AFYA YAKO LEO
2.5K subscribers
15.3K photos
6.49K videos
16 files
16.4K links
Download Telegram
↳ Haklikisha kuwa unakula lishe bora na yenye afya inayoshawishi kutafuta mtoto kama unatafuta mtoto..!!

Kwa wanaume wale vyakula vya kuongeza mbegu za kiume kama karanga, korosho, mbegu za maboga, Almonds, kunywa maji mengi na vyakula vingine, kama tunavyo elekeza kwenye code za kila siku...!

↳ Kwa wanawake wanao Jiandaa na kutafuta mtoto nakushahuri, Kula samaki, maharagwe, na kuku kwa afya ya mfumo wa uzazi.

Tumia vyakula vyenye folic acid (spinachi, parachichi) na zinki (mbegu za maboga), Epuka vyakula vya sukari nyingi, mafuta mabaya, na vileo, Kunywa angalau glasi 8 za maji kila siku. Fanya mazoezi mepesi kudumisha uzito mzuri.

MOJA KWA MOJA KWENYE MADA....πŸ‘‡
↳ Wanawake walio wengi mzunguruko wa siku zao ni siku 28 lakini wapo ambao ni zaidi ya hapo na wapo ambao ni chini ya hapo.

Sasa ni ipi siku ya kutolewa kwa yai kwa wanawake hawa....?

Kikawaida yai hutolewa (ovulation) kwa makadirio ya siku 12 mpaka 16 kabla ya kupata hedhi nyingine.

Yaani unaweza kuhesabu kabla ya kuingia hedhi siku 12 nyuma, kisha toa siku 4 nyuma, ndani ya siku nne hizi ndizo yai hutolewa. siku hizi ndizo moja wapo yai hutolewa.

KWA MFANO... πŸ‘‡
KUBWA KULIKOβ€” Ijuwe Siku Ya Kupata Mimba..

↳ Nimeandika Elimu hii kutokana na Maswali Mengi yasiyo Isha DM..

HAHAHAHA...!!πŸ˜€ Nafahamu Ma jobless wengi mtatumia Uzi huu kwa Lengo la kukwepa Mimba..

Open Thread ‡
↳ Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21: Sasa tunatoa siku 12 nyuma kabla ya kuingia hedhi (21 - 12 = 9) kisha toa nne nyuma (9-4=5) basi mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 5 na 9 katika siku zake.

Mwanamke mwenye mzunguruko wa siku 32: Tunaanza kutoa siku 12 nyuma kabla ya kupata hedhi yake (32-12=20) tonatoa siku nne tena nyuma (20-4=16) kwa hiyo mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 16 mpaka 20 katika siku zake.

MWISHO WA SEHEMU YA KWANZA...

↳ Usipange kukosa sehemu ya pili siku ya kesho asubuhi na mapema, Tutakwenda kuona (Sifa za siku za kupata mimba).

Chakufanya hakikisha umeni follow, Pia hakikisha umeturn on post notification.

SHARE FOR LOVE EACH OTHER....πŸ’ͺ
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

β€œBila uvumilivu na kujitoa, huwezi kufanikiwa kwa chochote maishani. Iwe kazi, biashara au mahusiano.” - Neil Strauss
Endelea kujifunza haya na mengine mengi katika Application ya AfyaChap.

Bofya Link Katika Bio.

#afyachapdaktarikiganjanimwako
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Kuwapa nafasi vijana kuzungumza ni hatua muhimu katika kutatua changamoto zao mapema.

Kupitia jukwaa la , wanafunzi 3,236 walishiriki mijadala iliyowawezesha kujitambua, kujiamini, na kujiepusha na makundi hatarishi
Ukombozi wa Afya Yako Ni Sokoni, Usipo kula Chakula Kuimarisha Afya Yako Kama Dawa, Ipo Siku Utakula Dawa Kama Chakula.

Maziwa πŸ₯›β†’ Hamu ya Tendo la ndoa.

Ndizi 🍌 β†’ Tajiri wa viinilishe Mwili.

Almonds & Karanga πŸ₯œ β†’ Testosterone.

Tende πŸ§‰ β†’ Husaidia kuupa mwili nguvu.

Vitunguu saumu πŸ§„ β†’ Sumu mwilini (Detox)

MajiπŸ’¦ β†’ Kwa Ajili ya Figo!

Mayai πŸ₯šβ†’ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!

CarrotsπŸ₯• β†’ Kwa Ajili ya Macho!

Nanasi πŸβ†’ Kwa Ajili ya Koo!

Cabbage πŸ₯¬ β†’ Kwa Ajili ya Utumbo!

Tango πŸ₯’ β†’ Kwa Ajili ya Ngozi!

Tangawizi πŸ₯” β†’ Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!

Parachichi & Nyanya πŸ₯‘ β†’ Kwa Ajili ya Afya ya Moyo πŸ«€!

Mazoezi exerciseπŸ‹οΈ β†’ Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili...!

Mboga za Majani πŸ₯¦πŸ«‘ β†’ Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.

NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika Maisha yako ya baadaye.

THANKS TO BE WITH ME THIS MORNING.... 🩺
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jifunze haya na mengine mengi katika Application ya AFYACHAP.

Link katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako