VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.49K subscribers
1.47K photos
143 videos
115 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
Forwarded from Jude Bellingham
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 03๐Ÿฆ‹ pisode 22๐Ÿ”ฅ Hapa nikashindwa niasadie nani niwache nani. Naweza delay hio process ya Sandy ndo Tresh atoke doo ahepe. Pia naweza saidia Sandy haraka before Tresh aibe hizo doo๐Ÿ’”. Lakini sasa kisubmarine nikasema nitasaidia nani niwacheโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 03๐Ÿ”ฅ

Episode 23๐Ÿ”ฅ

For the first time Ras akakua nyuma ya news๐Ÿ˜‚. Anajuanga kila kitu leo kamefungana mbaya

Ras : Waah bro mambo inachemka sana niaje
Me : Jooh..then Denno akageuziwa zile drugs sahi niko sure ameingia prison
Ras : Wacha akae huko kabisa.. this time round deals zimekua na bad luck si wacha tuingie commercial break kiasi
Me : Walahi bro
Ras : Poa nitakutafuta
Me : Poa

After hio call nikacheki Celine anaingia

Celine : Carl she told me she's pregnant
Me : Yeah
Celine : Carl ulisema you can't be mine kabisa kabisa๐Ÿ’”
Me : Siwezi kua na nyinyi wote nitajua ni wewe ama ni yeye
Celine : Sina shida ukiwa na Stesh Carl.. she's a good girlfriend i know that.. better than me but still i can't get enough of you โ™ฅ๏ธ.. Carl si uamue tu nikue sidechic
Me : Sijaiskia manzi anaomba kukua sidechic๐Ÿ˜‚
Celine : Now that najua manzi yako itabidi nikue sidechic
Me : As you say
Celine : For real?.. sidechic privilege lazima nipate sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜˜

Tukakiss hapo kiasi akarudi job. Nikaanza kujaribu kuconnect kifo ya soldier na Damian lakini haikua inaingiana๐Ÿ’”. Na Jessy na Denno walisema kitu about Cliff but still haikua inaingiana ๐Ÿ’”. Nani alimada soldier?. Loise akaingia

Me : Hey
Loise : Hey Carl
Me : Uko aje nambie
Loise : Niko poa..I broke up with my husband
Me : Ooh that's bad๐Ÿ˜ณ
Loise : Hapana Carl nilikua nimevumilia ya kutosha๐Ÿ’”..he was very toxic we have been fighting toka tuanze hio marriage
Me : So sahi unakaa wapi
Loise : Hio place tu..i was the one paying the rent yeye ameenda
Me : Wapi
Loise : Staki kujua..so Carl nilikua nasema maybe you can drop by to say hi to the kids
Me : Eii Loise hi to the kids?๐Ÿค”..why..they know I'm not their dad
Loise : Watoi wangu sio wabaya Carl ni ile they lack a father figure at the moment.. they'll understand
Me : Wako how old
Loise : Moja ako seven years na moja ako 3 years.. they're good kids utaona๐Ÿ˜Š
Me : I'll try
Loise : My ex husband aliharibu gari yangu tyres so leo si unaweza nidrop home?
Me : Poa

Huyu amerudi mwenyewe ๐Ÿ˜‚. Hii mali sahi kisubmarine ni kama ni yangu sasa bwana hayuko sasa huko ni kutawala vibaya sana๐Ÿ˜‚. Nikaendelea kupiga job pale. Majioni hivi sasa nikasema wacha nimtegee tutoke

Celine : Aki beb will you drop me home
Me : Maybe kesho leo nategea Chris anasema anapitia hapa
Celine : Huyo mzee naye aghh..sawa bye love you โ™ฅ๏ธ

Akatoka akaishia. Loise akatoka huko manze curves ziko fiti nikambao vibaya sana๐Ÿ˜‚. Akaingia kwa dinga. Akaniwekea mkono kwa chuma hadi vile tulifika kwake

Loise : I was missing you ๐Ÿ˜
Me : I'm back๐Ÿ˜
Loise : Househelp ako usitense๐Ÿ˜‚
Me : Ooh
Loise : Yeah nilimleta akue anaendea watoi kwa shule
Me : Poa

