VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.32K subscribers
1.29K photos
140 videos
102 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 61๐Ÿฆ‹ Majamaa wakaingia wakatulia nikangoja wasettle kwanza Denno : Sorry bro ulicall nikiwa nimedoz Me : Wewe jana ulitoka bila kunishow Denno : Iza bro sikukua naona kitu nafanya hapa Me : Mse husema Denno : Okay next time I'll tellโ€ฆ
SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 62๐Ÿฆ‹

Hio maneno ilikua inafanya medulla inanigonga mbaya sana๐Ÿ’”. Ikabidi nifike chemist nibuy painkillers kwanza๐Ÿ’”. Nikabuy wine nikakuja nayo tujipin na Celine pole pole anipee hio evidence

Me : I only need hio evidence kufinya hawa majamaa
Celine : Niko na picha and a video tho haziko clear lakini utaona ni Denno na cliff
Me : Alaa picha ziko๐Ÿ˜ณ.. Celine help me manze nimalizane na hawa majamaa
Celine : I know how this is important to you lakini you played with my feelings once na siwezi kutrust.. you'll have to buy my trust again
Me : So nikiunda hizo dinga warudi job ama?
Celine : Zii haifai warudi job..they need to be fired
Me : That's why nataka hizo picha.. unathani nataka kuzichemsha nikunywe supu ama๐Ÿค”
Celine : Carl wacha hasira๐Ÿ˜‚
Me : Give me that phone

Tukaanza kupigania hio phone ikagonga chini screen ikacrack ikawacha kuwork

Celine : My phone๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
Me : This is your fault..kama ungenipea hizo evidence hio kitu haingetokea
Celine : Sasa nafanya aje na unaona hata haiwaki?
Me : Tuishie kwa fundi

Tukatoka tuishie phone yake iundwe screen. Nikacheki Jack ameleta wasee wanaunda hizo madinga. Tukafika kwa fundi phone ikawekwa screen ingine then nikalipa. Tukarudi kwa ofisi

Celine : Hata sijui mbona najifanya kwako shika ndo hizo jitumie

Nikacheki hizo pics kwanza alikua Cliff na jacket yake flani๐Ÿ’”. Kuangalia the third guy ni Trevor

Me : Na si huyu ni Trevor?
Celine : Simjui jina
Me : Anawork hapa...waaah๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ก
Celine : So what's your next move?
Me : I'm suspending them..wanaweza futwa kazi ama wakatwe doo za tyre kwa salary yao
Celine : Sasa si hio inamaanisha salary yao ya three months๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Yeah..wewe stay low-key about this usijulikane.

Nikaforwadia Cliff na Denno hizo pics. Wakacall sikupick. Wakacall tena sikupick. Ilikua imefika matime za kutoka job hadi. Nikatoka na Celine nimdrop kwake

Celine : Carl..can you stay for the night ama manzi yako atajam?
Me : Sasa hio imetokea wapi
Celine : I just want you for the night๐Ÿ˜
Me : Nitakuja but nitakuja a bit late maybe midnight huko
Celine : Okay can i get a kiss๐Ÿ˜

Nikachomoka nikaishia home. Nikapata Stesh alifika

Stesh : Sasa utalala huko ama
Me : Tukimaliza late..na leo mbona haukuniamsha
Stesh : I tried haukuamka plus jana you came in moody nikaona wacha ukule kiburi yako
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nita revenge i swear
Stesh : So leo nalala solo kwa hii nyumba yote..beb ama usiende๐Ÿค”
Me : I promised Steve that I'll go
Stesh : Steve ni simp sijui wa wapi..mimi kama ni yeye siwezi taka story za Tresh tena๐Ÿ˜‚
Me : Simps huona vumbi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.. default settings ya simps ni hio๐Ÿ˜‚

8pm huko nikadrive nikatoka. Nikacall Steve akanishow place amehamia nikafika huko. Sijui Tresh Alikua ananitegea nje ama nini ju nilimpata hapo. Vile aliniona tu akafika hata hakungoja ni pack dinga....

