JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
JEFF BEZOS ATOLEWA KWENYE NAFASI YA TAJIRI MKUBWA DUNIANI

- Elon Musk anayemiliki Kampuni ya #SpaceX ya Safari za anga ametangazwa kuwa tajiri zaidi Duniani akifikia Dola Bilioni 190 huku Jeff Bezos wa #Amazon akiwa na Dola Bilioni 188

Soma - https://jamii.app/ElonMuskWorth
MAREKANI: 70 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA KIMBUNGA

Gavana wa Jimbo la #Kentucky amesema idadi ya vifo inaweza kuzidi 100 kwa rekodi za Majimbo mengine

Kimeharibu Kiwanda cha Mishumaa, eneo la Kampuni ya #Amazon na nyumba ya wazee ya Arkansas

Soma https://jamii.app/TornadoDeathUS
#JFLeo