Tumbo linavuruga?
SWIPE ◀️◀️
Endelea kujufunza haya na mengine mengi katika Applivation ya AFYACHAP.
Link ipo katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako

4. RUHU YAKO IPE UPONYAJI —FANYA IBADA
↳ Sali, fanya ibada, muombe Mungu sana, kiri makosa yako na tubu kwa mapito yako yasiyofaa kama vile kupiga punyeto n.k.
Shetani hapendi uwe mwanaume RIJALI ndio maana Mashoga wanaongezeka..!🤷
Rudi kwa Muumba —Ndipo utapata utulivu wa akili na mwili' More: ⤵

Unatafuta Ushauri —Lakini Unakataliwa, Unachekwa, Wengine wanakuambia....
"Nunua hizi dawa, ndani ya dakika moja utakuwa simba wa mapenzi." Na wewe bila kufikiria kutokana na Aibu ya kila siku Unajaribu.
— Matokeo?
Unahisi nguvu mpya za ajabu, lakini baada ya muda... hali inarudi kuwa ile ile.
Sasa umekuwa mtegemezi wa madawa ya “Booster.” Na mbaya zaidi –Huwezi kusimama wewe kama wewe mpaka umezi vidonge...
Ukweli Upo Hapa—Tatizo Sio Lazima Liwe La Kifiziolojia...Kwa wanaume wengi, chanzo ni psychological – kiakili, kisaikolojia.
Na hata kama ni tatizo la mwili, bado unaweza kuliweka sawa bilakutegemea dawa yoyote ile,
Kinachokuhitajika ni kuelewa misingi mitano mikuu ya ukombozi wa nguvu za kiume.
Nimekuandalia Misingi Hiyo, Leo More: ⤵

Upo na mwanamke mzuri, Mrembo —kila kitu chake kinakuvutia.
Mnaingia chumbani, unaguswa hapa na pale, katika hatua za naandalizi —Dakika 30 zimepita... Bado haujasimama vizuri...
Hatimaye, unajitutumua —Lakini bado ni kama unalazimisha gari isiyo na mafuta.
NDIYO...
Uume unasimama... lakini kwa huruma, Na kabla hata dakika mmoja haijaisha... Shwaa💦 Umeshamwaga.
Unalalia ubavu, Moyo unauma, akili imevurugika, Unajiuliza kimya kimya:
"Nini kinanitokea? Kwa nini mimi? Ni kwa sababu ya punyeto? Au labda lishe mbovu?"
Unabaki kimya – umejaa aibu, Anakuuliza: "Vipi tena leo?" "Mbona Mambo ni yale yale..?"
Lakini huna Jibu la Maana' More: ⤵

5. MSHIRIKISHE MTU UNAYEMUAMINI —USIPAMBANE PEKE YAKO
↳ Usione aibu, Ongea na mtu mwenye maarifa au mtaalamu wa afya ya kisaikolojia,
Ukimshirikisha mtu sahihi, Unaweza kupona ndani na nje. Utakua Rijali – Halisi, Utafurahia tendo bila hofo
Utakuwa mwanaume makini na imara, Tendo la ndoa litakuwa haki yako' More: ⤵

3. LISHE NI SILAHA YAKO – KULA KIBINGWA
↳ Lishe duni ni muuaji mkubwa wa nguvu za kiume.
Ukifuata codes za lishe bora kwa mwanaume, utaongeza...
— Uzalishaji wa mbegu zenye afya 🧬
— Lobido (hamu ya tendo la ndoa) 🔥
— Stamina ya kurudia tendo 💪
Ni chakula sahihi tu kinachoweza kukuondoa kwenye aibu hii' More: ⤵

