UGANDA: VIONGOZI WA UPINZANI WAUNGANA DHIDI YA RAIS MUSEVENI
- Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) wameunda muungano unaoitwa 'United Forces of Change'
- Wanalenga kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya Rais Museveni ktk Uchaguzi 2021
Soma https://jamii.app/MuunganoWapinzaniUG

KENYA: WATUMISHI WANNE WA IKULU WAKUTWA NA #CORONAVIRUS
- Watumishi wote wa Ikulu akiwemo Rais Kenyatta na familia yake walipimwa Juni 11, 2020
- Msemaji wa Ikulu amesema Rais Kenyatta pamoja na familia yake hawana #Corona
Soma https://jamii.app/Covid19IkuluKE
#JFCOVID19_Updates

#CORONAVIRUS KENYA: MAAMBUKIZI YAFIKIA 3,727 BAADA YA VISA 133 KUREKODIWA
- Wagonjwa 33 wamepona na idadi ya waliopona #COVID19 hadi sasa kuwa 1,286
- Aidha, vifo vimeongezeka hadi 104 baada ya mgonjwa mmoja kufariki dunia
Soma - https://jamii.app/Corona3727-KE

WABUNGE WATATU WA VITI MAALUM CHADEMA WAJIUNGA CCM
- Wabunge Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kujiunga na CCM
- Chande na Semesi ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa Karantini
Soma https://jamii.app/Wabunge3CDM-CCM
#JFSiasa

#CORONAVIRUS: JE, WAJAWAZITO WANAPASWA KUWA NA WASIWASI?
> Mwanamke mjamzito wa chini ya wiki 28 na haugui ugonjwa wowote anapaswa kukaa mbali na hatari za maambukizi
> Anaweza kuendelea kufanya kazi huku akichukua tahadhari
> Iwapo Mwanamke ana ujauzito wa zaidi ya wiki 28 ama ana ugonjwa kama vile hitilafu ya figo, au ugonjwa wa mapafu anapaswa kutokaribiana kabisa na watu walioambukizwa #COVID19 hivyo ni vyema kujitenga
Soma > https://jamii.app/COVID19VsPrego
#IshiNaCOVID19

TULIA ACKSON: NITAGOMBEA UBUNGE MBEYA
> Naibu Spika, Tulia Ackson leo ametangaza nia ya kugombea ubunge mkoani Mbeya bila kutaja jimbo atakalogombea
> Novemba 19, 2015 alichaguliwa kuwa Naibu Spika baada ya kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum mnamo Novemba 16, 2015
Soma https://jamii.app/DktTuliaNiaUbunge
#JFLeo

BEIJING, CHINA: WATU 200,000 WANATAFUTWA KUFUATIA MLIPUKO MPYA WA #COVID19
- Ni waliotembelea soko la Xinfadi ambalo limetajwa kuwa kitovu cha mlipuko
- Wataalamu wa Afya wanawatafuta wote waliotembelea eneo hilo kuanzia Mei 30
Soma - https://jamii.app/CoronaBeijing

WAZIRI MKUU: TANZANIA INA WAGONJWA 66 WA #CORONAVIRUS
- Waziri Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10
- Mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa
Soma https://jamii.app/Corona66TZ

NEC YATANGAZA KUWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kuweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa ajili ya uhakiki kwa siku 4 kuanzia Juni 17 mpaka Juni 20 katika vituo vilivyotumika wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu
> Vituo vyote vitafunguliwa saa 2 kamili asubuhi na kufungwa saa 12 jioni kwa siku zote 4
Soma - https://jamii.app/UhakikiDaftariKura

HYENA MAN: MFAHAMU MWANAUME ANAYELISHA FISI ILI WASIWASHAMBULIE
- Abbas Yusuf (Hyena Man) kutoka Harar, Ethiopia amesema alijifunza kulisha wanyama pori kutoka kwa baba yake aliyekuwa na tabia ya kuwarushia mabaki ili kuwaondoa karibu na mifugo
- Wanyama hao walikuwa wakishambulia na kuua watu, lakini wakatafuta suluhu kwa kutengeneza matobo ukutani na kuwarushia chakula. Inadaiwa hakuna shambulio la fisi kwa miaka 200 sasa
Soma - https://jamii.app/HyenaManEthiopia

LIGI KUU TANZANIA BARA: KLABU ZENYE MADENI KUNYIMWA LESENI MSIMU UJAO
- Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Steven Mguto amesema Bodi hiyo haitatoa leseni kwa klabu itakayokuwa inadaiwa na makocha, wachezaji au taasisi
Soma - https://jamii.app/MadeniVilabuLeseni

MBOWE AANDIKA BARUA KUTIA NIA KUGOMBEA URAIS TANZANIA
> Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amekuwa wa nne kutia nia ya kugombea Urais kupitia chama hicho
> Wengine ni Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu
Soma https://jamii.app/MboweUrais2020

MDAU: DALILI KADHAA YA KWAMBA MTU ANA KIBURI
> Mdau wa JamiiForums.com anadai dalili kadhaa ni:- Ukionywa unakasirika na kununa badala ya kuona tatizo lako
> Ukikosana na mtu unaona makosa yake tu lakini huoni kosa lako (Kupenda kunyooshea wengine vidole)
> Kupenda kujilinganisha na wengine katika mambo na kujiona bora zaidi. Kila unalolifanya lengo kuu huwa ni kushindana na wengine. Unafanya jambo zuri, lakini adhma (Motive) yako ni mashindano
Je, unakubaliana na hoja za mdau? Unafahamu dalili nyingine za mtu mwenye kiburi?
Tembelea - https://jamii.app/DaliliKiburi

#CORONAVIRUS: VISA ZAIDI YA MILIONI 8 VYAREKODIWA, WAGONJWA MILIONI 3.9 WAPONA
- Visa 8,717,816 na vifo 442,387 vimerekodiwa duniani; 3,959,884 wamepona
- Nchi zenye visa vingi zaidi ni Marekani, Brazil, Urusi, India na Uingereza
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

#CORONAVIRUS MAREKANI: MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YASITISHA MATUMIZI YA HYDROXYCHLOROQUINE
- FDA ambayo awali ilitoa kibali cha dharura kuruhusu dawa hiyo imesema ushahidi umeonesha hakuna sababu za kuendelea kuamini inaweza kutibu #COVID19
Soma - https://jamii.app/DawaCoronaMarekani

RAIS MAGUFULI KUVUNJA BUNGE LEO
- Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Juni, 2020 atalihutubia na kulifunga Rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 4:00 asubuhi hii
Fuatilia https://jamii.app/KuvunjaBunge11
#MagufuliBunge

KUFUNGWA KWA BUNGE LA 11 LA JMT
Spika Ndugai: Huwezi ukawa Spika wa Bunge, tena ukafanikiwa kama hauna βstrong supportβ ya Rais, haiwezekani
> Rais asipokuunga mkono hufiki popote...huo ndiyo ukweli wenyewe

Rais Magufuli: Kwenye uvuvi, sangara kwenye ziwa Victoria wameongezeka kutoka tani 417,936 mwaka 2016 hadi tani 816,964 mwaka 2020
- Urefu wa sangara umeongezeka kutoka wastani wa Sentimita 16 hadi sentimita 25.2 na hivyo samaki wetu kuhitajika katika soko la Ulaya
Fuatilia https://jamii.app/KuvunjaBunge11
#JPMBunge11

RAIS MAGUFULI ATANGAZA KUFUNGUA SHULE ZOTE JUNI 29
- Amesema hali ya #Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana
- Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee. Maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa zamani
Zaidi, soma https://jamii.app/KuvunjaBunge11