SERIKALI KUJENGA UWANJA MKUBWA WA NDEGE DODOMA
> Rais Magufuli amesema Uwanja utajengwa Msalato, Dodoma na utafanana ukubwa na Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JKNIA)
> Tsh. Billioni 500 imeshapatikana kwa ajili ya mradi huo
Zaidi; https://youtu.be/icRc467P4tE

YouTube
Rais Magufuli: Serikali kujenga Uwanja mkubwa wa Ndege Dodoma
Rais Magufuli amesema Msalato, Dodoma kutajengwa Uwanja mkubwa wa ndege utakaofanana na Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JKNIA) Amesema imeshapatikana Tsh...
RAIS MAGUFULI: BAJETI YA KITENGO CHA DAWA ZA ASILI IONGEZWE
> Rais Magufuli amesema tusidharau dawa za kienyeji kwani ndizo zimesaidia kupunguza #COVID19
> Amesema kujifukiza kumesaidia sana na waliotegemea maiti kuokotwa barabarani matarajio yao hayajatimia
Zaidi; https://youtu.be/MaPGpV5NXI8

Rais Magufuli ameyasema hayo alipokuwa akizindua Jengo la Ofisi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na kuwataka Watumishi kuchapa kazi na kuacha kutafuta fedha za bure
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliDodoma

CHAD: MKUU WA MAJESHI AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUMKOSOA RAIS
> Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi iliyomlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote Jeshini
> Serikali imesema, Kiongozi huyo hatapata fidia
Soma https://jamii.app/ChadGeneral

RAIS MAGUFULI: KAZI HII NI NGUMU, INA MATESO SANA
- Amewaomba Watanzania wamuombee ili asije kuwa na kiburi au jeuri bali awe kiongozi wa kweli asiyebagua
- Pia, akatimize wajibu wake katika kipindi kilichopangwa Kikatiba ili kusudi baada ya hapo awaachie wengine ambapo pia watatimiza wajibu wao
Zaidi; https://youtu.be/sXisHOi1YVU

Rais Magufuli: Nitatimiza wajibu wangu kwa kipindi kilichopangwa Kikatiba
Rais Magufuli amesema βNaomba muendelee kuniombea nisije kuwa na kiburi au jeuri, nitimize wajibu wangu katika kipindi ambacho kimepangwa kikatiba ili kusudi baada ya hapo tuwaachie wengine watimize wajibu wao uliopangwa kikatibaβ
KENYA: WAKUMBWA NA UGONJWA WA KUIMBA, WADAIWA KULA MAGIMBI YA WIZI
> Wanafamilia hao 8 wana miaka kati 12 hadi 30, wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu wa kuimba kwa nguvu
> Mama wa familia, Susan Wangari amedai wamekuwa hivyo baada ya kula Magimbi yanayosadikiwa ni ya wizi
Soma https://jamii.app/KE8Kucheka

#COVID19 KENYA: MAAMBUKIZI YAFIKIA 3,215
> Watu 121 zaidi wamekutwa na #CoronaVirus. 115 kati ya waliotangazwa ni wakenya na 6 ni wageni
> Idadi ya waliopona imefika 1,092. Pia idadi ya vifo imefikia 92
Soma https://jamii.app/3215COVID19KE
#JFCOVID19_Updates

WIZARA YA FEDHA YAPENDEKEZA KUANZISHWA KWA NAMBA MAALUM ZA USAJILI MAGARI
- Imependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Magari Sura 124 ili kuanzisha usajili wa magari kwa kutumia namba maalum (mfano T. 777 DDD) kwa ada ya Tsh. 500,000
Soma https://jamii.app/BajetiTZ2020-21

IFAHAMU KESI ILIYOCHUKUA MIAKA ZAIDI YA 50
> Maria Ridulph alipotea Desemba 3, 1957. Mabaki ya mwili wake yaligundulika Aprili 26, 1958
> Kesi iliibuka tena mwaka 2008. Mshukiwa John Tessier alikutwa na hatia akahukumiwa kifungo cha maisha lakini baadaye alionekana hana hatia
Soma https://jamii.app/KesiMiaka50
#JFHistoria

KENYA: POLISI WALIOMBURUZA RAIA WAKAMATWA
> Polisi 3 wamekamatwa kwa tuhuma za kumburuza Mercy Cherono kwa kumfunga kwenye Pikipiki
> OCS David Kiprotich alimshutumu Cherono kuiba mtungi wa gesi, televisheni, laptop na nguo
Soma https://jamii.app/TuhumaPolisiKE

