#UPDATES UCHAGUZI KENYA: MATOKEO KUTANGAZWA SAA 9 ALASIRI
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) itatangaza rasmi matokeo ya mwisho ya Uchaguzi wa Urais leo katika Kituo cha Kitaifa cha kuhesabia kura cha #Bomas
#JamiiForums #KenyaDecides2022
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) itatangaza rasmi matokeo ya mwisho ya Uchaguzi wa Urais leo katika Kituo cha Kitaifa cha kuhesabia kura cha #Bomas
#JamiiForums #KenyaDecides2022
UCHAGUZI #KENYA: Kwa mujibu wa #Katiba, Iwapo Rais Mteule atatangazwa leo na asipate zuio la kupinga ushindi wake, ataapishwa Agosti 30, Siku 14 baada ya Matokeo kutangazwa
Bunge litaweka utaratibu na sherehe za kuapishwa kwake
Soma - https://jamii.app/UapishoKenya
#KenyaDecides2022
Bunge litaweka utaratibu na sherehe za kuapishwa kwake
Soma - https://jamii.app/UapishoKenya
#KenyaDecides2022
UCHAGUZI KENYA: Tume ya Uwiano na Utangamano (NCIC) imewataka Raia kudumisha amani wakati na baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Urais
Pia, imewataka Kukubali matokeo na kuacha Mahakama kushughulikia masuala yatakayojitokeza
Soma https://jamii.app/KenyaElect2022
#KenyaDecides2022
Pia, imewataka Kukubali matokeo na kuacha Mahakama kushughulikia masuala yatakayojitokeza
Soma https://jamii.app/KenyaElect2022
#KenyaDecides2022
#SIERRALEONE: Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea baada ya Maandamano ya wiki iliyopita yaliyosababisha vifo vya takriban Raia 20 na Polisi 5
Rais Julius Maada Bio amewashutumu waandamanaji kwa kujaribu kupindua Serikali yake
Soma - https://jamii.app/UtulivuSierraLeone
#Democracy
Rais Julius Maada Bio amewashutumu waandamanaji kwa kujaribu kupindua Serikali yake
Soma - https://jamii.app/UtulivuSierraLeone
#Democracy
URASIMU UHAMIAJI: Rais Samia Suluhu amesema utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini Maafisa Uhamiaji wa Dar na #Zanzibar wana matumizi mabaya ya Fedha za Visa
Pia, ametaja tuhuma za Rushwa na Unyanyasaji katika Idara hiyo kwa jumla
Soma > https://jamii.app/SamiaMkoaniTanga
#KemeaRushwa
Pia, ametaja tuhuma za Rushwa na Unyanyasaji katika Idara hiyo kwa jumla
Soma > https://jamii.app/SamiaMkoaniTanga
#KemeaRushwa
#BURKINAFASO: Mashirika ya kutetea #HakiZaBinadamu Nchini humo yamelishutumu Jeshi kwa kuwaua zaidi ya Watu 40 Kaskazini mwa Nchi hiyo
Jeshi la Burkina Faso limekanusha madai ya mara kwa mara ya ukiukaji wa Haki za Binadamu
Soma - https://jamii.app/JeshiKuuaRaia
#HumanRightsViolations
Jeshi la Burkina Faso limekanusha madai ya mara kwa mara ya ukiukaji wa Haki za Binadamu
Soma - https://jamii.app/JeshiKuuaRaia
#HumanRightsViolations
KENYA: TUME YA UCHAGUZI YAGAWANYIKA MATOKEO YA URAIS
Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera amesema yeye na wenzake hawaungi mkono matokeo ya Urais ambayo yanatarajiwa kutangazwa leo Agosti 15, 2022
Amesema, "Hatutambui matokeo ambayo wanatarajiwa kutangaza leo kutokana na kukosekana kwa uwazi katika zoezi la Uchaguzi Mkuu"
#KenyaDecides2022 #Democracy #Kenya2022

WILLIAM RUTO ATANGAZWA KUSHINDA KITI CHA URAIS KENYA
Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022
Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila Odinga kutoka Azimio la Umoja aliyepata Kura 6,942,930 (48.85%)
Soma > https://jamii.app/KenyaElect2022