Tukajipin kwa hao

Loise : Sarah how are the kids
Sarah : Walitoka shule wakalala
Loise : Aah Carl i think hawa utawaona next time
Me : Haina shida

Tukaingia bedroom pale tukikiss manze nilifungua chuma heavy sana huko ndani hadi nashuku huyu Sarah alijua ju Loise alikua anamoยฐan nyumba mzima, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ†๐Ÿ‘. Tukamada tukachill hapo kwa bed

Loise : If everything goes well i can give you a baby girl๐Ÿ˜

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ

Wadau tureact๐Ÿ˜Š
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 03๐Ÿ”ฅ Episode 23๐Ÿ”ฅ For the first time Ras akakua nyuma ya news๐Ÿ˜‚. Anajuanga kila kitu leo kamefungana mbaya Ras : Waah bro mambo inachemka sana niaje Me : Jooh..then Denno akageuziwa zile drugs sahi niko sure ameingia prison Ras : Wachaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 03๐Ÿ”ฅ

Episode 24๐Ÿ”ฅ

Huyu anataka niongeze watoto na hata Stesh ako na ball๐Ÿ˜‚. Kisubmarine nikasema tutaona hio maneno๐Ÿ˜‚. Akanifikisha kwa gate nikadrive hadi home. Nikafika. Nikaskia kwa hao ni kama Stesh ako na mtu. Ilikua sauti ya manzi. Nikaingia nikapata ni Cindy ๐Ÿ’”

Stesh : Hey beb..meet Cindy..siz ya Tresh
Cindy : No need tunajuana hata๐Ÿ˜‚
Stesh : Ooh๐Ÿค”

Cindy akaamka akanihug mbele ya Stesh. Kiundercover ile macho illegal Stesh alinitupia nikajua after hapa ni kesi moja mbaya sana๐Ÿ˜‚.

Cindy : Actually nimepatana na Stesh leo huko kwa job nikasema nijue penye mnakaa
Stesh : That's good thanks Cindy nilikua nimekumiss.. why don't you stay for dinner?
Cindy : Okay haina shida

Nikapanda bedroom nikachange. Na Tresh alinikataza na huyu siz yake nikaona ako jaba sasa ndo hii imenilipukia kama grenade pale Vietnam๐Ÿ’”. Food ilitake time kuiva pale manze tukadishy 10pm

Cindy : Wow this is delicious
Stesh : Ooow๐Ÿ˜..beb mbona hauongei
Me : Had a rough day at work ni Kuchoka
Stesh : Ooh na vile nilithani utadrop Cindy kwake
Cindy : I can sleep niende kesho
Stesh : Good idea๐Ÿ˜‚

After kumada kudishi nikapanda upstairs nikadoz. Stesh akaingia

Stesh : Beb hio ni tabia gani mbele ya mgeni..umebonda hata anaweza sema hupendi watu kwako
Me : Beb ni juzi tu nimekua na accident how do you expect me to be happy as if nothing happened
Stesh : Sikatai beb but at least unakua active najua sahi Cindy anajiuliza maswali mob sana
Me : Beb kama hautaki kulala enda mkae na yeye

Tukadoz. The following morning tukaingia kwa dinga nikadrop Stesh kwa branch yake nikabaki na Cindy kwa dinga

Cindy : Unajua mbona nilikuhug?.. nilikua nataka kuona reaction ya Stesh but nikaona hakujam
Me : Cindy what's this?๐Ÿ˜’..unatafuta nini kwangu i told you to stay away from me ukizidi I'll tell Tresh
Cindy : I told her leo nakam kwako.. she's my small siz hawezi fanya anything.. plus Carl wacha nikuambie you can't be giving me some nice dkk*k alafu nikuwache.. never
Me : Leave me alone Cindy mambo yangu na wewe iliisha i just want peace
Cindy : And i want you..i can give you that peace you know

Nikamdrop kwake nikafika job. Nikachill pale nikipiga job. Steve akaingia

Steve : Bro long time
Me : Long time man uko aje
Steve : Niko freshi bro bana tangu ukue manager umepotea sana bana

