VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.68K subscribers
1.7K photos
149 videos
126 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 4 ๐Ÿ’ฆ Episode 03๐ŸŒ  Me : What do you mean man.. Damian was going to kill her angejua ukweli..na kumbuka pia kama Damian hangetolewa in the picture mimi na wewe tungekua prison.. Denno angehepeshwa na bro wake๐Ÿ˜‚ Mike : Wueh manze tumekua involvedโ€ฆ
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚
Season 4๐Ÿ”ฅ

Episode 04๐Ÿ”ฅ

Me : Zii bado ni mapema๐Ÿ˜‚
Stesh : Niko curious๐Ÿ˜‚
Me : Life is all about curiosity na hio ndo humake life interesting.. knowing everything spoils the game wewe tulia๐Ÿ˜‚
Stesh : Okay sikusema unipee motivational speeches๐Ÿ˜‚
Me : Kesho nataka nifike hivo kwa kazi
Stesh : Tuko kwa leave beb kazi aje?
Me : Kuna meeting kiasi tu
Stesh : Penye imefika Carl nitaanza kumake calls huko nikue kama ni ukweli vitu hua unanishow
Me : Unaona sasa . you don't trust me..how can we live like this manze๐Ÿ’”
Stesh : Ona sasa.. you are always playing victim hata kama ni wewe umenikosea..juzi ukapotea three days..the other time umetoka huko na some cash..doo mingi sana..beb if there's something you are hiding from me this is the time
Me : For what๐Ÿ˜
Stesh : To tell me
Me : I'm hiding nothing beb๐Ÿ˜‚
Stesh : Wewe cheka..by the way Blake is coming next week
Me : So mlisameheana ama
Stesh : Zii nilipata amenitext but i didn't reply
Me : So anakujia manzi yake ama๐Ÿ˜‚
Stesh : Manzi anadate family mzima ya Simon๐Ÿ˜
Me : Hey hey mind your tongue beb hio information ikitoka nje people will slaughter each other

Nilikua worried sana manze kisubmarine Stesh anaweza ropokwa๐Ÿ˜‚. Na mse nilikua nasaidia ni kama hakukua ready kutoroka bado anataka kuskia joto ya Simon๐Ÿ˜‚. Hio wiki mzima nilikaa na Stesh hadi nikachoka๐Ÿ˜‚. Friday morning na mapema Loise akacall ๐Ÿ“ฑ. Nikaangalia kama Stesh ameamka nikaona bado analala. Nikatoka na phone hadi downstairs

Me : Yes
Loise : Guess what
Me : What
Loise : I'm pregnant๐Ÿฅน
Me : Whaat๐Ÿค”
Loise : Yeah..some weeks
Me : Nilikushow usipo toa hio stuff ni wewe utalea
Loise : Na DNA itadeal na wewe..why did you sleep with someone's baby mama kama uko na bibi yako Carl?
Me : What's this Loise..we started well lakini naona tukikosana vibaya sana
Loise : I know your problem..kama hautaki watu wajue then we can be meeting in secret hadi vile nitazaa huyu mtoto
Me : Forget about meeting me

Nikakata hio call. Sasa hapa mambo imechemka both sides mbaya sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Stesh akijua huyu ako na ball hapa nimetokwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. New number ikacall

TO BE CONTINUED ๐Ÿฆ‹
Hustle zijipe Inshallah
Kila hatua Dua
Efforts za kila siku kuwe na success

Amen.
Forwarded from The Nairobian
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 4๐Ÿ”ฅ Episode 04๐Ÿ”ฅ Me : Zii bado ni mapema๐Ÿ˜‚ Stesh : Niko curious๐Ÿ˜‚ Me : Life is all about curiosity na hio ndo humake life interesting.. knowing everything spoils the game wewe tulia๐Ÿ˜‚ Stesh : Okay sikusema unipee motivational speeches๐Ÿ˜‚ Meโ€ฆ
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚
Season 04๐Ÿ’ฆ

Episode 05๐Ÿฆ‹

Hizi new numbers manze sipendagi ju inaweza kua kitu illegal kisubmarine ujipate kwa noma๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Who's this
"Heey sasa Carl"
Me : Poa sana
"Ni cousin ya Celine"
Me : Ooh Maya what's up๐Ÿ˜‚
Maya : Nimetoa number kwa phone ya Celine ju you are always busy kwa job so kupatana ni ngumu
Me : Yeah actually..niambie๐Ÿ™‚
Maya : Save my number first..theen..i need to talk to you
Me : Okay go on
Maya : It's about Celine..ako insecure anathani nakutaka
Me : Alaa๐Ÿ˜‚
Maya : Yeah i think I'll look for my own house ju we can't live this way hata nimemuambia if she doesn't trust me around you tukuite we solve this
Me : Akasema aje
Maya : Akasema hawezi kuita but ananishuku sana Carl na imagine mimi na wewe hata we have never talked
Me : That's strange manze๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”..sasa mbona akue insecure hivo
Maya : Hata sijui..akizidi sana nitasaka hao yangu
Me : Poa
Maya : Anyway si utanipeleka house hunting ju sijajua hizi street sana๐Ÿ˜‚
Me : Okay ๐Ÿ˜‚
Maya : Ndio huyu amefika bye talk later