Rais Mteule wa Kenya, William Ruto leo Agosti 15, 2022 akihutubia mara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya Urais
#JamiiForums #KenyaDecides2022
#JamiiForums #KenyaDecides2022
TETESI: TEN HAG ATAKA RONALDO AONDOKE MAN UNITED
Kocha wa #ManUnited, Erik ten Hag inadaiwa amebadili mawazo ya kufanya kazi na Cristiano Ronaldo na sasa yupo tayari staa huyo aondoke
Inadaiwa uhusiano wa Ronaldo na benchi la ufundi sio mzuri
Soma > https://jamii.app/RonaldoSaga
#JFSports

Machache aliyosema William Ruto leo akihutubia Taifa baada ya kutangazwa kushinda nafasi ya Urais
#JamiiForums #KenyaDecides2022
#JamiiForums #KenyaDecides2022
Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amshukuru Raila Odinga baada ya Matokeo kutangazwa
#JamiiForums #KenyaDecides2022
#JamiiForums #KenyaDecides2022
RUTO: BADO SIJAZUNGUMZA NA RAIS KENYATTA
Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema hadi usiku wa Agosti 15, 2022 hakuwa amezungumza na Rais Uhuru Kenyatta
> Anaamini watazungumza kwa kuwa kuna kukabidhiana ofisi
Soma https://jamii.app/RutoUhuru2022
#KenyaDecides2022 #Kenya2022

KENYA: Mgombea Mwenza wa Urais wa Azimio la Umoja, Martha Karua amesema kazi haijamalizika na kuna uwezekano wa kumpa changamoto Rais Mteule, William Ruto
> Raila Odinga bado hajatoa tamko hadi kufikia saa 12:50 Asubuhi leo Agosti 16, 2022
Soma https://jamii.app/KaruaNotOver
#KenyaDecides2022
> Raila Odinga bado hajatoa tamko hadi kufikia saa 12:50 Asubuhi leo Agosti 16, 2022
Soma https://jamii.app/KaruaNotOver
#KenyaDecides2022
AFRIKA KUSINI: JACOB ZUMA AKATA RUFAA KUPINGA KURUDISHWA JELA
Rais wa zamani, Jacob Zuma ameiomba Mahakama ya Juu kubatilisha uamuzi unaotaka arejeshwe jela ili kutumikia kifungo cha Miezi 15, hatua ambayo awali ilisababisha machafuko #KwaZuluNatal
Soma https://jamii.app/ZumaRufaa

KENYA: Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Jimbo la Embakasi, Daniel Mbolu Musyoka umeokotwa Kajiado. Taarifa zaidi zinadai Mwili wa Marehemu ulionesha dalili za mapambano na mateso
Musyoka alitoweka eneo lake la kazi Agosti 9, 2022
Soma - https://jamii.app/IEBCOfficialFoundDead
#HumanRights
Musyoka alitoweka eneo lake la kazi Agosti 9, 2022
Soma - https://jamii.app/IEBCOfficialFoundDead
#HumanRights
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wakenya kwa kufanya Uchaguzi wa Amani uliompa Ushindi Naibu Rais, William Ruto
Amesema #Tanzania itaendeleza undugu na Ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu Miaka na Miaka
Soma > https://jamii.app/SamiaAmpongezaRuto
#KenyaDecides2022
Amesema #Tanzania itaendeleza undugu na Ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu Miaka na Miaka
Soma > https://jamii.app/SamiaAmpongezaRuto
#KenyaDecides2022
#MYANMAR: Mahakama imemhukumu tena Kiongozi wa Nchi hiyo aliyeondolewa Madarakani, Aung San Suu Kyi kifungo cha Miaka sita jela kwa Ufisadi
Mpinzani huyo ameshtakiwa kwa makosa yasiyopungua 18 yakiwemo ya Ufisadi na Ukiukwaji wa mchakato wa Uchaguzi. Anaweza kuhukumiwa Miaka 190 jela
Soma - https://jamii.app/SuuKyiCase