Chama Cha Mapinduzi kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali, leo Julai 29, 2025 huku jina la Mrisho Gambo aliyekuwa akitetea Jimbo hilo jina lake likikosekana.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa #CCM, Amos Makalla amesema βTuna majimbo 272, Mkoa wa Arusha walioteuliwa kugombea katika Jimbo la Arusha Mjini ni Ally Said Babu, Hussein Gonga, Aminata Taule, Mustapha Said Nassoro, Paul Makonda, Lwembo Mgweno na Jaspar Augustino
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy

π4π3
Chama Cha Mapinduzi kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali, leo Julai 29, 2025.
Katika Jimbo la Iringa Mjini walioteuliwa uteuzi wa awali ni sita akiwemo Peter Msigwa na Jesca Msambatavangu
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Katika Jimbo la Iringa Mjini walioteuliwa uteuzi wa awali ni sita akiwemo Peter Msigwa na Jesca Msambatavangu
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo Julai 29, 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Jijini Dodoma imeelezwa kuwa katika Jimbo la Kigamboni walioteuliwa uteuzi wa awali wa kuwania ubunge ni sita huku jina la Mhandisi Hersi Said likiwa halimo.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
π1
Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo Julai 29, 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Jijini Dodoma imeelezwa kuwa Jimbo la Bukombe amepita Dotto Biteko kama Mgombea pekee wa Ubunge wa Jimbo hilo.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
DODOMA: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema "Walioteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki ni; Joshua Nasari, John Palanjo, Johnson Sarakikya, Elisa Mbize, Prof. Daniel Palanjo, Rose Urio, William Sarakikya na Angela Palanjo."
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
DODOMA: Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Julai 29, 2025 ni kuwa waliopita kuwania Ubunge hatua ya awali ya chama hicho katika Jimbo la Kigoma Mjini ni Clayton Revocatus Chipando "Baba Levo", Baruan Muhuza, Kilumbe Ngβenda, Ahmadi Sovu, Maulid Kikondo, Moses Basila.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
DODOMA: Katika taarifa rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM) iliyotolewa leo Julai 29, 2025 imeeleza kuwa kati ya waliopita kuwania Ubunge kupitia chama hicho katika hatua ya awali kwenye Jimbo la Tarime Mjini lipo jina la Mwanasiasa Esther Matiko.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
β€1
DODOMA: Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopita kuwania Ubunge hatua ya awali katika Jimbo Moshi Vijini ambao ni; Salim Kikeke, Prof. Patrick Ndakidemi, Morris Makoyi, Victor Tesha, Deogratius Mushi, Felista Njau na Willihad Kitali.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
DODOMA: Chama Cha Mapinduzi (#CCM), leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wagombea wa chama hicho katika hatua ya awali ndani ya chama kuwania Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini ambapo waliopita ni Esther Bulaya, Kambarage Wasira, Robert Chacha Maboto, Joseph Daud Buluba na Exavery Mfungo Rugina.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy
β€1
DODOMA: Chama Cha Mapinduzi (#CCM), leo Julai 29, 2025 kimeliondoa jina la Luhaga Mpina katika orodha ya Wagombea wanaowania Ubunge Jimbo la Kisesa, waliopitishwa katika hatua ya awali ndani ya chama ni Lusingi Makanda, Silinde Mhachile, Joel Mboyi, Dr. Madili Sakumi, Godfrey Mbuga, Elias Mambembela na Gambamala Luchunga.
Zaidi soma https://jamii.app/CCMUteuziJulai29
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy #Siasa