๐—ฅ๐—˜๐—”๐—–๐—ง๐—œ๐—ข๐—ก๐—ฆ ๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ๐Ÿ”ฅโœ…
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช pinned ยซWakuu si mnisaidie kushare our channel link to your friends and groups ๐Ÿ˜Ž๐Ÿซก hapa vibe na stories ni ingine unstoppable ๐Ÿ˜Š๐Ÿฅณ let's join na msisahau kushare โค https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRk https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRk https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRkยป
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 62๐Ÿฆ‹ Hio maneno ilikua inafanya medulla inanigonga mbaya sana๐Ÿ’”. Ikabidi nifike chemist nibuy painkillers kwanza๐Ÿ’”. Nikabuy wine nikakuja nayo tujipin na Celine pole pole anipee hio evidence Me : I only need hio evidence kufinya hawaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 63๐Ÿ”ฅ

Nikashindwa Kunaendaje hapa๐Ÿ˜‚

Me : What's up
Tresh : Mambo Carl
Me : Poa sana
Tresh : Carl juzi ulinishow siri zangu ni heavy sana๐Ÿ˜Ÿ kushinda life yako na hio statement iliniuma sana..
Me : Aii basi pole if i offended you
Tresh : Carl pia mimi I'm keeping your secrets safe with me sijui kama uko na copy?
Me : Ngoja..Tresh what are you talking about
Tresh : Siri zako..kama ya wewe na Lizz kudate na Stesh hajui..then hii ingine Carl sio ati unaweka siri zangu.. you are part of the secret..wewe ni part of the deal..si Simon hukulipa?

Mkurugenzi hapa nikajua mambo yangu inaenda kugonga ukuta soon๐Ÿ’”. Vile mambo ilikua inaenda hadi mimi nikaanza kuogopa kisubmarine๐Ÿ˜‚

Me : Tuwache hio story let's party inside๐Ÿ˜Š
Tresh : Okay๐Ÿ˜Š..one last thing
Me : Yes
Tresh : What's going on between wewe na siz yangu
Me : Aiii nothing๐Ÿ˜
Tresh : Kwa call logs zake kuna outgoing call yake na wewe..do you want my siz Carl
Me : Tresh zii manze ningekua namdai ungejua
Tresh : Okay๐Ÿ˜Š

Tukaingia ndani. Steve alikua anapanga panga stuffs hapo

Steve : Aaah mkuu umedunda๐Ÿ˜‚
Me : Yeah bro I'm here๐Ÿ˜‚
Steve : Jipin bro it's just a small party.. and where is Stesh
Me : Hafeel fiti so she's not coming anasema maybe next time
Steve : Okay ni sawa pia

Tukajipin pale manze tukachill tukipiga wine na mafood hapo

Steve : Mkimada wine mjue kuna makali ๐Ÿ˜‚
Tresh : Okay๐Ÿ˜‚
Steve : So Carl manze this was just celebration ya kulink up na Tresh tena
Tresh : ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Steve : Carl vile nilikua nimekushow.. we're getting married soon

Tresh akaniangalia design flani๐Ÿ˜‚. Huyu Steve hajui ako kwa giza๐Ÿ˜‚. Nikaona Tresh ameanza kujishuku

Steve : Ama aje beb
Tresh : Yeah beb๐Ÿ˜
Me : Manze hio itakua rada safi sana a nice move
Tresh : Thanks Carl๐Ÿ˜Š

Tukaendelea kupiga sherehe pale hadi time ya makali wakurugenzi tukajipin kikombe vibaya sana๐Ÿฅƒ. Zangu zilikua zimeshika but siwezi zima๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kiasi hivi mse akanock kwa mlango. Tresh akaishia akafungua. Lizz akaingia na boy flani hapo๐Ÿ’”....

REACTIONS๐Ÿ˜Š
Forwarded from Premium Folder
๐Ÿ’ฌ Who are you?
Hustle zijipe Inshallah
Kama sio Leo ni kesho, kama sio kesho tuzidi kuskuma Hadi ijipe.

Amen.
Forwarded from Premium Folder
Choose One
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Mko๐Ÿ‘
๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—ž๐—ข๐—ฅ๐—”๐—”!!!
Forwarded from Crypto News
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?