Hizi Ndio NGUZO TANO za Ukombozi Wako wa Kweli— Bila Dawa, Bila Aibu..
1. JIAMINISHE KWA USHAURI SAHIHI (Counseling)
↳ Inawezekana huna tatizo la mwili, ila akili yako imechoka, imejeruhiwa na kumbukumbu mbaya au hofu isiyo na msingi.
Counseling sahihi inakuvua aibu, inakurudisha kwenye game broo!
2. JIFUNZE AFYA YA UZAZI WA KIUME— KIUNDANI
Unapaswa kuelewa miili yetu ni kama injini, Ukijua kuhusu:
↳ Misuli ya uume,
↳ Mishipa ya damu,
↳ Mfumo wa vichocheo (Hormones),
↳ Mazoezi ya kuongeza msukumo wa damu...
PS: Utaanza kupata matokeo bila dawa— kwa njia salama na ya kudumu' More: ⤵

Tahadhari— Hakuna Dawa Ya Kuboost Nguvu Za Kiume Bila Madhara!
Dawa zote hizi zinakuletea "Nguvu za uongo" na mwisho wake ni maumivu, tamaa na utegemezi usioisha.
— Usipoteze hata kile kidogo ulichonacho,
Chukua Hatua Leo, Anza Safari Ya Maisha Mapya Bila Dawa, Nguvu zako zipo ndani yako, Usisubiri siku nyingine — Anza mabadiliko leo.
PS: Usisahau: Umeumbwa kuwa RIJALI – na sasa ni wakati wa kurudi kwenye nafasi yako ya heshima.
Karibu kwenye safari ya kujenga MWANAUME mpya – Bila Dawa. Bila Aibu. Kwa Hekima na Maarifa.
Fuata miongozo ya tiba na afya ya uzazi wa mwanaume kupitia Link hii hapa Chini...👇
https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/

Tuseme umefanya mapenzi katika siku zako za hatari,Ulipomaliza tendo ukakimbilia bafuni kunawa.
Je hiyo inaweza kuzuia mimba isiingie?
Iko hivi:-
Mbegu(Sperm) zinapomwagwa ukeni huanza safari ya kulifata yai la kike lilipo muda hu huo.
Na Sperm ina kasi kubwa,kiasi kwamba ndani ya sekunde moja inaweza kua imeshafika mbali.
Kwa hiyo unapoenda kunawa au kuosha uke baada ya tendo,hata kama utajaribu kuosha shahawa zote bado huwezi kuzuia mimba isiingie.
Endelea kujifunza haya na mengine mengi,katima Application ya AfyaChap.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jifunze haya na mengine mengi katika Application ya AFYACHAP.
Bofya link katika "BIO"
#afyachapdaktarikiganjanimwako
Bofya link katika "BIO"
#afyachapdaktarikiganjanimwako
↳ Kutambua siku za kupata mimba kwa mahesabu.
Kwanza hakikisha unaujuwa tarehe yako, Ukiwa ni mwanamke, Kama ni mwanaume itambuwe vyema tarehe ya mwenzio.
Tambua vyema mzunguruko wake wa hedhi unakwenda siku ngapi. Ukitambua vitu hivyo sasa twende pamoja...👇
Mwaname anaweza kubeba mimba siku 12 mpaka 14 kabla ya kuingia hedhi yake...
Mbegu ya mwanaume (sperm cell) inaweza kuwa hai ndani ya siku 3 hasi 5 Na yai la mwanamke linaweza kukaa masaa 12 mpaka 48.
Mbegu iliyoingia leo inaweza kurutubisha yai siku tatu zijazo...
JE..!!? Ulikuwa unayajuwa hayo..?? Twende pamoja na mimi...?
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO...👇

↳ Unajuwa wanawake wanatofautiana sana katika mifumo yao ya uzazi, simaanishi maumbile, namaanisha hali zao.
Watu wengi wanaelewa kuwa mwanamke anaweza kupata mimba siku zote..!
HAPA HII SIO SAHIHI KABISA...!!!!❌
Siku maalumu na ni chache. Kitaalamu siku hizi hufahamika kama (faertile window)
Siku ya kupata ujauzito utaweza kuijuwa kwa kuangalia mambo muhimu kadhaa nitakayo ya zungumzia hapa.
Kabala ya kuyataja Mambo hayo muhimu nikukumbushe jambo...👇