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ

Reactions wakuuโค
Niwaongezee Episode moja ama watu wamelala ๐Ÿ˜‚
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 03๐Ÿ”ฅ Episode 24๐Ÿ”ฅ Huyu anataka niongeze watoto na hata Stesh ako na ball๐Ÿ˜‚. Kisubmarine nikasema tutaona hio maneno๐Ÿ˜‚. Akanifikisha kwa gate nikadrive hadi home. Nikafika. Nikaskia kwa hao ni kama Stesh ako na mtu. Ilikua sauti ya manzi.โ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 03๐Ÿฆ‹

Episode 25๐Ÿ”ฅ

Me : Manze niko tu nimechill manze๐Ÿ˜‚
Steve : Lizz ananishow jana ati she's missing you nashindwa rada๐Ÿ˜‚
Me : Kwani aliwachana na boy wake๐Ÿ˜‚
Steve : Zii rada yake sijui ni gani
Me : Awache mchezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Steve : Anyway bro nimesema leo nikam nijue uko aje bana..ile deal ya fake notes nimejaribu kufatilia wanasema hao wasee they're nowhere to be seen kumbe one of their clients ndo aliwaseti kwa makarao๐Ÿ’”
Me : Alaa
Steve : Illegal business hukua ivo man ni kawaida
Me : Yeah man.. how's Tresh
Steve : Ako poa kwanza nowadays she's more lovely than before..soon we are moving in together
Me : Wow man hio ni poa
Steve : Huskii huko home sio kuzuri bro
Me : Aje man
Steve : Lizz ananishow mum na dad wanagombana to a point of fighting and I'm the reason..man my dad is super reach lakini anasema kwa will yake hata ten bob siwezi pata..bro I'm stressed nashindwa my kids watainherit nini toka kwangu๐Ÿ™†..i just feel like kiยฐlling my dad..manze i have always been there for my dad lakino siwezi elewa nini imemuingia
Me : Zii zii bro najua this is hard but relax usifanye mzee kitu mbaya kwanza i want you to relax tucome up na solution
Steve : Okay man
Me : Nataka uhesabu wealth na worth ya budako yote kwanza unishow
Steve : Ako na shares kwa hii kampuni mzima, my dad has a small factory ya kuprocess food, ako kwa real estate ako na several apartments, he's into car businesses kibao sana hapa tao na indians, he's a shareholder kwa kampuni kama kumi
Me : Wachia hapo bro.. your dad is a billionaire๐Ÿ˜ณ๐Ÿค”
Steve : Yeah but ni mse mgumu sana na hua hataki watu wajue ako na hio wealth yote.. imagine hio yote na hakuna hata moja anadai kuniwachia๐Ÿ’”.. bro ama my dad ako na another family?.. maybe i have other brothers and sisters na sijui
Me : Sithani
Steve : So bro nataka kukaa chini na my dad tuelewane
Me : Good idea
Steve : But I can't do it alone.. I'll do it with you.. today
Me :Aah bro that's a bad idea
Steve : You are the only friend who understands me man come on
Me : Sangapi
Steve : Sahi..i know where to get him..nataka niende na wewe ju nikienda solo something bad my might happen tumalizane๐Ÿ’”..nataka uconvince my dad umshow aniwachie kakitu manze hata kama ni estate moja
Me : Well let's move

Tukachomoka hadi kwa ofisi ya Simon

Secretary : Noo..boss ako busy Steve kuja time ingine
Steve : Edith this is my dad na nataka kumuona sahi

Tukaingia huko ndani mzee alikua amechill anakunywa Kenya kane yake pole pole

Steve : Dad..we need to talk
Simon : Aah Carl habari yako
Me : Mzuri sana
Simon : Okay son..say it
Steve : Dad nimekam na Carl ju i want him here as a witness

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ

Mreactโค
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 03๐Ÿฆ‹ Episode 25๐Ÿ”ฅ Me : Manze niko tu nimechill manze๐Ÿ˜‚ Steve : Lizz ananishow jana ati she's missing you nashindwa rada๐Ÿ˜‚ Me : Kwani aliwachana na boy wake๐Ÿ˜‚ Steve : Zii rada yake sijui ni gani Me : Awache mchezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Steve : Anyway bro nimesemaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 3 ๐Ÿฆ‹

