AFYA YAKO LEO
2.5K subscribers
15.2K photos
6.46K videos
7 files
16.4K links
Download Telegram
Ushaonaga Hii Mistari?πŸ˜‚
Unaijua?πŸ˜‹
SWIPE◀️◀️

Kupakua AFYACHAP ,Bofya link katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Ulishasikiaga watu wanazikwa Baharini?
Hapa ni kwamba mtu akifa mwili wake au majivu yake yanadumbukizwa baharini.

Hii ipo hasa kwa Vikosi vya maji,Au mtu mwenyewe kuamua akifa azikwe baharini.

Mazishi hayo hufanyika kilomita 10 kutoka ufukwe wa bahari na kina cha maji kisichopungua futi 600.

Mwili utawekwa katika jeneza ambalo ndani yake wanaweka jiwe zito ili ukizamishwa usirudi juu.

Gharama ya Mazishi kama haya ni kati ya Tsh Milion 10 hadi 20.

#afyachapdaktarikiganjanimwako
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

How Food Turns Into Poop? (3D Animation) ...
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

β€œMaisha ni mzunguko, usimnyanyase aliye chini yako maana hujui kesho atakuwa nani. Utaona aibu.” - Mhe. Jakaya Kikwete
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Wasichana wanastahili kufurahia usichana wao.

Ni muhimu wadau kushirikiana katika kuhakikisha miundombinu bora na salama inapatikana shuleni kipindi cha hedhi.

Hii itawapa hamasa na ujasiri wa kuhudhuria shule na kusoma kwa bidii.
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Mikakati ya serikali katika kupambana na Ukatili dhidi ya watoto inaendelea ikisimamiwa chini ya dawati la Kijinsia na programu za mafunzo shuleni pamoja na kuielimisha jamii.

Mwenyekiti wa maafisa wa ustawi wa jamii @TSWO_MANYARA alipotoa elimu kwenye jukwaa
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Ushiriki vijana na watu wenye ulemavu kwenye jukwaa la @VijanaKonektTZ uliwakutanisha na maafisa mikopo walijifunza kuhusu 10% ya mikopo inayotolewa na halmashauri na jinsi kutumia programu ya TAUSI kusajili biashara zao.
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Mazingira wezeshi ya kiuchumi yanatoa fursa kwa vijana kujiajiri.

Wajasiriamali wadogo walioshiriki jukwaa la @VijanaKonektTZ walibainisha upatikanaji wa mitaji, masoko na kupunguzwa kwa mrundikano wa kodi ni hatua muhimu katika kukuza uchumi wao.
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Kuwawezesha vijana kufikia uwezo wao ni kuwekeza kwa kesho yao.

Kupitia jukwaa la @VijanaKonektTZ, zaidi ya vijana 100 walinufaika na mafunzo ya ujuzi wa kidijitali, Elimu ya fedha, fursa za mikopo na jinsi ya kukuza taaluma zao.
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Kusoma engineering bora uende veta tuu kupiga fundi cherehani maana hamna tenda utapata.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ‘¨β€πŸ« @Jitibu

Ila jamaa anajua Crazy kennarπŸ˜‚πŸ˜‚