UPDATE: CANADA YAONDOA RAIA WAKE WALIOKO CHINA KUTOKANA NA #CORONA
Wizara ya Mambo ya Nje ya Canada imetangaza kuwaondoa raia wake 188 waliokuwa katika mji wa Hubey nchini China
> Wananchi hao wamesafirishwa kutoka nchini humo kufuatia janga la #coronavirus vilivyoikumba China tangu mwishoni mwa mwaka 2019
> Watu zaidi ya 1,100 wameshafariki kutokana na #coronavirus vinavyosababisha maradhi aina ya Covid-19
> Nchini Canada, ni watu 7 ambao wamepimwa na kukutwa na #coronavirus

AFRIKA KUSINI: MWANAMUZIKI WA KIZULU, JOSEPH SHABALALA AFARIKI
> Muasisi wa muziki wa kitamaduni wa Zulu amefariki 11 Februari akiwa na umri wa miaka 78
> Ni muasisi na muongozaji wa kikundi cha Ladysmith Black Mambazo, kilichoshinda tuzo tano za Grammy
Soma https://jamii.app/ShabalalaAfariki

SABABU ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI
> Ikiwa mrithi amezini na mke wa mtoa wosia. Ikiwa mrithi amejaribu kumuua/kumdhuru mtoa wosia au mke wa mtoa wosia
> Ikiwa mrithi bila sababu za msingi hakumtunza mtoa wosia ktk shida ya njaa/ugonjwa
> Wosia ni zao la Sheria hivyo kuandaliwa, kuhifadhiwa, na kutekelezwa kwake ni lazima kufuate sheria
Soma https://jamii.app/UrithiWosia

NEC: RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2020 HAIJATOLEWA
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema tarehe ya Uchaguzi inayosambaa mitandaoni sio ya kweli na kuwataka
Watanzania kupuuza taarifa hizo
> NEC imesema ratiba itatolewa muda ukifika
Soma - https://jamii.app/UchaguziMkuu-TZ

SERIKALI: DUDUBAYA YUKO HURU KUJIHUSISHA NA SANAA
> Alifungiwa na BASATA baada ya kukataa wito kuhojiwa kuhusu tuhuma alizozitoa katika mitandao ya kijamii kuhusu Sanaa
> Aliomba msamaha na kuongea na Waziri, Dk. Harrison Mwakyembe tarehe 11/2/2020
Soma https://jamii.app/DudubayaBASATA

UTURUKI KULIPIZA KISASI KWA SYRIA BAADA YA WANAJESHI WAKE KUUAWA
> Rais Recep Tayyip Erdogan ameionya Serikali ya Syria kwamba italipa gharama kutokana na mashambulizi yake dhidi ya Majeshi ya Uturuki, Kaskazini Mashariki mwa Syria
> Wanajeshi 5 wa Uturuki waliuawa Jumatatu wakati Majeshi ya Syria yakiendelea na mapigano
Soma - https://jamii.app/UturukiKisasiSyria

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la Ajira na Tenda linakupa nafasi mdau wetu kuweza kupata nafasi mbalimbali za Kazi iwe ni Serikali, katika Mashirika ya Ndani au hata ya Kimataifa
- Kujua nafasi mbalimbali za Kazi na Tenda zilizotangazwa Nchini au Nchi za Nje kwa ajili ya Raia wa Tanzania, tembelea Jukwaa hilo, fungua https://jamii.app/JukwaaTendaAjira

KENYA: MZEE WA MIAKA 78 AREJEA KWA MKEWE BAADA YA MIAKA 26
> Aliondoka na redio ambayo amerudi nayo. Hakuweza kupakumbuka vizuri nyumbani kwake
> Nduguze walimtafuta bila mafanikio kwa miaka yote hiyo
Soma https://jamii.app/Mzee78Arudi

BEBERU ALIYEVUNJA REKODI YA KUWA NA PEMBE NDEFU ZAIDI DUNIANI
> Ana pembe zenye urefu sentimeta 140, alivunja na kushikilia rekodi hiyo tangu 16 Februari 2018
> Amevunja rekodi yake ya mwaka 2017 kwa kuwa pembe zimekua kwa sentimita 1.2 zaidi
Soma https://jamii.app/BeberuRekodi