Huyu nikashindwa rada ni gani sasa ananishow hizo stuff ndo zinihelp aje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Sunday nikiwa napigwa na kajua pale kwa garden nikisip orchard yangu๐Ÿงƒ. New number tena ikacall๐Ÿ’”

Me : Ni nani
"Ni Jessy"
Me : Ooh aah๐Ÿ˜‚.. umefanya vizuri sana kucall ju mambo sio poa
Jessy : Nini tena
Me : Denno is filling a lawsuit against you..anasema wewe ndo main suspect kwa kifo ya bro wake๐Ÿ’”
Jessy : Hee๐Ÿ˜‚..wacha asweat akijisumbua.. they'll never see me
Me : Serikali iko na mkono mrefu wewe๐Ÿ˜‚
Jessy : Carl hata i have changed already..i have shaved mtu hawezi nijua..then nangoja three months hivi nione kama naweza enda hata plastic surgery
Me : Ya?๐Ÿค”
Jessy : My nose and my lips si unajua ni hizo hupea mtu shape ya sura yake..if u change those hakuna mtu atawahi nijua Carl..murder case sio kitu rahisi
Me : What about your documents.. fingerprints?.. I'd?..utashikwa bado๐Ÿ’”
Jessy : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”wewe ndo uko nyuma.. I'm using fake IDs
Me : But it's like pia mimi Denno is pinning me down..anasema ati nilikua involved
Jessy : Hana witness Carl..aghh wewe usikue stressed..na akileta nyenyenye pia yeye huko ndani anazima
Me : Unabonga as if uko na power๐Ÿ˜‚
Jessy : Yeah i mean look..nikakutoa kwa cell na nikaua your biggest enemy and I'm a lady while nyinyi ndume sijui tatu mkashindwa๐Ÿ˜‚

TO BR CONTINUED ๐Ÿ‚

REACTIONS๐Ÿซ 
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 04๐Ÿ’ฆ Episode 05๐Ÿฆ‹ Hizi new numbers manze sipendagi ju inaweza kua kitu illegal kisubmarine ujipate kwa noma๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Me : Who's this "Heey sasa Carl" Me : Poa sana "Ni cousin ya Celine" Me : Ooh Maya what's up๐Ÿ˜‚ Maya : Nimetoa number kwa phoneโ€ฆ
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚
Season 04๐Ÿ”ฅ

Episode 06๐Ÿฆ‹

Hizo story za Jessy kisubmarine zilikua zinasound za jaba๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Ati plastic surgery๐Ÿ˜‚. Ataweza bei kweli hata akiongeza hizo doo za payroll hawezi fika za kufika majuu na kurudi.
The following day tukaishia na Stesh swimmo kiasi tukapiga rounds tao.

Stesh : Beeb..
Me : Yes
Stesh : Kama ni a babygirl unataka tumuite aje๐Ÿ˜
Me : Sijui beb๐Ÿ˜‚
Stesh : i have this name Swin
Me : Whaat?..swin inakaa imezeeka hata kushinda ntoi mwenyewe๐Ÿ˜‚
Stesh : Ni suggestions tu..na akiwa a babyboy?
Me : Rowlings
Stesh : Wow that sounds awesome

Hakuna kitu ilikua inanipea uoga kama kuitwa baba๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Manze ati mtoi aniite dad sahi naweza tokwa na wazimu kisubmarine akule kichapo cha mbwa.

Stesh : Sasa beb what if Tresh ashikwe na Simon akiwa na Steve ama vice versa?
Me : The worst will happen mtu anaweza poteza shingo
Stesh : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚beb Tresh was my best friend yani hata siamini๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Ni hivo mambo iko๐Ÿ˜‚
Stesh : Then beb hizo pesa zako ni how much
Me : Sio mob.. Half a mill
Stesh : Wow..si tupeleke bank
Me : Zii watakua suspicious
Stesh : Like 50k per day then unawashow you have a business
Me : Mi nataka nikae na pesa zangu kwa nyumba bank hata ni wezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Stesh : Wewe uko na mambo๐Ÿ˜‚