Episode 26๐Ÿ”ฅ

Simon : Haaa๐Ÿ˜‚.. witness wa nini?
Steve : Dad mum na siz wanasema umesema I'll inherit nothing from you
Simon : Wow.. Steve wacha tuanzie nyuma kidogo..my dad was very rich..lakini aliishi kuniambia a man gets everything he wants not everything he's given for free..mimi my dad aliniwacha nikiwa maskini wa mungu..he gave me nothing..nimeteseka nikitafuta everything from zero vile unaniona hivi i inherited nothing from anyone..hii mali yote unaambia watu ati my dad is wealthy nilitafuta from a scratch..i met your mum nikiwa na kila kitu pesa, magari, manyumba..na nataka ujifunze kujitafutia Steve staki ukue a smooth boy mwenye anataka kulishwa kama kuku๐Ÿคจ
Me : Simon hio ni ukweli lakini nowadays kupata mali ni ngumu sio kama kitambo.. Steve needs something from you hata kama ni kidogo yenye ataanzia akitafuta ingine
Steve : Yes dad๐Ÿ˜’
Simon : Carl my son is very lazy..yeye kazi ni simu na laptop..nikimuuliza anafanya nini anasema anafanya kazi ya online ๐Ÿ’”..ni pesa ngapi nimekupea Steve?..i took you abroad for further studies ukarudi with nothing..ukakosa kazi kila mahali ndio nikakuweka kwa hii kampuni..am i a bad dad sasa sindio?.. Carl hii kazi Steve anafanya ni mimi nilimpea ni nini ingine unataka..kazi ni video games na kushinda jikoni na Fatuma.. Steve mimi naona uko kwa right path kwanza vile niliambiwa umerent nikajua unefunguka akili..give me a reason to give you your share and I'll do it son
Steve : Dad Fatuma has nothing to do with this..unaniambiaga kila siku ati i give you a reason ndo unipee share yangu but story mum anasema ni different
Simon : I don't need to discuss everything with your mother๐Ÿ˜‚..come on son
Steve : Carl my dad is drunk this conversation is useless
Me : Zii bro chill
Simon : Leta glasses hapo we toast Carl
Steve : Dad I can't drink with you hio ni kukua disrespectful
Simon : Ni mimi nakupea ruhusa Steve..be a strong man like Carl
Steve : Let me receive this call narudi

Steve akatoka nje nikajua anabonga na Tresh

Simon : Carl huyu na mama yake wanataka kuniibia..they can even kill me to get my wealth..na they're going to get nothing
Me : Okay Simon nakuelewa lakini do him a favor manze hata kama ni kiasi
Simon : Hehee๐Ÿ˜‚.. Carl haujui hawa watu wewe..wanataka hio mali wakule yote waharibu kabisa..i know them.. mtu wa akili kwa hio nyumba ni my daughter Lizz..huyo tu ndo alifata akili yangu lakini huyu na mama yake hakuna kitu kabisa..bure kabisa

Steve akarudi mzee akachange topic

Simon : So as i was saying hii Kenya ya sahi..
Steve : Dad do not shift the topic i know you๐Ÿ˜‚
Simon : Son don't worry wewe fanya tu mambo kama mwanaume if you impress me baas share yako pap.. Carl is here as a witness you are very smart

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 3 ๐Ÿฆ‹ Episode 26๐Ÿ”ฅ Simon : Haaa๐Ÿ˜‚.. witness wa nini? Steve : Dad mum na siz wanasema umesema I'll inherit nothing from you Simon : Wow.. Steve wacha tuanzie nyuma kidogo..my dad was very rich..lakini aliishi kuniambia a man gets everythingโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 3 ๐Ÿฆ‹

Episode 27๐Ÿ”ฅ

Nikarudi site. Manze kisubmarine Simon hakukua anafanya fiti๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. My son mimi lazma nimpee inheritance ju kwani nilikua nasaka nifanyie nini๐Ÿ˜‚. Nikachill pale site nikifanya job. Jack akaingia

