Hustle zijipe Inshallah
Baraka zitufuate this whole week
Tuzidi kupiga steps towards success.
Amen.
Baraka zitufuate this whole week
Tuzidi kupiga steps towards success.
Amen.
VIBES & WINES π°πͺπ°πͺ
π SECRETS π Season 04π₯ Episode 07π¦ Nikashindwa sahi mapema hata sijafunga zip Steve anaweza kua anataka niniππ Me : What's up bro Steve : Mkuu ni kama shida zangu zimeanza tenaπ Me : Gani hizo bro Steve : Stesh hataki ni access phone yake..jana usiku karibuβ¦
π SECRETS π
Season 4 π¦
Episode 08π¦
Sema kimeumanaππ. Nikakua confused vibaya sana sasa nadeserve nini hio better?..what was this about?π. Nika reply
Me : ???
Maya : I can treat you better than she does
Me : Eii.. Maya sielewi vitu unabongaπ
Maya : You know what I'm talking about Carl.. by the way ulinipea job and i don't know how i can thank you Carl
Me : Zii zii thank you was enough by the way mi niko sawa
Maya : Nafeel tu like that wasn't enough..do you think she's giving you the treatment you deserve Carl?π
Me : Nani huyo
Maya : My cousin Celine..sio kwa ubaya but you deserve better Carl she doesn't suit you..i mean sio ati namsengenya lakini between mimi na yeye unaweza chagua nani?.. that's if you were to chooseπ
Me : Maya unajua hii stuff umeanza inaweza leta shida bigy sana.. I'm not part of this
Maya : Come on Carl.. Yani Carl hua haunioni?..hua napita hapo hata mkiwa na yeye sometimes you don't even look at me..am i ugly?..am i not pretty enough for you?
Me : You are very pretty Maya but It's too late for what you want.. Celine came first
Maya : Yeah and it's your time to shine you can't stagnate kwa mtu moja
Me : Maya haiwezi work for realπ
Maya : It will..natafuta hao by the way sitakua nakaa kwake and we can meet and do our things na privacy
Me : Wuehπ
Design huyu alikua amekuja nayo sio ya kucheza ako seriousππ. Celine angejua vile cuzo yake anabonga chafu kumhusu na vile alimsakia jobππ. Celine ni kichwa mbaya akijua hii story huyu kazi imeishaππ. Cliff akaingia
Me ; Rada
Cliff : Bro i don't think if I'll stay in this town
Me : Hi yenye unabonga ngoso leo ni kama ni seriousππ
Cliff : Bro I'm having nightmares man hata siwezi lala usiku π
Me : Buda we ni mwanaume bana umekua unalala solo toka kitambo kwani radaπ
Cliff : Sio jokes bro I can't stand it..naona tu picha ya Damian usiku nikilala..jana nimeota ananikimbiza kwa ndoto..sahi kausingizi sijui kametoka wapi hapo nje nikiwa kwa dinga nikaona s..
Me : Ukaona nani?
Cliff : Nikaona someone like him ananionekania ni kama zile lucid dreams yenye unaota but unaona inakaa real
Me : Bro hizo ni vitu unaweza overcome..wacha kufikiria about huyo mse na kila kitu itakua sawa.. nimekua juzi kwa prison kuona Denno amejengwa 10 years mzito kwa prison kwa possession ya illegal drugs za ile day..anafile case against Jessy hizo mambo za Damian
Cliff : Buda ni kubaya.. Jessy hawezi tuwacha kikiumana atatuseti..on the other hand ataweza toboa hizo deals za Ras tusanywe
Me : Hawezi.. sithani
Cliff : Yeye mwenyewe alikushow hawezi?
Me : Mi ndo nakushow hawezi
Jamaa ameingiza njeve hadi anatetemekaππ. Kutoka tu hivi Ras akacall π±
Ras : Aje bro
Me : Poa sana
Ras : How is the going..kumetulia?
Me : Yeah lakini Mike amejitoa kwa deals for good
TO BE CONTINUEDπ¦

π SECRETS π Season 4 π¦ Episode 08π¦ Sema kimeumanaππ. Nikakua confused vibaya sana sasa nadeserve nini hio better?..what was this about?π. Nika reply Me : ??? Maya : I can treat you better than she does Me : Eii.. Maya sielewi vitu unabongaπ Maya : Youβ¦
π SECRETS π
Season 4
Episode 09π¦
Ras : Atii?π³π³.. Carl what did i tell you ukianza deals?..hakuna kutoka and i assumed ulikua umeambia anyone anajoin hii biz
Me : I tried bro but siwezi ingia kwa kichwa ya mse nimcontrol you know that
Ras : He has to go down
Me : No..no no man this is my friend.. he's like a bro
Ras : Carl don't trust even your family.. huyu mse atakuweka ndani..he has to go down
Me : Hii ya leo bro haiwezekani..π
Ras : Denno alitoboa siri zangu..he revealed my secrets na vile tunaongea sahi you are about to get some bad news
Karibu phone itoke kwa mkono iangukeπ. Nilisweat hadi toja ungethani nanyeshewaπ. Na mara ya kwanza nilishuku hizi deals ni kama cult huwezi toka
Me : Bro bad news gani.. Denno ako jela
Ras : Nilikuambia niko kila mahali Carl..the other day si umeenda na manzi yako out?
