#CORONAVIRUS-TANZANIA: MUFTI ATANGAZA MADRASA KUFUNGULIWA
- Mufti wa Tanzania, Sheikh Zuberi amesema Madrasa zitakazofunguliwa ni zenye Wanafunzi wakubwa
- Amezitaka Madrasa hizo kutoa huduma huku zikizingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya
Soma https://jamii.app/MadrasaKufunguliwa

RAIS TRUMP AHAIRISHA MKUTANO BAADA YA UKOSOAJI
- Ametangaza kuahirisha mkutano wake wa kwanza mkubwa wa kampeni baada ya kuandamwa na ukosoaji kwa kuandaa mkutano huo katika siku ya kukumbuka kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani
Soma https://jamii.app/TrumpMkutano

SIMIYU: KATIBU WA CHAMA CHA USHIRIKA ATUHUMIWA KUHUJUMU UCHUMI
> Masanja Mbula, Katibu wa AMCOS amefikishwa Mahakamani na TAKUKURU
> Mtuhumiwa alipokea Tsh. Milioni 221 kutoka Kampuni ya NGS Investment Co. Ltd, awalipe wakulima lakini alitoweka nazo
Soma https://jamii.app/UhujumuAMCOS

YANGA SC YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA MWADUI FC
> Goli la Yanga limefungwa na Balama Mapinduzi katika dakika ya sita
> Huko Mkwakwani mkoani Tanga, Namungo FC imeshindwa kulipa kisasi kwa Coastal na kulazimishwa sare ya 2-2
Soma https://jamii.app/YangaMwadui
#JFMichezo

CHINA: MAAMBUKIZI MAPYA 57 YA #COVID19 YARIPOTIWA
> Maambukizi haya ni makubwa kwa China tangu Aprili
> Idadi hiyo inafanya China kuwa na jumla ya maambukizi 83,123 huku watu 78,369 wakiripotiwa kupona
Soma https://jamii.app/57ChinaCOVID19
#JFCOVID19_Updates

ATLANTA: POLISI WAMUUA MTU MWEUSI MWINGINE KWA RISASI
> Rayshard Brooks (27), amepigwa risasi na Polisi Ijumaa usiku
> Afisa aliyehusika na tukio hilo, Garrett Rolfe ameshafukuzwa kazi, Devin Bronsan aliyeshiriki kwenye tukio amebadilishiwa kazi
Soma https://jamii.app/MweusiMwinginePolisi
#JFLeo

MANYARA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BABATI AFARIKI DUNIA
- Mkurugenzi Mtendaji Hamis Malinga amefariki dunia kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo
- Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajlal Jituson amesema Hamis alikuwa amelazwa hospitalini hapo
Soma https://jamii.app/HamisMalingaAfariki

PETER MSIGWA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA
> Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema anasubiri chama chake kiweze kumpa ridhaa ya kugombea
> Amesema anataka kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi, Kielimu na Utawala Bora
Soma https://jamii.app/MsigwaUraisTz
#JFSiasa

KENYA: MBARONI HUKU MADUMU 1,265 YA MAFUTA YA KUPIKIA YALIOISHA MUDA YAKIKAMATWA
- Maafisa wa upelelezi huko Changamwe, Kaunti ya Mombasa leo wamemkamata Deborah Taabu (50) aliyekuwa akimiliki mafuta ya kupikia yaliyoisha muda wa matumizi aliyotaka kwenda kuyauza
Soma https://jamii.app/ExpiredCookingOil

TABORA: MBUNGE WA VITI MAALUM (CUF), REHEMA MIGILA AHAMIA CCM
- Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa wa Tabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais Magufuli
Soma https://jamii.app/RehemaMigilaCCM

#CORONAVIRUS: UFARANSA KULEGEZA MASHARTI ZAIDI KUANZIA LEO
- Safari za nchi nyingine za Ulaya zitaruhusiwa. Migahawa na hoteli nchi nzima kufunguliwa
- Hata hivyo, Rais Emmanuel Macron ameonya kuna uwezekano ugonjwa utarejea
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

#CORONAVIRUS GHANA: RAIS ASEMA NI LAZIMA KUVAA BARAKOA
- Agizo hilo limetolewa na Rais Nana Akufo-Addo kufuatia ongezeko la visa vya #COVID19
- Ghana imerekodi visa 11,964, vifo 54 na wagonjwa 4,258 wamepona
Soma - https://jamii.app/CoronaGhana

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI KWA 2020/2021
- Bunge la Tanzania limepitisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/21 ya Tsh. Trilioni 34.88 kwa kupigiwa kura 304 za Ndiyo
- Kura za Hapana ni 63 na Wabunge 13 hawakuwepo Bungeni
Soma - https://jamii.app/Bajeti2020

MWANAMUZIKI HARMONIZE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TANDAHIMBA
> Mwanamuziki Rajab Abdul maarufu Harmonize, amesema ana mpango wa kugombea Ubunge katika Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais Magufuli kupendekeza afanye hivyo
Soma - https://jamii.app/HarmonizeUbunge

MBUNGE ‘BWEGE’ ATANGAZA KUHAMIA ACT-WAZALENDO
- Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama Chama 'Civic United Front (CUF)' na kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo mara baada ya Bunge kuvunjwa kesho
Soma - https://jamii.app/BwegeACT

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SERIKALI: HOSPITALI ZOTE ZIACHE KUWADAI WAGONJWA DAMU KABLA YA HUDUMA
- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali zote nchini, Zahanati na Vituo vya Afya kuacha kuwadai damu wagonjwa kabla ya kuwapa huduma
- Amesema masuala ya wanandugu kuambiwa wapeleke watu wa kuchangia damu kabla ya huduma ni kinyume na taratibu na kanuni za utoaji wa huduma za afya
Soma - https://jamii.app/DamuSalamaTZ

UGANDA: MAAMBUKIZI YA #COVID19 YAFIKIA 705
- Visa vipya 9 vimethibitishwa baada ya kupima sampuli 2,677
- Pia, madereva wa malori 37 wamekutwa na #Corona na kurudishwa nchini kwao, 1 ni raia wa Tanzania
- Wagonjwa 299 wamepona
Soma https://jamii.app/Corona705-UG

KUWANIA URAIS ZANZIBAR: ALI ABEID KARUME NA MBWANA BAKARI JUMA WACHUKUA FOMU KUPITIA CCM
- Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya CCM limeanza leo na litakamilika Juni 30, 2020
Soma - https://jamii.app/UraisZanzibar

LINDI: ACHARAZWA VIBOKO 12 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI
- Mahakama ya Mkoa imemhukumu Kassimu Bidhali Chilumba (18), kuchapwa viboko 12 kwa kumbaka mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyengedi
- Mshtakiwa amejitetea kuwa ibirisi wa mapenzi ndiye aliyemshawishi kufanya hivyo
Soma https://jamii.app/Viboko12Ubakaji

WANAOVUTA SIGARA: JE, WAKO HATARINI ENDAPO WATAAMBUKIZWA #COVID19?
> Wanaovuta sigara wapunguze au kuacha ili kuepuka hatari iwapo watapata na #CoronaVirus
> Wavutaji wanaweza kupata maradhi ya mapafu(Pneumonia) kuliko wasiovuta
> #CoronaVirus hushambulia mapafu na Sigara hudhoofisha mapafu, ni hatari zaidi endapo mtumiaji wa sigara atapata #COVID19
> Aidha, wapo watumiaji wanaochangia Sigara hiyo ni hatari zaidi kwasababu wanarahisisha maambukizi ya #COVID19
Soma > https://jamii.app/COVID19VsSigara
#IshiNaCOVID19