wa Habari, Eng. Ngulangwa amesema Wabunge na madiwani hao walishajitenga
- Amesema CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya kodi za wananchi
Soma - https://jamii.app/WabungeMadiwaniCUF

MEMBE: KAMATI KUU IKITAMKA LEO KUWA ILIKOSEA KUNIFUKUZA NACHUKUA FOMU JUMATATU
> Adai tamko likitolewa kwa wakati, kesho Jumatatu atachukua fomu ya βkujipimaβ na Rais
> Ameonya kuwa bila yeye Uchaguzi hautonoga kama ule wa Zanzibar
> Aomba utulivu kwani Oktoba ni mbali na lolote linaweza kutokea
Angalia https://youtu.be/YDReKJ5mBD0

Membe: Kamati Kuu ilitamka kunifukuza kinyume na taratibu. Bila mimi Uchaguzi haunogi
Amesema licha ya kwamba anamheshimu Mwenyekiti na Kamati kuu ya CCM, haikuwa na mamlaka ya kusema wamemfuta uanachama kwani adhabu hutolewa na Halmashauri Ku...
RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA WILAYA MOROGORO NA MONDULI
- Rais Magufuli amemteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
- Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Edward Jotham Balele ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha
Soma https://jamii.app/RaisAfanyaUteuzi

MAREKANI: RAIS TRUMP AANZA VIBAYA KAMPENI, ASHINDWA KUJAZA UWANJA WA WATU 19,000
- Ni kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa #CoronaVirus
- Amesema vyombo vya habari na waandamanaji wamesababisha wanaomuunga mkono wasihudhurie
Soma https://jamii.app/TrumpTulsaRally

WAZIRI MKUU: WATAKAOJIHUSISHA NA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WAKAMATWE
> Maagizo hayo yametolewa ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu unakuwa huru na wa haki, hivyo kuwawezesha wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na si kwa msukumo wa rushwa
Soma - https://jamii.app/RushwaUchaguzi

#CORONAVIRUS-BRAZIL: WATU 7,285 WAMEFARIKI NDANI YA WIKI MOJA
- Imeripoti vifo vipya 641 kwa siku ya jana na kufanya jumla ya vifo kufikia 50,617
- Pia, imerekodi Wagonjwa wapya 17,459 na kufanya jumla ya visa kufikia 1,085,038
Soma https://jamii.app/COVID19Updates
#JFCOVID19_Updates

ALIYEKUWA WAZIRI WA HABARI, RASHID JUMA ACHUKUA FOMU YA URAIS
- Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amechukua fomu kuwania urais Zanzibar kupitia CCM
- Amekuwa Mgombea wa 16 kujitokeza kuchukua fomu hiyo
Soma https://jamii.app/RashidJumaZNZ
#JFSiasa

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA ZANZIBAR ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS
- Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar
- Amechukua fomu hiyo kupitia CCM na amekuwa mgombea wa 17 kuchukua fomu hiyo
Soma https://jamii.app/KhamisOmarZNZ

IKULU, DAR: RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA ARUSHA
- Rais Magufuli amemuapisha Mkuu wa Mkoa mteule wa Arusha, Idd Hassan Kimanta
- Mkuu huyo aliteuliwa juzi kuchukua nafasi ya Mrisho Gambo ambaye uteuzi wake ulitenguliwa
Fuatilia - https://jamii.app/Uapisho-RCArusha

WAZIRI WA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS
- Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar
- Amechukua fomu hiyo kupitia CCM na amekuwa mgombea wa 18 kuchukua fomu hiyo
Soma https://jamii.app/MjengoMjawiri-ZNZ
#JFSiasa #Uchaguzi2020

ZANZIBAR: NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, HAMAD MASAUNI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS
- Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM
- Anakuwa mwanachama wa 19 wa chama hicho kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho
Soma https://jamii.app/MasauniZanzibar2020