Me : We ngoja..how did you know thatπ³
Ras : I'm Ras
Me : Bro it doesn't have to end this way
Ras : Nothing is ending..i just want to do what has to be done.. Denno ako jela lakini jela iko Kenya haiko planet Marsπ. Before the end of the day Denno will be no more π
Me : No man.. Denno alifanya mbaya yes but at least ako jela wacha akule punishment yake huko
Ras : My leads are telling me that anakaa huko 10 years..ten years ni kidogo sana.. people will be visiting him na atakuseti..na kwanza akitoka huko after hio ten years unathani atakuwacha?..he ruined my deal bana
Me : Yeah bro but his bro was butchered si uwache ateseke kiviake
Ras : Sifanyangi hivo kazi
Wuehπ. Mambo ilikua imeanza kukua mbaya. Enyewe Denno alisema ukweli hii ni cartel business π. Hapa pia mimi nikaskia mwili kisubmarine imetingika vibaya sana kanaweza nuka. Nikaweka phone kando nikatulia π. Nikikaa mbaya hapa naweza dedishwa vile mambo inaenda . Huyu mse anataka Mike amalizweπ. So nikashikwa niambie Mike ama niwache. Mike alikua mse muoga akiskia hivo amefika kwa makarao na atadedi before hata afike hukoπ
Nilibaki helpless kaa mse amekatwa ulimiπ. Sasa hapa naanzia wapiππ. Hii ni maneo gani nilijiingizaπ. Tresh akacall π±
Tresh : Sasa Carl niliona ulikua umenitafuta
Me : Yeah it's about Steve.. you need to pay me by the way sitashinda nikikupea advice and everything
Tresh : Aah Carl relaxπ
Me : Ati unamkazia asipitie phone yako unajua hivo ataanza kukushuku
Tresh : Ooh alikushow
Me : Yeah he's worried anashuku unacheat
Tresh : He never trust me
Me : Can anyone trust you ?
Tresh : Whaat?
To be continued β€οΈ

π SECRETS π Season 4 Episode 09π¦ Ras : Atii?π³π³.. Carl what did i tell you ukianza deals?..hakuna kutoka and i assumed ulikua umeambia anyone anajoin hii biz Me : I tried bro but siwezi ingia kwa kichwa ya mse nimcontrol you know that Ras : He has to goβ¦
β€οΈSecrets β€οΈ
Episode 10π¦
Ulimi kisubmarine ikateleza kwa mate nikaropokwaππ
Tresh : Carl what did you say?
Me : Pole manze i didn't mean to offend you
Tresh : Cheki Carl if you are tired of all this nishow..najua i made mistakes in the past and they are hunting me down.. I'm human Carl I'm not perfect.. Steve alinikatia..na hio time akiwa talking stage his dad came in..i wanted a boyfriend and money too.. Steve alikua amekaziwa doo kwao hakukua na doo sana hio time but i love him..his dad gave me anything i ever wanted in this world..it was tempting Carl wewe unaweza kataa pesa?
Me : Hey hey it's okay Stesh let's change the topic.. deleted any sensitive information na pics kwa simu then weka hapo Steve akipitia asipate anything
Tresh : Thanks Carl π
Me : Na ile maneno ingine kuna progress?
Tresh : Carl njia zangu zimefungana sijui nifanye aje..aki Carl mi naweza jiua tu nitoke kwa hizi shida..huyu mtu wa kihara amekua mgumu kama mawe
Me : Mtu wa kiharaππ
Tresh : Carl nimechoka
Me : Zii zii Tresh relax mi niko na hopes mambo utakua poa
Hapa i was just gaslighting her lakini enyewe pia mimi naona hakuna hopesπ. Kuibia mse kama Simon ni ngumu sana this man was very smart mtu anawezana na yeye ni Sandy tu.
Me : Tresh it shall be well
Tresh : Carl hope niko nayo ni kidogo sana
Mimi hata kichwa ingelipuka ju ya hizi maneno. Mambo kisubmarine ilikua meniangalia kila mahali siwezi pumuaππ
Nikaendelea kupiga job pale. Nikatoka nje kupigwa na kajua flani. Nikaona Cliff anazunguka zunguka ako stressed mbaya sana. Nikashindwa huyu mse shida inaweza kua niniπ€. Jack akaingia. Macho ilikua red ungethani amepakwa chili
Me : Yooh
Jack : Bro naweza ua mtu sahi
Me : Alaa kwani rada
Jack : Jessy was cheating on me na Damian
Me : Si i thought walikua wanadate before ukuje?
Jack : Yeah but waliwachana..she has milked me dry nimekua najikaza bro lakini nimesema wacha nifungue roho as your fellow man naumia
Me : Milked you dry?
Jack : Amenitoka kila kitu Mshwari, kcb mpesa amechukua hata loan..bank amefagia 80k ya savings akaongeza loan ya 50k na akapotea i can't trace herπ
To be Continuedβ