MOROGORO: AKAMATWA AKIWA UCHI NA MTOTO MTONI
- Mtu mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kukutwa mtoni na mtoto mwenye miaka kati ya 5 na 10, wote wakiwa hawana nguo
- Tukio hilo limetokea Desemba 19, 2019 katika Maporomoko ya Maji ya Nguzi Camp
Zaidi, soma https://jamii.app/BabaMbaroniUchiMtoto

MAREKANI YAPINGA ICC KUICHUNGUZA ISRAEL, ISRAEL YASEMA UCHUNGUZI HUO NI SILAHA YA KISIASA
> Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imetangaza kufungua uchunguzi dhidi ya uhalifu unaotuhumiwa kufanywa na Israel ndani ya Palestina
> Waziri Mkuu wa Israel asema Mahakama ya ICC haina uwezo wa kuchunguza yanayotokea ndani ya mipaka ya Palestina
Soma - https://jamii.app/ICCInvestigateIsrael

SERIKALI: HAKUNA MLIPUKO WA MAFUA HATARISHI NCHINI
> Wizara ya Afya imesema hakuna mlipuko hatarishi wa mafua makali hapa nchini licha ya kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wanaougua mafua yanayoambatana na homa, kuumwa kichwa na kuchoka mwili
> Hali iliyopo husababishwa na virusi vya influenza ambavyo siyo vipya na husababisha pia mafua na magonjwa mengine ya njia ya hewa
Soma - https://jamii.app/TaarifaMlipukoMafua

TWITTER NA FACEBOOK ZAFUTA AKAUNTI ZINAZOFADHILIWA KUENEZA UONGO
- Facebook imesema umeondoa mamia ya akaunti zilizolenga kuwashambulia watu Marekani na Vietnam
- Twitter imesema imezifuta akaunti 6,000 zilizokuwa zikitumiwa na Saudi Arabia
Zaidi, soma https://jamii.app/TwitterFB-Accounts

MIKOPO NA MISAADA YENYE MASHARTI NAFUU YAHOFIWA KUPUNGUA KWA TANZANIA
> Waziri wa Fedha amesema watu wengi wanatamani Tanzania iingie kwenye kundi la nchi zenye Uchumi wa Kati lakini hatua hiyo itapunguza misaada ya fedha za miradi ya maendeleo
> Nchi zinazoingia kwenye Uchumi wa Kati, Taasisi za Fedha hasa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Benki ya Dunia (WB) hupunguza utoaji wa mikopo kwa nchi husika
Soma - https://jamii.app/PunguzoMikopoMisaadaTZ

TANZANIA YAZIDI KUNG'ARA KATIKA MAPAMBANO YA RUSHWA
> Katika mkutano wa 8 wa nchi wanachama wa United Nation Convention Against Corruption, Tanzania imesema imefanya maboresho ktk Mfumo wa Sheria ikiwemo Ushirikiano wa Kimataifa ktk Uchunguzi
> Aidha, imeboresha Sheria zinazoongoza suala la ufuatiliaji, urejeshwaji wa mali na utaifishaji wa mali zinazopatikana kwa njia ya Rushwa na Uhalifu
Soma - https://jamii.app/RipotiVitaRushwaTz

SAKATA LA WATU 55 KUDHURIKA KWA CHAKULA CHA MSIBANI: MIKUSANYIKO YA MISIBA SASA KUOMBEWA KIBALI
> Serikali Mkoani Dodoma imetoa Amri ya muda kuzuia mikusanyiko kwenye misiba katika Mtaa wa Mtumba na kuwataka wakazi hao kupata kibali cha Mkuu wa Wilaya kukusanyika kwenye msiba wowote mtaani hapo
> Amri hiyo imetolewa kwasababu za kiusalama kutokana na kujirudia kwa matukio ya aina hiyo ambapo mwaka 2017 watu 2 walifariki
Soma - https://jamii.app/AmriKibaliMsiba

RAIS MAGUFULI ASAINI SHERIA YA WATANZANIA KUPIMA WENYEWE VVU
- Amesaini Sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya UKIMWI (VVU) na inayoruhusu umri wa kupima virusi vya ugonjwa huo bila ridhaa ya mzazi au mlezi kuwa miaka 15
Soma https://jamii.app/KupimaUkimwiMwenyewe