Jack : Bro hii ni maneno gani naskia ati Damian ametuwacha๐Ÿ’”
Me : Manze hadi mimi nashindwa Kunaendaje ๐Ÿ’”
Jack : He was killed manze๐Ÿ’”
Me : Jooh wacha tuchill tujue nani alifanya hio mambo
Jack : Alafu bro i saw something unusual today
Me : Gani
Jack : Mike alikuja na dinga ya job leo morning which means alienda nayo kwake.. how's that possible?๐Ÿค”
Me : Alaa..are you sure bro?
Jack : Yeah..dinga hukua locked 4pm na zinakua unlocked exactly 8am..he needs to be questioned bana
Me : Let me deal with him thanks sana bana kwani huyu kijana anaona yeye ni nani
Jack : Wacha nimuite tuskie
Me : Zii sio sahi kuna zoom meeting niko nayo na wakubwa maybe after 30 minutes hapo

Jamaa kutoka hivo nikaita Mike

Me : Bro leo huskii ulionwa na Jack ๐Ÿ’”.. unajua yeye ndo CCTV ya wakubwa hapa utaleta shida..ukitoka na dinga unarudi mapema morning before 7.30 am
Mike : Nilichelewa manze๐Ÿ˜‚.. usingizi ya hio cell mkuu kesho haiwezi happen tena
Me : Mshow ulireport job mapema so ulikua unatoka kukula breakfast kwa hotel poa
Mike : wazi

Jack akaitwa

Me : We Mike Jack anasema ulionekana na dinga ukitoka kwako..can you explain that ama kazi iende sahi..kuna drivers wengi wanataka kazi staki ukora hapa๐Ÿ’”
Mike : Ooh aah nilifika mapema nilikua nafanya road test nikitoka breakfast hapa kwa hotel tao
Jack : Hapana usifanye ivo si unajua fuel inawekwa hapo ni ya kubeba workers solo sio yako ya mazoezi๐Ÿ˜‚
Mike : Haina noma Jack
Jack : Alafu bro Denno haonekani bana..dinga yake iko hapo packing imejaa vumbi๐Ÿ’”
Me : I'm trying to do a follow up ni kama hio kifo ya Damian imemfanya akue busy
Jack : Poa but fanya follow up
Me : Poa

Lazima tucheze na medulla kiundercover. Nakumbuka vile Denno alituseti kwa Damian na vile alikua anatuchekelea hapo ndani manze vile mambo iligeuka within a second akabaki mdomo wazi. Jessy sijui alitorokea wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Jessy alikua manzi mwingine hivi design anapiga mambo yake hadi huwezi elewa๐Ÿ’”. Nikiwa hapo Celine akaingia

Celine : You have a visitor
Me : Mgani
Celine : Lizz ama sijui hua anaitwa lizzy sijui

Nikashindwa Lizz anadai nini manze na tuliwachana bana hawa ex wanarudi kwani rada yao ni gani๐Ÿ’”

Me : What's up
Lizz : I know you are asking yourself nimerudi nini Carl but i bet you'll understand..siko hapa ati nataka turudiane ama anything like that no..
Me : What do you need Lizz
Lizz : Carl sijai pata vibe kama yenye ulikua unanipea.. I'm breaking down Carl my boyfriend is just absent minded hata nikimuambia kitu hachukulii serious..
Me : Sasa hapo how will i help you Lizz.. I'm not your boyfriend na kwanza i have a girlfriend sahi nilimove on
Lizz : Zii you didn't move on.. ulikua unadate Stesh na ndo nimejua juzi anyway sio hio imenileta hapa..i need someone i can talk to Carl niko stressed
Me : Lizz what's going on..nini inakupea stress
Lizz : Carl I'm pregnant na boy wangu ameruka๐Ÿ˜ฅ

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 3 ๐Ÿฆ‹ Episode 27๐Ÿ”ฅ Nikarudi site. Manze kisubmarine Simon hakukua anafanya fiti๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. My son mimi lazma nimpee inheritance ju kwani nilikua nasaka nifanyie nini๐Ÿ˜‚. Nikachill pale site nikifanya job. Jack akaingia Jack : Bro hii ni manenoโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ
Season 3 ๐Ÿ”ฅ

Episode 28๐Ÿ”ฅ

Alaa..huyu anapewa ball kwingine anakuja kunililia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Alaa Lizz ball sio yangu manze sasa mbona unakuja kunishow mimi
Lizz : I need emotional support Carl.. I'm going through a lot hata sijui naanza aje kuambia mum๐Ÿ˜ฅ
Me : So what do you want?
Lizz : Carl i need your advice nifanye aje..nitoe?