Tukiwa hapo kwa dinga bro akanicall ๐Ÿ“ฑ

Jaden : Niaje bro
Me : Poa sana bro
Jaden : Nimesema nikugotee manze
Me : Hio ni fiti bro bado uko home?
Jaden : Zii nilitoka๐Ÿ˜‚
Me : Ooh na Siz?
Jaden : Pia yeye alitoka..
Me. Ooh
Jaden : Gotea mamaa manze
Stesh : Sasa Jaden
Jaden : Poa sana how's the going ๐Ÿ˜‚
Stesh : Niko poa kabisa ๐Ÿ˜‚
Jaden : Sawa sawa

Monday morning tukaamka tufike job. Phone ikaring sikuangalia ni nani. Leo niliamua nidunge suti kisubmarine kama pastor nikanyonga tai karibu nipumue na haga๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Phone ikaring tena. Kuangalia ni Steve

Me : Hey bro

TO BE CONTINUED ๐Ÿ‚
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 04๐Ÿ”ฅ Episode 06๐Ÿฆ‹ Hizo story za Jessy kisubmarine zilikua zinasound za jaba๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Ati plastic surgery๐Ÿ˜‚. Ataweza bei kweli hata akiongeza hizo doo za payroll hawezi fika za kufika majuu na kurudi. The following day tukaishia na Stesh swimmoโ€ฆ
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚
Season 04๐Ÿ”ฅ

Episode 07๐Ÿฆ‹

Nikashindwa sahi mapema hata sijafunga zip Steve anaweza kua anataka nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : What's up bro
Steve : Mkuu ni kama shida zangu zimeanza tena๐Ÿ’”
Me : Gani hizo bro
Steve : Stesh hataki ni access phone yake..jana usiku karibu tukosane manze..sijui Carl if i made a wrong move kurudia huyu manzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Mbona hataki ushike phone yake?
Steve : Carl ni manzi mgani huenda bathroom na phone?..ati anapiga shower akiskiza RnB๐Ÿ’”
Me : Aah bro hio ni kitu ndogo..as long as you trust each other hakuna haja ya kufatilia phone yake
Steve : Instincts don't lie bro..nafeel kuputia hio Whatsapp yake na messages but I don't know how
Me : Bro kaa unafeel kuna something weird about this chic saka tu manzi mwingine hio pia itakupea new experience unacheki
Steve : She was my first love bro huyu manzi kama ni madawa amenikorogea ni strong..hapa Carl kama ni chapati nilikaliwa kitambo.. imagine hio time akiwa majuu nimekua single hadi vile alirudi..is something wrong with ne Carl?
Me : Zii bro..umeweka mind yako ati Tresh is the only girl you should be with but free your mind bro jaribu kumake moves kwa madem wengine
Steve : Bro sijui kaa itakubali..i want to marry her bro nimepita stage ya talking stage na hawa madem watachukua miaka tano kurespond
Me : You have money bro ni rare sana dem akatae mse ako na doo
Steve : You mean i use my money to seduยฐce girls?๐Ÿ˜‚
Me : Zii hakuedagi hivo..show them you are flashy and charismatic sio kushinda na Tresh kwa hao๐Ÿ˜‚
Steve : Man mi mambo na ku impress madem sina hio time.. I'll maintain this one

Nilijaribu kusaidia huyu hakuskia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Enyewe shida hua zinaita mse zenyewe huwezi hepa fate yako๐Ÿ˜‚. After hio call nikacall Tresh. Stesh akakuja

Stesh : Beb wewe unanichelewesha na hizo calls zako toka tuishie
Me : Beb you have your own car wewe enda mi sina haraka
Stesh : Kwenda huko hata usiwahi ni beba๐Ÿ˜

Nikabaki hapo nikacall Tresh hakupick nikatoka nikafika Job.

Me : Babygirl ๐Ÿ˜..sasa
Celine : Tell me why Maya is staring at your pics usiku mzima
Me : Whaat๐Ÿ˜ตโ€๐Ÿ’ซ
Celine : Yeah i was sleeping mi kuamka nampata amezubaa kwa screen anaangalia pics zako
Me : Ooh..sio mbaya maybe ni kuangalia tu?.. Celine wacha kukua jealous manze
Celine : Carl unajua vizuri we are kind of dating.. I don't want her to spoil that..we share a life Carl๐Ÿ™‚
Me : Yeah yeah but sithani kama Maya ako na hizo intentions

Maya akaingia. Akatuona akipita ndo apande stairs. She waved๐Ÿ‘‹. Nikawave pia.

Celine : You see?.. Carl I'm going mad
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wacha mchezo Celine

Nikafungua ofisi nikachill. Kiasi hivi kuingia Whatsapp nacheki Maya amenitext "You deserve better๐Ÿ˜๐Ÿค™"

TO BE CONTINUED๐Ÿ”ฅ
Forwarded from The Nairobian
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?