MWANAMKE WA KWANZA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
- Mwantum Mussa Sultan anakuwa Mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya Urais kwa tiketi ya CCM
- Ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais Zanzibar
Soma - https://jamii.app/MwantumFomuUraisZnz

JAJI MKUU: RUSHWA HUSHAMIRI PALE WATU WANAPOCHELEWESHEWA HAKI YAO
> Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma ameitaka Mahakama kuacha kuchelewesha haki kwani ndiyo chanzo kikubwa cha rushwa ktk mhimili huo
> Asema rushwa hushamiri zaidi ktk taasisi zinazochelewesha haki kwani watu wanaohitaji kupata haki zao kwa wakati hulazimika kuitafuta haki hiyo kwa njia ya mkato
Soma - https://jamii.app/RushwaMahakamani

JINSI YA KUJILINDA NA #COVID19 KWA WAFANYAKAZI WASIOHUDUMIA WATEJA ANA KWA ANA
> Vaa Barakoa, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
> Zingatia Social Distancing, epuka kujishika uso na mikusanyiko isiyo ya lazima
Soma > https://jamii.app/COVID19VsWafanyabiashara
#IshiNaCOVID19

UJERUMANI: WAFANYAKAZI 730 WA MACHINJIONI WAPATA #COVID19. KIWANDA CHA NYAMA CHAFUNGWA
> Maambukizi hayo yametokea katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW)
> Mamlaka zimeamuru kufungwa kwa Kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies
> Aidha, watu wapatao 7,000 wamewekwa karantini na Jimbo limeanzisha uchunguzi kujua chanzo cha maambukizi hayo
Soma - https://jamii.app/CoronaMachinjioni
#JFCOVID19_Updates

CHINA: RAIA WAWILI WA CANADA WASHTAKIWA KWA UJASUSI
- Michael Kovrig na Michael Spavor wanashikiliwa China tangu Desemba 2018
- Wawili hao wamefunguliwa mashtaka ya kupeleleza siri za kitaifa na kutoa taarifa za kiintelijensia kwa vyombo vya nje
Soma https://jamii.app/ChinaCanadaSpyingCharges

ZANZIBAR: HAJI RASHID PANDU ACHUKUA FOMU YA URAIS
- Haji Rashid Pandu amechukua fomu za kugombea Urais visiwani Zanzibar kupitia CCM
- Pandu anakuwa Mgombea wa 12 kuchukua fomu tangu kuanza kwa zoezi hilo
Soma - https://jamii.app/PanduUraisZNZ
#Uchaguzi2020

SPIKA NDUGAI: KUNA WABUNGE WANATUMIA BANGI NA KUNYWA GONGO
> Amesema βNi ukweli usiopingika kwamba yako mambo Watanzania hawayajui na huwa hatupendi sana kusema. Ni kweli baadhi ya Wabunge na hasa hao wenye fujo wanatumia #DawaZaKulevya, bangi, wanakunywa konyagi au gongo, anakuja pale sio yeyeβ
Soma - https://jamii.app/WabungeBangi

SAKATA LA MORRISON: YANGA YAISHTAKI SIMBA TFF
> Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka rasmi malalamiko kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ukidai Simba inamshawishi winga wake, Bernard Morrison kujiunga nayo kinyume cha sheria
> Wasema tayari ushahidi umekusanywa ikiwa ni pamoja na kumhoji mchezaji na vielelezo vingine vinavyohusiana na suala hilo
Soma - https://jamii.app/SimbaYangaTFF

JINSI FAMILIA ZINAVYOWEZA KUISHI HUKU ZIKIENDELEA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA #COVID19
- Dawa na boksi la huduma ya kwanza, vifaa vya kufanyia usafi na chakula
- Dhibiti wageni kwani dalili huweza kutoonekana hadi baada ya siku 14
Kwa ufafanuzi, fungua > https://jamii.app/COVID19VsFamilia

YEMEN: HUENDA MAMILIONI YA WATU WAKAPATA #CORONA NA MAELFU WAKAPOTEZA MAISHA
- Makadirio hayo yametolewa na Kamati ya Shirika la Kimataifa la Kutoa Misaada (IRC)
- Kutokana na vita, Yemen haina mfumo wa utoaji huduma za afya
Soma - https://jamii.app/CoronaYemen

