SERIKALI: VIWANDA 3,000 VIMEJENGWA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
> Taarifa hii ni kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Wizara ya TAMISEMI, Mwita Waitara
> Viwanda hivyo inadaiwa ni matokeo ya agizo la Serikali juu ya ujenzi wa viwanda 100 katika kila Mkoa lililotolewa Desemba, 2017
Soma > https://jamii.app/GvtViwanda3000

MAANDAMANO HONG KONG: POLISI WATUMIA MAJI YA PILIPILI KUTAWANYA WATU
> Wanaandamana kupinga muswada utakao ruhusu watuhumiwa wa makosa mbalimbali kusafirishwa na kwenda kushtakiwa Beijing, China
> Hong Kong ni jimbo la China lenye mamlaka kamili
Soma > https://jamii.app/MaandamanoHongKong

KIINGEREZA KUENDELEA KUWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ELIMU YA JUU
> Serikali imesema Kiingereza kitaendelea kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia katika ngazi ya elimu ya Sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu kwasababu ya umuhimu wake kitaifa, kikanda na kimataifa kwa mawasiliano na biashara ili kuwajengea wanafunzi ufahamu na umahiri wa lugha hiyo
Soma - https://jamii.app/EnglishTeachingLang

APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMSHIKA MTOTO SEHEMU ZA SIRI
> Vicent Marseli (37) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumshika sehemu za siri mtoto wa miaka mitatu ili kujiridhisha kimapenzi
Soma - https://jamii.app/KizimbaniDhalilishamtoto

UTEUZI: RAIS MAGUFULI ATEUA WENYEVITI BODI ZA TTCL NA AIRTEL
> Mohammed Abdallah Mtonga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL
> Mtonga anachukua nafasi ya Dkt. Omari Nundu aliyeteuliwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania
Soma > https://jamii.app/UteuziTTCLAirtel

NAIROBI, KENYA: MAHAKAMA YAONGEZA MUDA WA ZUIO LA WABUNGE KUJIONGEZEA POSHO
> Wabunge walipitisha azimio la kulipana posho kwa ajili ya nyumba kiasi cha Tsh. Milioni 5.5 kila mwezi
> Tume ya Mishahara ilifungua kesi kupinga posho hiyo
Soma => https://jamii.app/WabungeKEPosho

BURUNDI YASHINDWA KUTIMIZA VIGEZO VYA KUJIUNGA SADC
> Burundi imekwama kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya kuwa mwanachama
> Hali ya uhusiano na nchi jirani ikiwemo Rwanda ni miongoni mwa dosari za kutokamilika kwa vigezo vya kujiunga SADC
Soma - https://jamii.app/SADCDeniesBurundi

OMBI LA RUFAA DHIDI YA KANUNI MAUDHUI ZA MTANDAONI LAKUBALIWA
> Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imekubali kutoa kibali cha rufaa dhidi ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni ya 2018
> Pingamizi litawasilishwa Mahakama ya Rufaa kwa ajili ya kuamuliwa
Soma https://jamii.app/RufaaMtwara

UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUGHARIMU TSH. BILIONI 82.9
> Serikali imesema uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Oktoba, 2019 utagharimu Tsh bilioni 82.9 huku ikivitoa hofu vyama vya upinzani kuwa utakuwa huru na wa haki
> Imekamilisha maandalizi ya kanuni za uchaguzi, kuhakiki maeneo ya utawala na kufanya mafunzo na mikutano kwa wadau
Soma - https://jamii.app/Bil82UchaguziMitaa

MAREKANI: WANAOBAKA WATOTO KUONDOLEWA NGUVU ZA KIUME
> Jimbo la Alabama limepitisha muswada wa sheria inayowalazimu watu waliopatikana na hatia ya kuwabaka watoto wenye umri chini ya miaka 13, kuondolewa nguvu za kiume kupitia njia ya kemikali
> Hadi sasa kuna majimbo 7 yakiwemo Louisiana na Florida, yenye sheria kama hiyo
Soma - https://jamii.app/SheriaKubakaWatoto

MICHEZO: Uongozi wa klabu ya mpira ya Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu ujao
> Ndayiragije, anachukua nafasi ya Abdul Mingange na Idd Nassor Cheche ambao mkataba wao ulisitishwa
#JFMichezo

KENYA YAPIGA MARUFUKU UBADILISHAJI WA MITUNGI YA GESI
> Serikali ya Kenya imepiga marufuku vituo vya gesi kujaza mitungi ya kampuni zingine na wananchi kubadilisha mitungi ya gesi ya kampuni tofauti na ile waliyokuwa nayo
> Hatua hiyo itasaidia kupambana na mitungi feki ya gesi na pia kuwahakikishia Wananchi wanaotumia gesi usalama wao
Soma - https://jamii.app/BanGasExchange

RAIS MAGUFULI KUWA MWENYEKITI WA MKUTANO WA 39 WA SADC
> Rais John Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika utakaoanza Agosti 17, 2019 jijini Dar es Salaam
> Utahudhuriwa na marais zaidi ya 15 na utakuwa na vikao vya Makatibu wakuu, Mawaziri wa nchi na maonesho ya viwanda
Soma - https://jamii.app/Mkutano39SADCTZ

SERIKALI YATAIFISHA MALI ZA TSH. BILIONI 93
> Serikali imetaifisha mali za wahalifu zenye thamani ya Tsh bilioni 93.16 kuanzia mwaka 2013 hadi Mei mwaka huu zilizokamatwa kwenye sekta za Madini, Maliasili na Sekta ya fedha (Upatu) ikiwa ni sehemu ya kudhibiti uhalifu kwenye maeneo mbalimbali nchini
Soma - https://jamii.app/TaifishoMaliUhalifu

KENYA: MTANZANIA AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
> Hussein Idd amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Ksh milioni 90 (zaidi ya bilioni 2 za Tanzania) kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha kilo 10 za Heroine Machi 2018 kwenye hoteli ya Regency, Mombasa
Soma - https://jamii.app/TZnJailedHeroine

BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI
> Serikali inatarajia kuwasilisha bungeni bajeti kuu ya shilingi trilioni 33.1 kwa mwaka wa fedha 2019/20 huku mapato ya ndani yakijumuisha yatokanayo na Halmashauri nchini yakitarajiwa kuwa Tsh trilioni 23
> Utegemezi wa misaada na mikopo nafuu kutoka kwa washirika wa maendeleo unatarajiwa kuongezeka
Soma - https://jamii.app/BajetiKuu2019

MGOGORO SUDAN: MAUAJI, UBAKAJI, NA WATU KUTOWEKA VYASHAMIRI
> Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa zaidi ya 129 wameuawa wakati jeshi likidhibiti maandamano dhidi ya Serikali
> Watu 700 wamejeruhiwa huku 70 wakiripotiwa kubakwa
Zaidi, soma > https://jamii.app/MgogoroSudan

RAIS WA DRC KUFIKA NCHINI LEO KWA AJILI YA ZIARA
> Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi anatarajiwa kuwasili nchini leo, Juni 13 kwa ajili ya ziara ya siku mbili
> Siku chache zilizopita aliandika barua kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiwasilisha ombi la nchi yake kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo
Soma - https://jamii.app/TshisikediVisitsTz