RAIS MUSEVENI: KUNA VIPIMO VYA #COVID19 VILIONEKANA VINA MAAMBUKIZI KIMAKOSA
- Amesema baadhi ya visa Uganda vilithibitishwa kimakosa kutokana na uzembe katika Maabara ya Makerere
- Amesema watu wachache walikuwa wanafanya kazi katika maabara hiyo na huenda walichoka
Soma https://jamii.app/VisaCOVIDMakosaUG
#JFCOVID19_Updates

TAKUKURU YAWASHTAKI WATUMISHI 7 WA TPA KWA WIZI WA ZAIDI YA TSH. BILIONI 8
> Watumishi hao wanatuhumiwa kughushi nyaraka na kutakatisha fedha
> Aidha, TAKUKURU imetangaza donge nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa Chrispine Iranque na Arnold H. Temba
Soma https://jamii.app/TAKUKURU7TPA

#CORONSVIRUS-KENYA: JUMLA YA MAAMBUKIZI YAFIKIA 3,305. WALIOPONA WAFIKIA 1,164
- Wizara ya Afya imetangaza wagonjwa wapya 90 wa #COVID19 na Wagonjwa wapya 72 waliopona
- Wagonjwa wapya wote ni Wakenya; Wanaume 62 na Wanawake 28
Soma https://jamii.app/COVID19KE-3305

BURUNDI: BARAZA LA MAWAZIRI LAAZIMIA KUONGOZA NCHI BADALA YA SPIKA WA BUNGE
> Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa Alhamisi, Juni 12
> Kikatiba Spika wa Bunge alitakiwa kuapishwa kushikilia wadhifa wa Rais kwa kipindi cha mpito
Soma https://jamii.app/BurundiBarazaMawaziri

#CORONAVIRUS: MUONGOZO KWA WATU WENYE ULEMAVU
> Epuka mikusanyiko na safari zisizo za lazima
> Vifaa vyote vya kukusaidia kufanya shughuli zako za kawaida kama βwheelchairβ, fimbo na magongo vitakaswe kila iwezekanapo
Msaidizi wa Mtu Mwenye ulemavu, zingatia yafuatayo ili umlinde dhidi ya #COVID19;
> Nawa mikono yako kwa maji tiririka na sabuni au Sanitizer
> Endapo unamsaidia asiyeona mruhusu akushike nyuma ya kiwiko cha mkono
Soma > https://jamii.app/COVID19VsWalemavu
#IshiNaCOVID19 #COVID19

#MICHEZO: TFF imesema katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji 5 badala ya 3
- Imewataka Wachezaji waliokuwa wamalize mikataba yao Mei 31, 2020 waendelee kutumikia klabu zao hadi Julai 31, 2020 ambapo ndio mwisho wa msimu
Soma https://jamii.app/MaboreshoVPL
#JFSports

- Mbunge Yosepher Komba amelalamika kudhalilishwa wakati Mbunge Jackline Msongozi akitoa ushauri kuwa Msajili wa Vyama aingilie kati CHADEMA kuhusu tuhuma zilizopo ikiwemo Wabunge Wanawake kudalilishwa kingono
- Yosepher aliomba kutoa taarifa na kumshauri Jackline awashauri Wabunge wanaolalamika kwenda kwenye vyombo vya Dola ila Jackline alisema Yosepher naye ni mmoja wa wahanga wa masuala hayo
Zaidi, soma https://jamii.app/MbungeNjeKudhalilishwa

POLISI: MBOWE ALIFIKA HOSPITALINI AKIONEKANA KUWA KATIKA HALI YA ULEVI CHAKARI
> Polisi wameeleza kuwa hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona Mbowe akishambuliwa
> Mbowe alidai kuvamiwa na watu watatu alipokuwa akiingia nyumbani kwake wakati akitokea kwa mzazi mwenzake, Joyce Mukya, Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA)
Zaidi; https://youtu.be/BD8ixLNrO-s

YouTube
Polisi watoa ripoti ya Uchunguzi kuvamia kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
Jeshi la Polisi limesema Uchunguzi umethibitisha kuwa Juni 8, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipokelewa hospitalini akiwa kalewa sana kiasi cha kushindwa kutamka maneno sawasawa
Limesema taarifa za awali zilisema kuwa alishambuliwa na watu 3 kwa matekeβ¦