UFARANSA: JOGOO ALIYESHTAKIWA KWA KUPIGA KELELE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 6
> Jogoo Maurice aliwahi kushtakiwa kwa kupiga kelele na wanandoa waliostaafu waliokuwa likizoni ktk Kisiwa cha OlΓ©ron
> Mmiliki amesema Jogoo huyo alikufa Mwezi Mei lakini alisubiri muda mwafaka wa kutangaza kifo chake kutokana na uwepo wa Janga la #Corona na watu kuwa Karantini
Soma - https://jamii.app/CockMouriceDies

#CORONAVIRUS KENYA: VISA VIPYA 117 VYAREKODIWA, MAAMBUKIZI YAFIKIA 4,374
- Katika visa vilivyotangazwa leo, 112 ni Wakenya na 5 ni raia wa kigeni
- Jumla ya vifo 119 vimerekodiwa nchini humo na wagonjwa 1,550 wamepona hadi sasa
Soma - https://jamii.app/Corona4374-KE

UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIWA
- Rais Magufuli ametengua uteuzi wa RC Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na Idd Kimanta
- Aidha, pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa na Kenan Kihongosi
Soma https://jamii.app/GamboAtumbuliwa

MBUNGE NCHAMBI NA WENZAKE WAKIRI MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI
> Mbunge wa Kishapu, Suleiman Masoud Nchambi (CCM) na wenzake 2 wamekiri makosa na kuamuliwa kulipa faini au kwenda Jela
> Wote kwa pamoja wamelipa faini ya Tsh. Milioni 32.5
Soma https://jamii.app/NchambiUhujumu

SAKATA LA OFISI: ACT WAWATAKA CUF KWENDA MAHAKAMANI SIO KWA VYOMBO VYA HABARI
> Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema kama CUF wanadai Ofisi zao zilizopo Zanzibar zimechukuliwa, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari
> Asema wamejipanga vilivyo kugombea nafasi ya Urais na hawafuati mkumbo na wamefanya maandalizi muhimu
Soma - https://jamii.app/CUFVsACTWazalendo

TANZANIA BADO NI YA 4 KWA WAGONJWA WENGI WA SELIMUNDU (SICKLE CELL) DUNIANI
- Waziri Ummy Mwalimu amezindua Mwongozo wa Taifa wa Matibabu kwa wagonjwa wa Selimundu
- Ameagiza Kliniki maalumu kuanzishwa katika ngazi ya Mikoa na Wilaya
Soma https://jamii.app/SickleCellDay2020

#CORONAVIRUS: BRAZIL YAREKODI VISA ZAIDI YA MILIONI 1
- Jumla ya visa 1,038,568 vimerekodiwa nchini humo. Brazil ni nchi ya pili duniani kuwa na visa zaidi ya Milioni 1
- Wagonjwa 520,360 wamepona na idadi ya vifo imefikia 49,090
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

MKUTANO WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
- Katibu Mkuu, Ado Shaibu amesema wanapokea watu 21 waliokuwa Wabunge
- Wamepokea Madiwani kutoka Dar na wanapokea Madiwani Tanga. Pia, watawapa heshima Madiwani 9 walijiunga kutoka CUF
- Pia, kuna Wanasiasa mashuhuri watapata kadi
Fuatilia https://jamii.app/ACT21MPs

Orodha ya Wabunge na Madiwani wa Dar es Salaam waliopewa Kadi za uanachama wa ACT-Wazalendo leo Juni 20, 2020
Zaidi, soma https://jamii.app/ACT21MPs
Zaidi, soma https://jamii.app/ACT21MPs
MAREKANI: MWENDESHA MASHTAKA DHIDI YA WASHIRIKA WA RAIS TRUMP AKANUSHA KUJIUZULU
- Geoffrey Berman amesema hajajiuzulu na hana mpango huo
- Amesema amesikia anajiuzulu kupitia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, William Barr
Soma https://jamii.app/GeoffreyBermanDeniesResigning