DIGITALI: Ni muhimu kwa Mzazi/Mlezi kumfundisha wake namna ya kulinda taarifa zake binafsi kwa kumuelekeza maudhui gani anafaa kuweka na watu gani anapaswa kuwasiliana nao mtandaoni
Mfundishe mtoto wako kuwa Wahalifu na Wadukuzi wanaweza kutumia vibaya taarifa zake dhidi yake au dhidi ya familia yake
Pia, mfundishe kuwa kwa kuwasiliana na watu wasiofaa anakuwa kwenye hatari ya kukutana na wanyanyasaji wa mtandaoni wanaoweza kumlaghai
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni

DIGITALI: Ni muhimu kwa Mzazi/Mlezi kuweka masharti kwa Mtoto ili ajue wajibu wake na mipaka yake anapokuwa mtandaoni au kutumia vifaa vya Kielektroniki. Usisubiri hadi kitu kibaya kitokee kwake
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
DIGITALI: Programu za "Parental Control" husaidia kulinda usalama wa Mwanao mtandaoni kwa kuzuia upatikanaji wa maudhui hatarishi, kudhibiti muda anaotumia mtandaoni na kudhibiti watu anaowasiliana nao
Aidha, programu hii inakuwa na ufanisi pale kunapokuwa na uangalizi na ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa Mzazi/Mlezi
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
Aidha, programu hii inakuwa na ufanisi pale kunapokuwa na uangalizi na ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa Mzazi/Mlezi
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
❤1👍1
DIGITALI: Mzazi/Mlezi una jukumu la kumfundisha na kumkumbusha mwanao kuepuka kuchapisha taarifa zake binafsi kama vile namba za Simu, Vitambulisho, Tarehe ya kuzaliwa, Anuani, Nywila zake na namba za akaunti zake za Benki Mtandaoni
Taarifa hizi zikiangukia kwenye Mikono isiyo salama zinaweza kutumika vibaya kufanyia uhalifu, anaweza kuibiwa Fedha zake hata utambulisho wake na hivyo kuhatarisha Usalama wake mtandaoni
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
Taarifa hizi zikiangukia kwenye Mikono isiyo salama zinaweza kutumika vibaya kufanyia uhalifu, anaweza kuibiwa Fedha zake hata utambulisho wake na hivyo kuhatarisha Usalama wake mtandaoni
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Fahamu kisa cha kijana aliyejiua huko Marekani Februari 2024 baada ya kushawishiwa na Akili Mnemba (AI), au chatbot na kujipiga risasi.
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
DIGITALI: Mzazi au mlezi mshauri mwanao atoe taarifa kwako au kwa mtu wa karibu pale anapopitia matatizo au hatari mitandaoni. Kumbuka mwanao anaweza kukumbana na maudhui yasiyofaa au matukio ya hatari mtandaoni
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
Soma https://jamii.app/MzaziMlindeMwanaoMtandaoni
#JamiiForums #DigitalSecurity #ChildOnlineSafety #MtotoSalamaMtandaoni
👍1
DIGITALI: Mzazi au Mlezi una jukumu la kumfundisha mwanao kuhusu Ulaghai unaofanyika mtandaoni ili kumlinda na kuepusha kutapeliwa

❤1