Umewahi kufanya hivyo Mdau? Ulichukua hatua gani baada ya kugundua hilo?
Tembelea JamiiForums.com kushiriki katika mijadala mbalimbali yenye tija.
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa

❤1
DAR: Mdau wa JamiiForums.com amedai kuna changamoto ya upatikanaji wa kadi zinazotumika kununua tiketi katika usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi na kutoa wito hatua zichukuliwe haraka kwa kuwa hali hiyo ni kero na inawakosesha baadhi ya Watu huduma.
Ikumbukwe Julai 26, 2025 Mdau mwingine alidai kuna kero kubwa ya kutopatikana kwa kadi hizo siku za wikiendi, Agosti 6, 2025, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Dkt. Athumani Kihamia alisema sio lengo lao kuuza kadi wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili, abiria anaweza kupata kadi kwa siku tano za wiki ambazo ni Jumatatu hadi Ijumaa.
Mjadala zaidi https://jamii.app/TiketiMwendokasi
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFHuduma #Accountability #JFMdau2025 #JFUwajibikaji

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
LUGHA: Kwa mujibu wa Mlumbi Joram Nkumbi, mate yana aina tatu zenye maana tofauti ambayo ni Udelele, Dovuo na Udenda
Ulikuwa unafahamu hili Mdau?
Kushiriki mjadala huu https://jamii.app/MateAina
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFKiswahili #JFLugha

Hii ni namna mojawapo ya kujipenda, siyo kila siku ni ya kazi. Unaweza kupata mtoko hata mara moja kwa wikiendi kuchangamsha mwili na akili.
Mdau, mara ya mwisho kujipa mtoko ilikuwa lini?
Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mijadala mbalimbali yenye tija.
#JamiiAfrica #JamiiForums #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha

Mdau wa JamiiForums.com kupitia jukwaa la Siasa ameibua hoja kuhusu magari yenye plate number za aina ya SSH 25-30 au SSH 2530, akisema kuna magari mengi yenye namba zinazofanana na wengi mtaani wanajiuliza iwapo wamiliki wake ni viongozi au la!
Amehoji iwapo tukio kama ajali au uhalifu likitokea litahusianishwa na gari lipi? Je, hii si aina ya kampeni ya mapema?
Kushiriki mjadala huu https://jamii.app/PlateNumberZaSamia
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #JFMdau2025 #JFUwajibikaji #Misinformation #Disinformation #MisDis2025 #TaarifaZaUchaguzi2025

ARUSHA: Akizungumza na Waandishi wa Habari, Agosti 16, 2025, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM, Saipulan Ramsey amesema “Chama Cha Mapinduzi hakijatoa kwa Mwanachama yeyote wala Mwananchi yeyote wala kutoa ruksa ya utengenezaji wa Namba za 'SSH 2530'. Ziko mamlaka husika zinazohusika na utoaji wa vibao vya namba za magari.”
Ameongeza “Chama hakina mamlaka ya kutengeneza vibao vya namba za magari, zipo mamlaka husika zinazoshughulika na jukumu hilo. Naomba mamlaka zinazohusika na utoaji wa namba za magari pamoja na usafirishaji zifuatilie yeyote aliyeweka namba hizo awaeleze amezipata wapi.”
Video Credit: Arusha Zone
Soma zaidi https://jamii.app/NambaZaSSH2530
#JamiiAfrica #JamiiForums #UtawalaBora #Uwajibikaji #Accountability #UchaguziMkuu2025

Mdau, hivi unahitaji miwani kuona?
Tuambie kama umeshawafahamu?
Kushiriki mjadala huu bonyeza https://jamii.app/WanasiasaMashuhuri
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFPhotos #JFChitChat

❤3
DODOMA: Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa Kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa ambayo ilipangwa kusikilizwa Agosti 14, 2025 imeahirishwa hadi Jumanne Agosti 19, 2025.
Shauri hilo linapinga uhalali wa mchakato uliotumika kumpata mgombea wa Urais wa CCM pamoja na Mgombea Mwenza. Dkt. Malisa alipotafutwa kwa simu, amesema shauri hilo limesogezwa hadi Agosti 19, ambapo mawakili wa CCM watatoa utetezi wao.
Awali, kesi hiyo ilisikilizwa kwa mara ya kwanza Agosti 5, 2025 ambapo Mahakama ilibainisha kuwa ina hoja za msingi zinazostahili kuamuliwa Mahakamani.
Soma https://jamii.app/KesiYaMalisaNaSamia
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Demokrasia #UchaguziMkuu2025 #Governance

Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes, ameuliza kwenye ajira, Waajiri huwa wanaangalia nini zaidi wakati wa usaili wa kazi? Je, ni CV yako ilivyoandikwa? Uzoefu wa kazi ulionao? Kipaji? Ufaulu wako (GPA)? Au ni Chuo ulichosoma ndicho chenye uzito mkubwa?
Wewe unaamini nini huwa kinaamua zaidi hatma ya muombaji?
Kushiriki mjadala huu bonyeza https://jamii.app/SifaZaKuajiriwa
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats