MWANZA: JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA SHEMEJIE WA MIAKA 12
> Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Misungwi amemuhukumu Bossco Amoni kwa kosa hilo
> Shemejie alikuwa akienda nyumbani, njiani alikutana na mtuhumiwa aliyemuomba amsindikize, akampitisha njia ya vichakani na kumbaka
Soma https://jamii.app/JelaMbakaji

MICHEZO: Mshambuliaji wa Manchester United, Odion Ighalo (30) amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya #coronavirus
> Ighalo ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya United kutoka klabu ya Shanghai Shenhua hadi mwisho wa msimu amekuwa akifanya mazoezi na mkufunzi wa kibinafsi katika eneo tofauti mjini Manchester

KENYA: MWENYE NYUMBA AMUUA MPANGAJI KWA KUSHINDWA KULIPA KODI YA MWEZI JANUARI
> Warren Jirongo(26) amechomwa kisu hadi kufa baada ya kushindwa kulipa kodi ya takriban Tsh 57,000
> Jirongo alikuwa anafanya kazi ya kukusanya uchafu majumbani
Soma https://jamii.app/MpangajiAuawa

NAFASI YA USHAIRI WA KUONGEA (SPOKEN WORD POETRY) KAMA VITABU VYA MSAADA BINAFSI
> Mtindo wa maisha tunayoishi hutupa muda finyu wa kujisomea vitabu vya usaidizi binafsi. Ushairi una nafasi hiyo kuhakikisha watu wanapata mambo ambayo wangeyapata vitabuni
> Baadhi ya washairi ni Mpoto, Justine Kakoko, Malle Hanzi, Hellen Burugu na Amos Mwijonge
Soma https://jamii.app/SpokenWordPoetry

NYANI AMLEA MTOTO WA SIMBA(SHIBLI)
> Afisa utalii nchini Afrika Kusini alifanikiwa kupata picha ya Nyani akimbeba Shibli katika Mbuga ya wanyamapori ya Kruger
> Afisa huyo alisema inashangaza kuona nyani anavyomlea vizuri Shibli
Soma https://jamii.app/NyaniSimba

ROMBO: AMCHINJA MKEWE MJAMZITO SIKU WALIYOPATANA BAADA YA KUTENGANA KWA MUDA
> Anthony Asenga (33) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumchinja Happiness Sianga aliyekuwa na ujauzito unaokadiriwa kuwa wa miezi 8
> Wanandoa hao walikuwa wametengana kwa muda mrefu na siku ya tukio ndiyo siku waliporudiana
Soma https://jamii.app/AmuuaMkewe

CONGO: WATU TISA WAUAWA KWA KUKATWA MAPANGA
> Mwakilishi wa Gavana amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo yaliyotokea 12 Februari
> Tangu Oktoba 2019, zaidi ya Raia 40,000 wamekimbia makazi yao na mamia wameuawa. Waasi wa ADF Nalu washutumiwa kuhusika
Soma https://jamii.app/9WauawaCongo

HOJA: HALI YA UZOAJI TAKATAKA MITAANI HAIRIDHISHI
> Mdau ndani ya JamiiForums.com anasema Wakandarasi wa uzoaji takataka hawana vifaa vya kutosha ikiwemo malori ya uhakika na hawazoi taka kwa wakati unaotakikana
> Ametaja maeneo kama Upanga, Masaki huko Mkandarasi wao anajitahidi kupita kwa wakati na kuzoa lakini maeneo mengi yaliyobaki kuna shida ya kuishi na uozo wa funza baada ya taka kukaa zaidi ya wiki majumbani mwa watu bila kuzolewa
Je, hali ikoje katika eneo unaloishi?
Kwa mjadala zaidi - https://jamii.app/UzoajiTakaMitaani

CORONAVIRUS CASES RISE TO MORE THAN 65,000 GLOBALLY
> China's #Hubei province have recorded 4,823 more cases of the novel coronavirus, bringing the global total to 65,191
> The death toll from the #coronavirus has now risen to at least 1,486
#CoronavirusOutbreak #COVID_19 #COVID19

SAVE THE CHILDREN: MTOTO MMOJA KATI YA SITA WANAISHI KATIKA MAZINGIRA YA VITA
> Tangu mwaka 2005, takriban watoto elfu 95 wameuawa
> Watoto wa Kiafrika ndio walioathirika zaidi, takwimu zinaonesha kuwa watoto milioni 170 wanaishi katika mazingira ya vita
Soma https://jamii.app/MazingiraWatoto

MFAHAMU NANCY PELOSI, SPIKA WA KWANZA MWANAMKE KATIKA BUNGE LA MAREKANI
> Aliwahi kufanya kazi kwenye ofisi ya Seneta wa jimbo la Maryland na kwa kuzipenda Siasa aliamua kwenda kusomea Shahada ya Sayansi ya Siasa katika Chuo cha Trinity mwaka 1962
> Mwaka 2006 kwenye uchaguzi wa nusu muhula, Chama cha Democrat kilipata idadi kubwa ya Wabunge na kumfanya Nancy Pelosi kuwa 'Majority Leader' ambaye aliteuliwa na chama chake kuwania nafasi ya uspika na aliongoza hadi mwaka 2010
> Mwaka 2018 alichaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge nafasi anayoishikilia hadi sasa
Fahamu zaidi, soma - https://jamii.app/NancyPelosiSpikaUS

SABABU ZISIZO ZA KIUFUNDI ZINAZOFANYA KUWA NA MATUMIZI MAKUBWA YA UMEME
> Kutumia Majokofu yenye matatizo katika mfumo wa vipimajoto. Kuacha vitu "standby". Kutumia taa za CFL (utumbo) za watt 40 na matumizi ya vifaa vya umeme vya kizamani
Soma https://jamii.app/MatitizoUmeme

👍1
KENYA: WACHINA WALIOMCHAPA VIBOKO MFANYAKAZI KURUDISHWA KWAO
> Waziri Fred Matiang'i ameagiza Ou Qiang, Deng Hailan, Chang Yueping na Yu-Ling kurudishwa China
> Ni baada ya kumchapa viboko Mkenya kwa kosa la kuchelewa kazini
Soma - https://jamii.app/WachinaSerikaliKenya

BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU HATARINI KUPASUKA, WANANCHI WAPEWA TAHADHARI
> Wananchi wanaoishi jirani na Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo Mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuondoka haraka kutokana na kujaa maji na kufikia mita 688.91 kutoka usawa wa Bahari
> Tayari limeshafikia kiwango cha ujazo unaotakiwa ambapo kwa kawaida likifikia lazima litoroshe maji kwani yanaweza kuvunja Bwawa
Soma - https://jamii.app/BwawaNyumbaMunguLajaa

UJENZI WA SGR WAPATA MKOPO WA TSH TRILIONI 3
> Dkt. Mpango na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani wamesaini makubaliano ya mkopo wa Trilioni 3.3 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi kuanzia Dar Es Salaam hadi Makutupora
Soma - https://jamii.app/MkopoUjenziSGR

AUSTRALIA: HATIMAYE MOTO WA MISITUNI WADHIBITIWA
> Moto huo uliotokea tangu Septemba 2019 umedhibitiwa kwa urahisi baada ya mvua kubwa kunyesha nchini humo juzi na kusaidia kuuzima
> Eneo la ukubwa wa hekta milioni 10 limeteketezwa, zaidi ya nyumba 2,500 zimeharibiwa na watu 33 wamepoteza maisha
#JFLeo

MCHUNGAJI WA TANZANIA ANAYEJITANGAZA KUTIBU CORONA MATATANI
> Moses Mollel/Nabii Namba Saba atakiwa kuthibitisha uwezo huo
> Serikali kumhoji kama ana vibali vya kutoa tiba, iwapo atashindwa kuthibitisha atachukuliwa hatua kali za Kisheria
Soma https://jamii.app/NabiiCorona

SERIKALI YATAKIWA KUWA NA TAASISI MAALUM YA KUSHUGHULIKIA MAJANGA
> Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi amesema majanga yanayoendelea kutokea maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya mvua, mengi yanasababishwa na mabadiliko ya tabianchi
> Kuwepo na mamlaka kamili ya kukabiliana na majanga yote na iwe inachukua hatua haraka
Soma - https://jamii.app/TaasisiMajangaTz