JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#JFDATA: Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote

Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi ya kunywa

Aidha, Takwimu zinaonesha takriban Watoto 1,000 hufariki dunia kutokana na Magonjwa yanayohusishwa na Maji/Usafi

Zaidi, soma - https://jamii.app/WWWeek2022

#WorldWaterWeek
👍6
MAJI UNAYOTUMIA NI SAFI NA SALAMA?

Kwenye Maisha ya kila siku, Maji hayawezi kutenganishwa na Usafi kwani vyote vina umuhimu mkubwa hususan Kiafya

Maji yasiyo salama na ukosefu wa vyoo vinatajwa kudhoofisha jitihada za kupambana na baadhi ya Magonjwa katika Nchi masikini

Zaidi, soma - https://jamii.app/MajiSafi

#WorldWaterWeek #PublicHealth #JAfya
👍6👎1