WATANZANIA WALIOKWAMA NCHINI QATAR KUREJEA LEO
- Watanzania 7 waliokwama #Qatar kwasababu ya #COVID19, watawasili nchini leo jioni na ndege ya Qatar Airways
- Ndege hiyo inakuja kuchukua raia wa kigeni ambao nao walikwama hapa nchini kutokana na janga hilo
#JFCOVID19_Updates

MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA NOVEMBA NA DESEMBA
> Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema michuano hiyo inayotarajiwa kuchezwa nchini #Qatar itachezwa kipindi hicho kutokana na kuwepo kwa joto kali kwenye kipindi cha kawaida yaani Juni na Julai kwenye Ukanda wa nchi za Uarabuni
Soma - https://jamii.app/WorldCup2022
#JFSports

RIPOTI: 85% YA WAFANYAKAZI WA NDANI WANADHALILISHWA NCHINI #QATAR
> Shirika la Amnesty International limearifu 85% ya Wanawake huporwa hati za kusafiri wanapowasili nchini humo
> Hunyimwa mishahara, chakula, hutemewa mate, hupigwa na kunyanyaswa kingono
Soma https://jamii.app/QataraWafanyakazi

QATAR: WATAKAOPATA CHANJO PEKEE KURUHUSIWA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA 2022
Taifa hilo linafanya majadiliano kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa watakaokwenda #Qatar na litaendelea kuchukua hatua ili michezo ifanyike kwa mafanikio
Soma https://jamii.app/QatarWorldCup

SUDAN: MABALOZI 6 WAFUKUZWA KAZI KWA KUKOSOA MAPINDUZI
Kiongozi wa Kijeshi wa #Sudan amewafuta kazi Mabalozi wa Sudan Nchini Marekani, Umoja wa Ulaya, Ufaransa, #Qatar, China na Umoja wa Mataifa Mjini #Geneva kwa kusoa Mapinduzi ya Kijeshi
Soma - https://jamii.app/SudanAmbasOut
#JFLeo

SUDAN: Madaktari Nchini humo wameandama kupinga mashambulizi dhidi ya Hospitali na Vikosi vya Usalama
Aidha, Mamlaka imekifuta kibali cha kituo cha Habari cha Al Jazeera Mubasher cha #Qatar pamoja na vibali vya Waandishi wake wawili
Soma - https://jamii.app/BanAlJazeeraSudan
#PressFreedom

UJERUMANI: Chama cha Soka (DFB) kimeahidi kumlipa kila Mchezaji wa Timu ya Taifa Tsh. Milioni 909.5 endapo watafanikiwa kutwaa Kombe la Dunia huko #Qatar
> Na wakifika nafasi ya 3 ni Tsh. Milioni 454 kwa kila Mchezaji
Soma - https://jamii.app/WCGerman
#JFSports #WorldCup2022

👍12😁8👎2
LIBERIA: Waziri wa Fedha amesema Rais George Weah anastahili posho ya takriban Tsh. 4,660,000 kwa Siku kwa safari yake ya Nje ya Nchi iliyoanza Novemba 1 hadi 23, 2022, inajumuisha kukaa #Qatar kwa Siku 9 kutazama Kombe la Dunia
Ikulu imesema safari hiyo tayari ina faida kwa nchi
Soma https://jamii.app/PoshoYaRais
#Governance

👎11👍5👏3
#KARIMBENZEMA NJE KOMBE LA DUNIA
Mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 amepata Maumivu ya Nyama za Paja katika Mazoezi ya Ufaransa na atakuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Wiki tatu
Atakosa Michuano hiyo inayofanyika #Qatar
Soma https://jamii.app/BenzemaOUT

👎6👍1
MAPUMZIKO: QATAR 0-2 ECUADOR
Enner Valencia ndiye mchezaji wa kwanza kufunga goli katika Kombe la Dunia 2022
Staa huyo wa #Ecuador amefunga magoli yote mawili dhidi ya wenyeji #Qatar dakika ya 16 na 30. Dakika 45 zimekamilika
#JFWorldCup2022 #Qatar2022 #FIFAWorldCup2022

❤9👍4🔥2
#FIFAWORLDCUP: MSIMAMO KUNDI A NA B
-
Siku ya tatu tangu kuanza kwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022, Timu za Kundi A na B zote zimeshaingia Uwanjani mara moja
Uholanzi na #Ecuador zina pointi 3 kila moja katika Kundi A huku #Senegal na #Qatar zikiwa hazina alama
Kundi B, #England ipo kileleni ikiwa na pointi 3 ikifuatiwa na #Wales na Marekani zenye pointi Moja Moja, Iran inashika mkia kwa kuwa na alama 0.
#Qatar2022 #FIFAWorldCup #JFWorldCup2022 #JFSoka2022

👍9
MOROCCO YAWA TIMU YA KWANZA AFRIKA KUFIKA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA
Ni baada ya kuifunga Ureno goli 1-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya #FIFAWorldCup nchini #Qatar
Morocco inasubiri kucheza Nusu Fainali na mshindi wa mchezo wa baadaye kati ya Ufaransa na England
#FIFAWorldCup2022 #JFSports

👍40🫡6
TIKETI 13,000 BURE KWA MASHABIKI WA MOROCCO
Shirikisho la Soka la Morocco limetoa maamuzi hayo kuelekea Mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Desemba 14, 2022
Pia, Ndege 30 zenye punguzo la bei zinasafirisha mashabiki kwenda #Qatar
Soma https://jamii.app/MoroccoFans
#WC2022

👍21🥰3❤2👏1
RASMI MABILIONEA WAWILI WAWEKA DAU KUINUNUA MAN. UNITED
Wawekezaji waliosalia ni Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani (63) wa #Qatar na Sir Jim Ratcliffe (70) wa Uingereza licha ya kuwa kiasi cha Fedha walichotenga kununua hakijawekwa wazi
Soma https://jamii.app/UnunuziManUnited

#MICHEZO: Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya #HakiZaWanawake, (UNWOMEN) limeshauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (#FIFA) kuhakikisha linatoa malipo sawa ya Fedha na Tuzo kama ilivyo kwa Wanaume hadi kufikia Kombe la Dunia la Wanawake Mwaka 2027
Mwaka 2023, Fedha zilizotolewa kwenye Kombe la Dunia la Wanawake ni takriban Tsh. Bilioni 275.5, wakati Timu za Wanaume zilizocheza #FifaWorldCup2022 huko #Qatar zilipewa takriban Tsh. Trilioni 1.1
Soma https://jamii.app/WachezajiWanawake
#JamiiForums #JFSports #GenderEquality #JFWomen #WomensWorldCup #WomensWorldCup2023 #WomenRights

👍2