Hio swali huku noma sana ju anything bad ikifanyika ni wewe unakua blamed

Me : Wueh..hii decision ni ngumu sana Lizz..boy wako mbona akaruka
Lizz : Ati hakukua ready for this
Me : Sasa hizo ni gani
Lizz : Carl niambie mum ama nitoe?
Me : Usitoe..ambia mum uone vile atasema.. hawezi zua sana ju you are not a kid
Lizz : Unajua sahi she's not that happy ju wanaletana na dad sana..nakuanga home solo hua naboeka sana.. Carl hata kama ni kuwacha mtu haufai kunyamaza hivo
Me : That day ulisema nini kwa Steve mkiwa na boy wako?..
Lizz : Actually I'm also here to apologize..if sitatoa hii ball na nizae a baby boy I'll call him Carl๐Ÿ˜Š..i really wanted to have a family with you lakini Carl ile matharau ulikua unanionyesha nilikua najitharau sana
Me : Sikukua na matharau that's my nature mi hukua ivo
Lizz : Ni ju uko ma madem wengi na haukutaka wakuone na mimi๐Ÿ’”..am i ugly Carl?
Me : Noo noo you're very cute by the way
Lizz : Mbona ukaniwacha Carl
Me : Mimi nilikuwacha ama ni wewe uliishia?
Lizz : Nilikua nimechoka Carl plus haukua unataka kuchange
Me : We hebu ishia sahi uambie mum you are pregnant uskie vile atasema then you'll tell me
Lizz : Poa thanks..by the way ile number nilikucall nayo ndo my new number unaweza save
Me : Poa

Kwani Kunaendaje kisubmarine kila manzi anapata ball hivo๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚. Ama ni outbreak ya mimba๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Lizz akatoka akaishia. Tresh akacall ๐Ÿ“ฑ

Tresh : Sasa Carl
Me : Poa sana
Tresh : Imagine jana mubaba ameniletea bed na vitu za mtoi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”..yeye anajua niko na ball na sina๐Ÿ’”
Me : Alaa๐Ÿ˜‚.. unajua nilimpeleka kubuy but it was a surprise singekushow๐Ÿ˜‚
Tresh : Alaa ๐Ÿ˜‚. Ananiuliza kama anibuyie nyumba ama abuy shamba anijengee๐Ÿ’”
Me : Hapa sasa inaweza work
Tresh : Then niko na good news
Me : Nishow
Tresh : Kuna ATM card yake niko nayo ameniambia hadi pin.. every month 700k zinaingia kwa account yake..ako na bank accounts mingi lakini hii yenye niko nayo iko na 120k..hio inaweza nitosha kweli?
Me : Hio hata haiwezi kuhepesha ukae mahali two weeks itakua imeisha..nataka utoke doo zenye kama ni biz una launch moja boom
Tresh : Wacha niendelee kumsorora..ako na apartments flani zinampea pesa mob..jana he was somehow drunk alikua anaropokwa.. akiniambia pia ati wealth yake almost yote anaweza andika kwa jina ya huyu mtoi nitazaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Baas sasa hapo moves zimeanza kujipa. Msorore kabisa
Tresh : Imagine hizo apartments anakula almost 1M per month..then doo zake mob ame invest so hana doo mob kwa accounts ni mjanja sana๐Ÿ’”
Me : Lazima utamshika unajua you are his weakness so wewe tumia hio kama advantage
Tresh : Poa Carl I'll do as you say..ikiingia Carl siwezi kuwacha bure
Me : Haina shida๐Ÿ˜‚
Tresh : Then Cindy amenishow she's not going to leave you๐Ÿ’”

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Season 3 ๐Ÿ”ฅ Episode 28๐Ÿ”ฅ Alaa..huyu anapewa ball kwingine anakuja kunililia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Me : Alaa Lizz ball sio yangu manze sasa mbona unakuja kunishow mimi Lizz : I need emotional support Carl.. I'm going through a lot hata sijui naanza aje kuambiaโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03๐Ÿฅณ

pisode 29๐Ÿ”ฅ

Huyu Cindy sijui alikua ametumwa na nani ju hii yake nayo ilikua imezidi hata kama ni kukua lonely yeye amezidi. Kisubmarine mi nikasema wacha nichill nisome hizi moves zake

