VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
7.32K subscribers
1.32K photos
143 videos
107 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa πŸ”₯πŸ‡°πŸ‡ͺ Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day πŸ’―
Download Telegram
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Chapter 63πŸ”₯ Nikashindwa Kunaendaje hapaπŸ˜‚ Me : What's up Tresh : Mambo Carl Me : Poa sana Tresh : Carl juzi ulinishow siri zangu ni heavy sana😟 kushinda life yako na hio statement iliniuma sana.. Me : Aii basi pole if i offended you Tresh…
β™₯️ SECRETS β™₯️

Chapter 64πŸ¦‹

Me : What the...πŸ’”
Steve : Ooh Siz i was not expecting you
Lizz : What is going on bro😏
Steve : Nini
Tresh : Chill Lizz
Lizz : Nachill aje..hamkunisow huyu mjinga atakua hapa
"Beb who's this guy"
Lizz : Steve hii ni matharau gani..mbona uniite na umeita Carl hapa..i can't party with my ex

Mambo ikachemka πŸ’”. Hapa lazima katanukaπŸ’”.

Me : Okay guys wacha mimi niende
Steve : Zii Carl stay
Tresh : Carl itabidi umejitoa
Lizz : Carl mbona unashinda umenifata fata kila mahali
"She's following my girlfriend"

Huyo boy wa Lizz akaamka. Pia mimi nikaamka

Lizz : Kev kaa chini I'll handle this
Kev : Hapana..beb unasema he has been following you..unataka aje mse😑
Me : We unataka aje

Jamaa akarusha ngumi nikainama ikapata Steve ju alikua anaserve wine hapoπŸ’”. Drama ikaamka. Nikarusha ngumi flani heavy 50kgs huyu Kev ama sijui Kevo akaskiziaπŸ’”. Tresh na Lizz wakaanza kupiga manduru pale. Mkono flani illegal iliamka hapo. Steve bado ako chini anajaribu kuamka Kev akamuangukiaπŸ’”. Kaliivana mbaya sana. Nikachukua chupa ya mzinga nimpige nayo kwa kichwa

Tresh : Please Carl don't
Lizz : Carl please utamuua

Nikatupa chupa kwando nikatoka hadi kwa Celine

Celine : Eii Carl umekuja na hasira sana kwani nini mbaya
Me : Tumefight..nilipitia kwa party mahali
Celine : Umeumia?😟
Me : Zii ni mimi nimeumiza mseπŸ˜‚
Celine : Usicheke unaweza kujiwa na police
Me : Maybe mi niendee makaraoπŸ˜‚πŸ’”

Mechi moja safi iliamka hio estate ni nduru tu neighbors walikua wanaskiaπŸ˜‚πŸ’”πŸ†. Nilizoza pale central hadi Celine akajua hii hasira nilikuja nayo ilikua worth itπŸ˜‚πŸ‘. The following morning nikachomoka mapema nikafika kwa hao

Stesh : Eii beb unanuka pombe how will you see my parents ha hio harufu?
Me : Nitapiga shower relaxπŸ˜‚
Stesh : Na utumie mint kwa hio mdomo staki my mom anukiwe pombe aanze kelele
Me : OkayπŸ˜‚..na hizi ni nguo za nani
Stesh : Hizo ndo utavaa.. you need something formal
Me : Sasa nani anavaa hizo?
Stesh : Ni wewe..how was the party
Me : Ilikua poa
Stesh : Kulikua na madem?..najua ulilala nao😏
Me : It was a private party infact we were three ju we ulikataa..tunatoka sangapi
Stesh : Home ni mbali tunatoka hapa 8.30 then tunarudi kesho ju ya job

Nikaishia nikapiga shower then nikaprepare

Stesh : Uko ready
Me : Yeah..na wewe hio time yote umekua unangoja nini
Stesh : Beb siwezi kucheleweshaπŸ˜‚
Me : Na the way we hutake time kuvaa😏
Stesh : 20 minutes nitakua ninemalizaπŸ˜‚πŸ’”

Nikachill pale nikimtegea. Phone ikaring na new number

Me : Who's this
"Niliumiza Loise because of you..i swear nitakushika"

To be continued ❀
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Chapter 64πŸ¦‹ Me : What the...πŸ’” Steve : Ooh Siz i was not expecting you Lizz : What is going on bro😏 Steve : Nini Tresh : Chill Lizz Lizz : Nachill aje..hamkunisow huyu mjinga atakua hapa "Beb who's this guy" Lizz : Steve hii ni matharau gani..mbona…
β™₯️ SECRETS β™₯️

Chapter 65πŸ¦‹

Huyu bwanake Loise alikua amekuja vibaya sana na inafaa anyamazishweπŸ˜‚πŸ’”. Ikabidi pia nikue simba kisubmarine ajue pia anadeal na nani

Me : You are not dealing with a weak man jua pia mwenye unaambia bro I'm not Loise I'll damage you
"You have the guts to insult me after sleeping with my wife 😬"
Me : Nitakufikia before unifikie..i know where you stay

Jamaa akakata simuπŸ˜‚. Hawezi leta jokes kwa mkurugenzi atafinywa mahali apige nduru. Stesh akatokea huko amepiga luku

Me : EiishhπŸ˜‚
Stesh : Look at me😍

Tukatoka tukaweka travel bags kwa boot tukajipin kwa dinga yake

Stesh : I'll drive ju wewe haujui homeπŸ˜‚
Me : OkayπŸ˜‚

Tukajipin kwa dinga tukatoka.

Stesh : Beb tukifika huko just behave you know how to handle things like this
Me : Things like this aje na ni first time
Stesh : We bora ubehave beb usifike huko ulete aibu
Me : I gatch youπŸ˜‚

Hii safari nayo ilikua ndefu sana manzeπŸ˜‚. Hadi nikadoz aliniamsha wakati tumefikaπŸ’”. Nikajiunda pale. Nikaangalia envelope nilikua nimeweka kamlungula ya kuwachia maparo wake as a man huwezi toka kwa kina manzi bure wataona this is a broke dudeπŸ˜‚πŸ’”. Soldier akafungua gate. Kuangalia nyumba hivi hadi nikaogopa kuingia. Zile hao flashy zenye hua unazicheki kwa movies unasema siwezi afford hizo. Tukafika. House help akakam kutubebea bag

Stesh : SelinaaπŸ˜‚
Selina : Eeh my girl umekaa sana bila kukujaπŸ˜‚

Boy flani hivi i bet 15 years akakam toka kwa hao

Me : Who's this..uko na a younger bro?
Stesh : This is Zein my cousin
Zein : Hey siz😊
Stesh : Umekua mkubwaπŸ˜‚

Tukajipin kwa hao. Tukachill

Stesh : Zein mum na dad wako wapi
Zein : Mum ako bedroom.. your dad ako huko kwa balcony ya nyuma
Stesh : Okay let me see them

Nikachill pale. Huyu kijanaa alikua ananisorora nikashindwa radaπŸ˜‚πŸ’”. Kiasi hivi Stesh akatokea huko na mathake.

Mama Stesh : Hello my son 😊
Me : Hello mum😊
Mama Stesh : Feel at home😊
Me : Thank you😊

Kiasi hivi baba Stesh akaingia

Baba Stesh : Aaah my daughterπŸ˜‚..naona umeleta mgeniπŸ˜‚
Stesh : Yeah dadπŸ˜‚
Baba Stesh : My sonπŸ˜‚.. town iko namna gani.. you look a bit familiar...

To be continued ❀️
Hustle zijipe Inshallah
Milango zifunguke
Mzazi asiteseke

Amen.