CHINA: MAAMBUKIZI MAPYA 57 YA #COVID19 YARIPOTIWA
> Maambukizi haya ni makubwa kwa China tangu Aprili
> Idadi hiyo inafanya China kuwa na jumla ya maambukizi 83,123 huku watu 78,369 wakiripotiwa kupona
Soma https://jamii.app/57ChinaCOVID19
#JFCOVID19_Updates

ATLANTA: POLISI WAMUUA MTU MWEUSI MWINGINE KWA RISASI
> Rayshard Brooks (27), amepigwa risasi na Polisi Ijumaa usiku
> Afisa aliyehusika na tukio hilo, Garrett Rolfe ameshafukuzwa kazi, Devin Bronsan aliyeshiriki kwenye tukio amebadilishiwa kazi
Soma https://jamii.app/MweusiMwinginePolisi
#JFLeo

MANYARA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BABATI AFARIKI DUNIA
- Mkurugenzi Mtendaji Hamis Malinga amefariki dunia kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo
- Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajlal Jituson amesema Hamis alikuwa amelazwa hospitalini hapo
Soma https://jamii.app/HamisMalingaAfariki

PETER MSIGWA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA
> Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema anasubiri chama chake kiweze kumpa ridhaa ya kugombea
> Amesema anataka kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi, Kielimu na Utawala Bora
Soma https://jamii.app/MsigwaUraisTz
#JFSiasa

KENYA: MBARONI HUKU MADUMU 1,265 YA MAFUTA YA KUPIKIA YALIOISHA MUDA YAKIKAMATWA
- Maafisa wa upelelezi huko Changamwe, Kaunti ya Mombasa leo wamemkamata Deborah Taabu (50) aliyekuwa akimiliki mafuta ya kupikia yaliyoisha muda wa matumizi aliyotaka kwenda kuyauza
Soma https://jamii.app/ExpiredCookingOil

TABORA: MBUNGE WA VITI MAALUM (CUF), REHEMA MIGILA AHAMIA CCM
- Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa wa Tabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais Magufuli
Soma https://jamii.app/RehemaMigilaCCM

#CORONAVIRUS: UFARANSA KULEGEZA MASHARTI ZAIDI KUANZIA LEO
- Safari za nchi nyingine za Ulaya zitaruhusiwa. Migahawa na hoteli nchi nzima kufunguliwa
- Hata hivyo, Rais Emmanuel Macron ameonya kuna uwezekano ugonjwa utarejea
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

#CORONAVIRUS GHANA: RAIS ASEMA NI LAZIMA KUVAA BARAKOA
- Agizo hilo limetolewa na Rais Nana Akufo-Addo kufuatia ongezeko la visa vya #COVID19
- Ghana imerekodi visa 11,964, vifo 54 na wagonjwa 4,258 wamepona
Soma - https://jamii.app/CoronaGhana

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI KWA 2020/2021
- Bunge la Tanzania limepitisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/21 ya Tsh. Trilioni 34.88 kwa kupigiwa kura 304 za Ndiyo
- Kura za Hapana ni 63 na Wabunge 13 hawakuwepo Bungeni
Soma - https://jamii.app/Bajeti2020

MWANAMUZIKI HARMONIZE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TANDAHIMBA
> Mwanamuziki Rajab Abdul maarufu Harmonize, amesema ana mpango wa kugombea Ubunge katika Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais Magufuli kupendekeza afanye hivyo
Soma - https://jamii.app/HarmonizeUbunge

MBUNGE ‘BWEGE’ ATANGAZA KUHAMIA ACT-WAZALENDO
- Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama Chama 'Civic United Front (CUF)' na kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo mara baada ya Bunge kuvunjwa kesho
Soma - https://jamii.app/BwegeACT

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
SERIKALI: HOSPITALI ZOTE ZIACHE KUWADAI WAGONJWA DAMU KABLA YA HUDUMA
- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali zote nchini, Zahanati na Vituo vya Afya kuacha kuwadai damu wagonjwa kabla ya kuwapa huduma
- Amesema masuala ya wanandugu kuambiwa wapeleke watu wa kuchangia damu kabla ya huduma ni kinyume na taratibu na kanuni za utoaji wa huduma za afya
Soma - https://jamii.app/DamuSalamaTZ

UGANDA: MAAMBUKIZI YA #COVID19 YAFIKIA 705
- Visa vipya 9 vimethibitishwa baada ya kupima sampuli 2,677
- Pia, madereva wa malori 37 wamekutwa na #Corona na kurudishwa nchini kwao, 1 ni raia wa Tanzania
- Wagonjwa 299 wamepona
Soma https://jamii.app/Corona705-UG

KUWANIA URAIS ZANZIBAR: ALI ABEID KARUME NA MBWANA BAKARI JUMA WACHUKUA FOMU KUPITIA CCM
- Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya CCM limeanza leo na litakamilika Juni 30, 2020
Soma - https://jamii.app/UraisZanzibar

LINDI: ACHARAZWA VIBOKO 12 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI
- Mahakama ya Mkoa imemhukumu Kassimu Bidhali Chilumba (18), kuchapwa viboko 12 kwa kumbaka mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyengedi
- Mshtakiwa amejitetea kuwa ibirisi wa mapenzi ndiye aliyemshawishi kufanya hivyo
Soma https://jamii.app/Viboko12Ubakaji

WANAOVUTA SIGARA: JE, WAKO HATARINI ENDAPO WATAAMBUKIZWA #COVID19?
> Wanaovuta sigara wapunguze au kuacha ili kuepuka hatari iwapo watapata na #CoronaVirus
> Wavutaji wanaweza kupata maradhi ya mapafu(Pneumonia) kuliko wasiovuta
> #CoronaVirus hushambulia mapafu na Sigara hudhoofisha mapafu, ni hatari zaidi endapo mtumiaji wa sigara atapata #COVID19
> Aidha, wapo watumiaji wanaochangia Sigara hiyo ni hatari zaidi kwasababu wanarahisisha maambukizi ya #COVID19
Soma > https://jamii.app/COVID19VsSigara
#IshiNaCOVID19

UGANDA: VIONGOZI WA UPINZANI WAUNGANA DHIDI YA RAIS MUSEVENI
- Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) wameunda muungano unaoitwa 'United Forces of Change'
- Wanalenga kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya Rais Museveni ktk Uchaguzi 2021
Soma https://jamii.app/MuunganoWapinzaniUG

KENYA: WATUMISHI WANNE WA IKULU WAKUTWA NA #CORONAVIRUS
- Watumishi wote wa Ikulu akiwemo Rais Kenyatta na familia yake walipimwa Juni 11, 2020
- Msemaji wa Ikulu amesema Rais Kenyatta pamoja na familia yake hawana #Corona
Soma https://jamii.app/Covid19IkuluKE

#CORONAVIRUS KENYA: MAAMBUKIZI YAFIKIA 3,727 BAADA YA VISA 133 KUREKODIWA
- Wagonjwa 33 wamepona na idadi ya waliopona #COVID19 hadi sasa kuwa 1,286
- Aidha, vifo vimeongezeka hadi 104 baada ya mgonjwa mmoja kufariki dunia
Soma - https://jamii.app/Corona3727-KE

WABUNGE WATATU WA VITI MAALUM CHADEMA WAJIUNGA CCM
- Wabunge Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kujiunga na CCM
- Chande na Semesi ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa Karantini
Soma https://jamii.app/Wabunge3CDM-CCM