Me : Wueh๐Ÿ’”
Tresh : Carl my siz hua hagive up...na alikunasa akili๐Ÿ˜‚..sasa sijui utafanya aje
Me : Jana amekua kwangu hadi kadoz๐Ÿ’”.. Stesh hakujua kitu inaendelea
Tresh : Carl sahi sina vile naweza kusaidia huyo before awachane na wewe mtakosana vibaya sana
Me : Kwani ako na nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tresh : Ni mse wa visirani tu she's very toxic
Me : Siwezi kosa kujua vile nitadeal na yeye
Tresh : Poa tutaongea
Me : What about Steve ako aje?
Tresh : Ako poa but nowadays anakaa stressed
Me : I bet ni ju ya hio story ya inheritance..wewe harakisha kikiumana mambo ikupate mbali

After kubonga na Tresh Celine akaleta kahawa pale tukajipin๐Ÿ˜‚

Celine : Leo ukipitia kwangu I'll be very happy ๐Ÿ˜‚
Me : Tutafika sahi you are officially my sidechic๐Ÿ˜‚
Celine : Aki nowadays si you are romantic๐Ÿ˜‚
Me : I'm always romantic๐Ÿ˜‚
Celine : Carl i need a favor
Me : Gani
Celine : I have a cousin of mine aligraduate na hajai pata job
Me : So?
Celine : Huwezi kosa a way of helping her Carl
Me : Ooh ni her?..i thought ni ndume๐Ÿ˜‚
Celine : Zii she's a lady
Me : Ako how old
Celine : Kama mimi tu actually hua namuita my twin ju we were born the same month๐Ÿ˜‚
Me : Wacha I'll talk to the HR
Celine : Aah Carl wewe ndo una employ watu ama HR
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Celine : Help her carl usikue hivo
Me : Ako experienced ama atakuja hapa afanye kazi ya ufala
Celine : Huyo hukua hard working Carl she's very disciplined ukimsaidia apate job hapa ama in one of the branches I'll be very happy..
Me : Okay mshow akuje kesho interview
Celine : Oow thanks Carl๐Ÿ˜

Nikaita Mike

Me : Bro ulisema umebaki na doo ngapi
Mike : 400k
Me : Bibi hakuuliza zimetoka wapi๐Ÿ˜‚
Mike : Ameleta shida sana but siwezi kosa kiswahili alafu si unajua anapenda doo so akiona mob hivo hata hataki kujua zimetoka wapi sana
Me : Niletee 200k kesho
Mike : Poa
Me : Then tutegee deals inaweza take more than two months ju Ras anasema sahi market imejaa snitcยฐhes
Mike : Ni sawa man haina noma
Me : Wazi chapa kazi

Tukaendelea kupiga job. Matime ya kutoka ikafika. Nikasema wacha nitoke na Celine nifike hivo kwake then niishie home. Tukachill pale na drinks. Huyu nikikuja kwake lazima zip ifunguliwe๐Ÿ˜‚. Niliamsha chuma kisubmarine kama kawaida. Kumkunja 360ยฐ hadi apumue na mdomo๐Ÿ†๐Ÿ‘. After shuguli akapika food pale nikadishy. Nikachomoka. Kufika kwa gate yangu Sandy akacall ๐Ÿ“ฑ

Sandy : My son
Me : Yes mum
Sandy: Najua umetoka kazi kama umechoka
Me : Yeah ndo hata naingia kwa hao
Sandy : Tunaweza patana?๐Ÿ˜Š
Me : Wapi
Sandy : Hapa tao hotel tu.. unaweza kuja sahi hata.

Nikaona instead ya kuingi kwa hao si ni pendue tu dinga niishie hivo๐Ÿ˜‚. Nikapita express hadi tao. Nikapata ni 5 star hotel intercontinental. Wazungu walikua wamejaa hapo sio mchezo

Receptionist : Excuse me sir who are you going to see?
Me : Ooh i want to meet someone here
Receptionist : ๐Ÿ˜Š okay sir lakini hapa lazima ukue na appointment this is a premium hotel for specific people... you'll have to leave Sir

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ

Hii effort yote alafu ukose ku react msee๐Ÿ˜‚