JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Katika kuadhimisha #SaferInternetDay, changamoto kama unyanyasaji Mtandaoni hupewa umuhimu kwani siku hii hulenga kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya Mtandao

Kaulimbiu ya Mwaka 2022 ni "Pamoja kwa Mitandao bora"

Soma - https://jamii.app/MitandaoSalama

#SaferInternetDay2022 #DigitalRights
Tunapoadhimisha #SaferInternetDay, sisi kama Raia wa Kidigitali tujiulize tunafanya nini kuhakikisha Mitandao inakuwa salama?

Ili Jamii ifurahie na kunufaika kikamilifu na Mitandao, tuna Wajibu wa kufanya Mitandao iwe Salama kwetu sote

Zaidi https://jamii.app/23SID

#SID2023
👍3
Kauli zinazoashiria Chuki, Dharau, Uonevu, Unyanyasaji na Udhalilishaji Mtandaoni zinaweza kuwa na madhara makubwa

Tunapoadhimisha #SaferInternetDay, tukumbuke maneno yana nguvu kubwa ya kujenga au kubomoa

Jiulize, unaacha Alama gani Mtandaoni?

#SID2023 #Cyberbullying
👍9