- Amesema amelelewa CCM na ameomba msamaha kwa yaliyojitokeza huku akimuomba Mungu na yeye awasamehe waliomfanyia maovu
- Aidha, Spika Ndugai amemkaribisha CCM na huku akisema siasa ni elimu kubwa na Chuo Kikuu ni Bunge
Zaidi, soma https://jamii.app/RizikiLulidaCCM

MANYARA: MAAFISA WATATU WA TRA MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
> TAKUKURU inawashikilia Eva Mtandika, Jackline Manjira na Ephraim Medard kwa tuhuma za rushwa
> Walimtaka mfanyabiashara alipe Tsh. Milioni 1 ili asifikishwe Mahakamani
Soma https://jamii.app/RushwaTRA

KENYA: BENDERA YAPEPEA NUSU MLINGOTI KUOMBOLEZA KIFO CHA RAIS PIERRE NKURUNZIZA
> Rais Uhuru Kenyatta ameagiza Bendera ya Kenya na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kupepea nusu mlingoti kuanzia Juni 13 hadi siku ya mazishi ya Rais Nkurunziza
Soma https://jamii.app/BenderaKEPierre

RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 3 ZA KUOMBOLEZA KIFO CHA RAIS WA BURUNDI, PIERRE NKURUNZIZA
- Ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku 3 kuanzia kesho, Juni 13 hadi Juni 15
- Katika kipindi hicho, bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti
Soma https://jamii.app/BenderaTZKifoNkurunziza
#JFLeo #Siasa

JAMIIFORUMS: TUMEREJEA HEWANI
> Huduma katika mtandao wetu wa JamiiForums.com zimerejea sawa
> Ni baada ya kusimamishwa kwa takribani dakika 50 kupisha matengenezo muhimu
> Tunawashukuru kwa uvumilivu baada ya huduma kusitishwa kwa muda
/ JamiiForums

MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA YADAIWA KUINGIZA SILAHA LIBYA
- Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Ugiriki, Juni 10, meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania iliyokuwa imebeba silaha iliingia Libya ikiwa imesindikizwa na meli tatu za Kijeshi za Uturuki
Soma https://jamii.app/MeliTZSilaha

MTAALAM WA AFYA: KUNA UWEZEKANO TIBA YA #COVID19 IKAPATIKANA KABLA YA CHANJO
> Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Aleji na Magonjwa ya Kuambukiza nchini Marekani, Dkt. Anthony Fauci amesema waliweza kuishinda Ebola na nguvu za ushindi huo zitahamishiwa kwa #CoronaVirus
Soma https://jamii.app/TibaChanjoCorona

#CORONAVIRUS-TANZANIA: MUFTI ATANGAZA MADRASA KUFUNGULIWA
- Mufti wa Tanzania, Sheikh Zuberi amesema Madrasa zitakazofunguliwa ni zenye Wanafunzi wakubwa
- Amezitaka Madrasa hizo kutoa huduma huku zikizingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya
Soma https://jamii.app/MadrasaKufunguliwa

RAIS TRUMP AHAIRISHA MKUTANO BAADA YA UKOSOAJI
- Ametangaza kuahirisha mkutano wake wa kwanza mkubwa wa kampeni baada ya kuandamwa na ukosoaji kwa kuandaa mkutano huo katika siku ya kukumbuka kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani
Soma https://jamii.app/TrumpMkutano

SIMIYU: KATIBU WA CHAMA CHA USHIRIKA ATUHUMIWA KUHUJUMU UCHUMI
> Masanja Mbula, Katibu wa AMCOS amefikishwa Mahakamani na TAKUKURU
> Mtuhumiwa alipokea Tsh. Milioni 221 kutoka Kampuni ya NGS Investment Co. Ltd, awalipe wakulima lakini alitoweka nazo
Soma https://jamii.app/UhujumuAMCOS

YANGA SC YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA MWADUI FC
> Goli la Yanga limefungwa na Balama Mapinduzi katika dakika ya sita
> Huko Mkwakwani mkoani Tanga, Namungo FC imeshindwa kulipa kisasi kwa Coastal na kulazimishwa sare ya 2-2
Soma https://jamii.app/YangaMwadui
#JFMichezo