JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MGAMBO ADAIWA KUKIMBIA NA TSH. MILIONI 17 YA USHURU WA MAEGESHO

> Alikuwa mlinzi eneo la maegesho ya malori, lakini si mwajiriwa wa Halmashauri

> TAKUKURU wanamtafuta arejeshe fedha hizo

Soma https://jamii.app/MgamboMilioni
JINSI YA KUNYOA NDEVU ZAKO BILA KUSABABISHA VIPELE

> Chukua 'cream' paka ndevu zako kaa dakika 5,
Nyoa ndevu kwa kuelekezea chini. Osha uso kwa maji ya uvuguvugu huku ukisugua uliponyoa

> Kausha uso, paka mafuta ya nazi kama unachua

Soma https://jamii.app/NyoaNdevu
TAHADHARI KWA WAISHIO PEMBEZONI MWA MIKONDO YA MAJI YA BWAWA LA MTERA NA KIDATU

> Bwawa la Mtera limejaa kufikia Mita 698.50 juu ya Usawa wa Bahari

> Ziada ya maji inayoendelea kuingia imeanza kutolewa leo Februari 15, 2020

Soma https://jamii.app/Tahadhari
WANAOWATOZA WANANCHI PESA YA NGUZO ZA UMEME KUKAMATWA

> Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka wakuu wa Wilaya kote nchini kusimamia agizo hilo na kuwakamata watakaotoza fedha kwa kuwa Serikali inatoa nguzo bure na wananchi wanapaswa kuchangia Tsh. 27,000 ili kuunganishiwa umeme

Soma - https://jamii.app/KutozaFedhaNguzo
MALI: WATU 31 WAUAWA BAADA YA WANAMGAMBO KUVAMIA KIJIJI

> Watu 31 wameuawa baada ya Wanamgambo wenye silaha kuvamia Kijiji cha Ogussagou

> Wanamgambo hao walivamia Kijiji hicho baada ya Jeshi la Serikali kuondoka

Soma - https://jamii.app/MaliAttack
JamiiForums
Video
RC ARUSHA: WALIOSAMBAZA PICHA KUONYESHA UBOVU WA BARABARA NGORONGORO WAMEHUJUMU UCHUMI

> Aagiza Polisi kuwasaka, kuwakamata na kuwahoji wahusika

> Asema wanachafua taswira ya nchi kwani kulikuwa na njia sahihi kuliko kutumia mitandao ya Kijamii; kitendo alichokifananisha na Uhujumu Uchumi
SENEGAL: RAIS ASEMA NCHI HAIRUHUSU USHOGA

> Amesema hayo baada ya Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, kuibua mjadala wa haki za binadamu nchini humo

> Nchini humo wanaopatikana na hatia ya vitendo hivyo hufungwa miaka mitano

Soma https://jamii.app/UshogaSenegal
YEMEN: WATU 31 WAUAWA KWENYE MASHAMBULIO YA ANGA

> Watu wengi wanauawa kwenye mashambulizi yasiyo na msingi kwa machafuko tangu 2014

> Yemen inayokabiliwa na umaskini imeingia katika baa la njaa na uharibifu wa mfumo wa afya

Soma https://jamii.app/YemenVita
KENYA: MHADHIRI AKUTWA AMEKUFA AKIWA NA KAMBA ILIYOFUNGWA SHINGONI

> Taarifa zinadai, Profesa Gil Gil Ogutu siku ya Ijumaa alikwenda nyumbani na mke wake wa pili na walikuwa pamoja hadi Jumamosi jioni wakati anaripotiwa kuwa aliondoka kwenda Kisumu

Soma https://jamii.app/MhadhiriKenya
KUNA UMUHIMU GANI WA KUULIZA KABILA LA MTEJA WAKATI WA KUPEWA HUDUMA KTK TAASISI ZA UMMA?

> Mdau wa JamiiForums.com ameuliza kwanini Hospitali unaulizwa kuhusu kabila. Kufungua kesi Mahakamani utaulizwa kabila.

> Je, kuna umuhimu wowote?

Soma https://jamii.app/UmuhimuKabila
NYOTA WA FILAMU YA 'QUEEN OF KATWE' AFARIKI

> Nikita Pearl Waligwa amefariki akiwa na miaka 15 kutokana na uvimbe kwenye ubongo

> 2016, alikuwa na uvimbe, 2017 alipata nafuu baada ya matibabu. 2019 akapata uvimbe mwingine uliopelekea kifo

Soma https://jamii.app/NyotaAfariki
LIBYA: WAZIRI AONYA KUTOKEA KWA MGOGORO WA KIFEDHA BAADA YA MIUNDOMBINU YA MAFUTA KUFUNGWA

> Waziri Mkuu amesema hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 1.4 imepatikana

> Miundombinu hiyo ilifungwa na waandamanaji wanaomuunga mkono Khalifa Haftar

Zaidi, soma - https://jamii.app/UchumiMafutaLibya
UPDATE: Watu waliofariki kwa #coronavirus wamefikia 1,775 huku Watu zaidi ya 71,000 wakiambukizwa virusi hivyo

- Vifo vitano vimetokea Taiwan, Ufaransa, Hong Kong, Ufilipino na Japan

- Watu 10,844 wamepata ahueni dhidi ya maambukizi hayo na kuruhusiwa kutoka hospitalini
MBEYA: MTOTO WA MIAKA 17 AUAWA BAADA YA KUPIGWA NA WANANCHI AKIJARIBU KUIBA FEDHA

> Victor Mwasoro ameuawa baada ya kupigwa na Wananchi wenye hasira alipovamia kibanda cha kutuma na kupokea fedha akiwa na bastola ya baba yake

Zaidi, soma - https://jamii.app/MtotoKifo-MBY
MJUE ALIYEKUWA MKE WA RAIS AMBAYE SASA NI MWANAMUZIKI

- Patience Marie Josephine aliyekuwa mke wa Rais (First Lady) wa Gabon, Omar Bongo kwa mwaka 1967-1987

- Ni Mama wa Rais wa sasa wa Gabon, Ali Bongo, na alianza kuimba baada ya talaka

Soma https://jamii.app/MkeWaRais
ENGLAND: EVERTON KUACHANA NA SPORTPESA

- Imetangaza inavunja mkataba na Wadhamini wao ambao ni Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa ifikapo mwisho wa msimu huu

- Imesema Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia uhakiki yakinifu wa mkakati wa Klabu hiyo kibiashara
SUMU YA NGE NI SUMU YA GHALI ZAIDI DUNIANI

> Huuzwa kwa dola milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Tsh bilioni 90. Galoni moja ni lita 4.5

> Sumu ya nge ina Chlorotoxins na Kaliotoxins ambazo hutumika kutibu saratani na matatizo ya mgongo

Zaidi, soma https://jamii.app/SumuNge
MWENDELEZO: Dereva Salum Mohammed aliyesababisha ajali iliyogharimu maisha ya Wanafunzi watano wa Shule ya Msingi Ndelenyuma mkoani Ruvuma amekamatwa Ilala jijini Dar es Salaam

- Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa amesema Mohamed amekamatwa kufuatia ushirikiano kati ya Polisi na Jamii na kwamba, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake

Zaidi, soma https://jamii.app/Vifo5WanfzGari
MJUE MNYAMA NGEKEWA ‘CAPYBARA’

> Ni mnyama anayependwa na wanyama wengi zaidi duniani

> Ana maadui wachache kama Binadamu, Jaguar, Puma, Tai na nyoka wakubwa kama 'Anaconda'

Zaidi, soma https://jamii.app/MjueNgekewa