MFAHAMU MUIGIZAJI N!XAU ΗTOMA
> N!xau ΗToma ni mzaliwa wa Namibia kutoka kabila la San. Kabla ya kuigiza, alikuwa hajui chochote kuhusu maisha ya kisasa
> Alilipwa Dola 300 katika filamu ya βThe Gods Must Be Crazyβ iliyogharimu Dola Milioni 5
Soma https://jamii.app/MfahamuBushman
#JFMaarifa

MAREKANI: CHANJO YA #COVID19 KUJARIBIWA MARA YA TATU NA YA MWISHO
> Mwezi Julai chanjo ya #CoronaVirus iliyogunduliwa na kampuni ya Moderna, itajaribiwa kwa watu 30,000
> Kampuni hiyo haikutoa matokeo ya majaribio yake ya pili
Soma https://jamii.app/ChanjoCoronaMarekani

NEW ZEALAND: SANAMU LA HAMILTON LAONDOLEWA
> Kapteni John Charles Hamilton, ambaye jina lake limepewa mji wa Hamilton, aliongoza mapigano dhidi ya watu wa jamii ya Maori
> Lisingeondolewa na Uongozi, Waandamanaji wangelivunja sanamu hilo
Soma https://jamii.app/SanamuHamilton
#JFLeo

IMF YAIPA RWANDA DOLA MILIONI 111.06 ILI KUPAMBANA NA #COVID19
> IMF imesema Rwanda imeonesha uwazi na uwajibikaji katika kutumia fedha za dharura
> Ukuaji wa uchumi wa Rwanda ulitabiriwa kushuka kutoka 5.1% hadi 2.0%
Soma https://jamii.app/Rwanda-IMFFunds

MAREKANI: MKUU WA MAJESHI AOMBA RADHI KWA KUAMBATANA NA TRUMP
> Jenerali Mark Milley amesema uwepo wake kwenye ziara ya Rais huyo inaonesha kuwa Jeshi linatumika kisiasa
> Rais Trump alitembelea Kanisa la St. John lililoharibiwa na Waandamanaji baada ya kuwatawanya Waandamanaji hao kwa nguvu
Soma https://jamii.app/GeneraliAombaRadhi

TWITTER YAFUTA AKAUNTI 170,000, ZIKIWEMO ZILIZOTOA MTAZAMO WA UONGO KUHUSU #COVID19
- Imesema imezifuta akaunti hizo zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu #COVID19 na kuhusu maandamano ya George Floyd
Soma https://jamii.app/TwitterAkaunti170000

#CORONAVIRUS-MAREKANI: WAGONJWA WAPYA ZAIDI YA 22,900 WAMERIPOTIWA JANA
- Wagonjwa 22,921 wameripotiwa jana na kwa mujibu wa WHO visa vimefikia 2,654,827
- Vifo 894 vimeripotiwa na jumla ya vifo ni 119,349. Jumla ya waliopona ni 777,350
Soma https://jamii.app/COVID19Updates

BAJETI 2020/2021: BAADHI YA MAREKEBISHO YA TOZO NA KODI
> Bajeti imependekeza msamaha wa ushuru wa forodha kwa vifaa vya magonjwa ya mlipuko
> Pia, imependekeza kufuta tozo za OSHA za mafunzo ya elimu kwa umma kwani ni jukumu lao kuelimisha jamii
Soma https://jamii.app/2020-21BajetiTZ

UGANDA YATANGAZA WAGONJWA WAPYA 7 WA #COVID19. VISA VYAFIKIA 686
- Wagonjwa wote wapya ni Waganda. Waliopona wafikia 161
- Madereva wa Kenya-8, Tanzania-4, Congo-2, Sudan Kusini-2 na Eritrea-2 wamerudishwa baada ya kukutwa na COVID-19
Soma https://jamii.app/COVID19-686

MAREKANI: MICROSOFT KUTOUZA TEKNOLOJIA YA UTAMBUZI WA SURA HADI SHERIA MPYA IWEPO
> Hawatawauzia Polisi 'Facial recognition system' hadi itungwe sheria mpya ya kuheshimu haki za binadamu
> Teknolojia iliyopo ina shida kwenye utambuzi wa sura za watu weusi na jinsia zao
Soma https://jamii.app/TeknolojiaUtambuzi