NI KWELI WANAOPENDA KUOMBA MSAADA SANA WAO HUWA WAGUMU KUSAIDIA WENZAO?
> Mdau ndani ya JamiiForums.com anasema watu wa aina hii wakiwa na shida huwa wanaongoza kuwalalamikia na kuwasema vibaya watu ambao wanawaona wana uwezo ila wanashindwa kuwasaidia lakini wao wakipata baada ya kusaidiwa wanabadilika na kusahau wema waliotendewa
> Je, unakubaliana au kupingana na mawazo ya mdau kwa kiwango gani?
Kwa mjadala zaidi, tembelea - https://jamii.app/UbinafsiWapendaMsaada

INDIA: IDADI YA WALIOFARIKI KWENYE MAANDAMANO YAFIKIA 23
- Maelfu ya watu wamejiunga na wimbi jipya la maandamano dhidi ya Sheria mpya ya Uraia
- Idadi hiyo imepanda siku moja baada ya kuzuka maandamano ya vurugu kwenye Jimbo la Uttar Pradesh
Zaidi, soma https://jamii.app/IndiaWaliofariki23Maandamabo

RAIS TRUMP ASAINI SHERIA YA KUUNDWA KWA KIKOSI CHA KIJESHI ANGANI
> Rais wa Marekani amesaini Sheria inayoruhusu kuundwa kwa Kituo cha Kijeshi cha Angani na kuwapa wafanyakazi wa Serikali kuu wiki 12 za likizo ya Uzazi kwa Wazazi wote wawili
> Hatua hiyo itawezesha kuanzishwa kwa Kituo cha Kijeshi cha Angani kilichopendekezwa na Trump ikiwa ni Tawi la sita la Jeshi la Marekani
Soma - https://jamii.app/USSpaceForce

KATAVI: DAKTARI MBARONI KWA KUIBA DAWA NA VIFAA VYA TIBA HOSPITALINI
> Mganga Mfawidhi, Calvin Mnaso (37) amekamatwa kwa kukutwa na maboksi 5 ya dawa, vifaa vya kupima maradhi ya binadamu, vifaa vya kufanyia operesheni na tohara, godoro moja pamoja na sindano ambavyo vyote ni mali ya Serikali
Soma - https://jamii.app/DktWiziDawaVifaa

TETESI ZA SOKA: JADON SANCHO MBIONI KUJIUNGA CHELSEA
- Inadaiwa, Chelsea ipo mbioni kumsajili mchezaji huyo (19) wa Borussia Dortmund anayewindwa pia na klabu za Liverpool na Manchester United
- Inaelezwa kuwa, Chelsea inashughulikia uhamisho huo unaoweza kuifanya kuvunja rekodi yao ya usajili ambapo inadaiwa kuwa imeiarifu Dortmund kuwa ipo tayari kutoa zaidi ya Paundi Milioni 100

POLISI KUTOA MAELEZO YA KUKAMATWA KWA TITO MAGOTI WA LHRC
> Kamanda Lazaro Mambosasa amesema kesho Desemba 23 watatoa taarifa za kukamatwa kwa Ofisa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti
> Magoti alichukuliwa siku ya Ijumaa eneo la Mwenge na baadaye Polisi walisema wako naye kwa ajili ya mahojiano
Soma - https://jamii.app/PolisiMaelezoKukamatwaTito

KIBORILONI, MOSHI: WATU WANAKUNYWA BIA KWA KUTUMIA VIKOMBE VYA CHAI
> Mdau wa JamiiForums anaripoti kuwa ameshuhudia bia ikiuzwa kwenye vikombe vya plastiki
> Anadai, wanywaji wanatumia mbinu hiyo kukwepa mkono wa Serikali
Kwa hoja hii, soma > https://jamii.app/PombeVikombe

HONDURAS: WAFUNGWA 16 WAUAWA BAADA YA KUZUKA KWA GHASIA NDANI YA GEREZA
> Wafungwa hao wameuawa baada ya makundi 2 ya kihalifu ktk Gereza la El Porvenir kuingia kwenye mapigano
> Walitumia visu na silaha za moto
Zaidi, soma > https://jamii.app/MauajiWafungwaHonduras
#JamiiForums

DRC: MILA NA DESTURI ZATAJWA KUWA KIKWAZO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA EBOLA
> Jinsi shughuli za mazishi zinavyofanyika DRC, kulala na maiti, kumuogesha na kumvika nguo marehemu, ni baadhi ya mila zinazosababisha kuenea kwa ugonjwa huo katika maeneo ya Mashariki mwa nchi hiyo ambapo zaidi ya watu 2300 wamefariki
Soma - https://jamii.app/MilaDesturiEbola