JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
UGANDA: Exim Bank imechukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa #Entebbe na mali nyingine za Uganda baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Dola milioni 207(Tsh. Bilioni 476.7)

> Majadiliano ya kuongezewa muda wa marejesho yaligonga mwamba

Soma https://jamii.app/EntebbeAirport
KUMBUKUMBU: #MowzeyRadio alifariki dunia Februari 1, 2018 siku chache baada ya kushambuliwa na Mlinzi wa Klabu moja Jijini #Entebbe

Mowzey au Moses Nakintije Ssekibogo kwa jina halisi alikuwa Msanii wa Kundi la #Goodlyfe kutoka Uganda akiwa na #Weasel Manizo. Walitamba na nyimbo nyingi ikiwemo #BreadandButter

Miaka 5 baada ya kifo chake, unakumbuka wimbo gani kutoka GoodLyfe?

Soma https://jamii.app/MowzeyRadioDay

#JFEntertainment
👍5😢2