JE, WAJUA KUENDESHA GARI MWENDO MDOGO NALO NI KOSA KISHERIA?
> Kifungu cha 56 cha Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168 kinasema “dereva wa gari au tela ambaye bila sababu za msingi ataendesha kwa mwendo mdogo (low speed) ambao utaelekea kuwasababishia watumiaji wengine wa barabara usumbufu au utawasababishia usumbufu, atakuwa ametenda kosa na panapo hatia yake atatakiwa kuadhibiwa kwa kulipa faini”
> Sababu za msingi zaweza kuwa foleni kubwa, unaendesha ndani ya msafara rasmi , maelekezo ya vibao, ubovu wa barabara , barabara imezuiwa na waandamanaji au halaiki
> Ubovu wa gari si sababu ya kutembea taratibu. Sheria hii inaelekeza gari likiwa bovu kutokuendeshwa barabarani kwa maana ya kuwekwa pembeni ili kulirekebisha au kutafuta namna nyingine.
Soma https://jamii.app/SheriaBarabarani

KAGERA: MUUGUZI ATUHUMIWA KUUA MWANAFUNZI WAKATI AKIMTOA MIMBA
> Dezber Kahwa (49) anatuhumiwa kumtoa mimba kienyeji Mwanafunzi wa Darasa la 6
> Alifukuzwa kazi wakati wa uhakiki wa vyeti feki, lakini aliendelea kutoa huduma bila kibali
Soma- https://jamii.app/MuuguziMwanafunziKifo

TMA : TAHADHARI YA MVUA KUBWA KWA SIKU TANO KWA MIKOA 12 NCHINI
> Baadhi ya maeneo ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Morogoro na visiwani yanatarajiwa kupata mvua hizo
Soma https://jamii.app/MvuaKubwa

JELA MIAKA MITATU KWA KUMUUA NDUGUYE BILA KUKUSUDIA
> Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Tanga kwa Jafari Kijangwa (45)
> Jafari alimshambulia nduguye baada ya kumwaga ndoo ya mafuta ya kukaangia chipsi na kupelekea kifo chake
Soma https://jamii.app/JelaMiaka3

UPDATE: Idadi ya waliofariki kwa homa inayosababishwa na #coronavirus imefikia 1,365 duniani kote, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 60,000 na waliopona kufikia 6,061
> Mashirika ya ndege katika nchi mbalimbali ikiwemo Air Tanzania yamesitisha safari zake kuelekea China
#JFLeo

PINGAMIZI LA WATUHUMIWA KUSHTAKIWA KATIKA MAHAKAMA ZISIZO NA MAMLAKA YA KUSIKILIZA KESI ZAO
> Mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa amefungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga watuhumiwa kufikishwa kwenye Mahakama zisizokuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi zao (committal proceedings) na kukamatwa bila upelelezi kukamilika
Soma zaidi - https://jamii.app/MahakamaMamlakaKesi

UINGEREZA: MWANAMKE ALIYETAKA KUFUNGUA MLANGO WA NDEGE KATIKATI YA SAFARI AHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA
> Chloe Haines (26) alisema "Ninataka kufa na nitawaua wote" kabla ya kujaribu kufungua mlango wa dharura wa ndege
> Mwanasheria wake amedai Haines hakuwa sawa kiakili wakati anafanya tukio hilo
Soma - https://jamii.app/ChloeHainesPlaneIncident-UK

TANZIA: ALIYEWAHI KUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, IDD SIMBA AFARIKI DUNIA
> Mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga amesema Baba yake amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akitibiwa
> Aidha, Idd Simba aliwahi kuwa Mbunge Ilala
Soma > https://jamii.app/RIPIddSimba

RUVUMA: WANAFUNZI 5 WAFARIKI KWA KUGONGWA NA GARI
> Wanafunzi hao wa Shule ya Msingi Ndelenyuma, wamefariki na 1 kujeruhiwa baada ya kugongwa na Land Cruiser lililoacha njia
> Chanzo cha ajali kinaelezwa kuwa ni mwendokasi wa Dereva ambaye hakujali mvua na utelezi wa barabara
Soma - https://jamii.app/Vifo5WanfzGari

KISUTU: WAKURUGENZI WA CIVMARK WASHTAKIWA KWA KUGHUSHI MKATABA
> Crispin Mwombeki na Mkewe, Hadija Nyumbwe, Joseph Nyamwero na Wakili Glory Benne wanatuhumiwa kughushi mkataba wa kupata zabuni ya kujenga barabara ya Manispaa ya Bukoba
Soma - https://jamii.app/CivmarkMahakamani

MALAWI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI RUFAA YA RAIS MUTHARIKA
> Mahakama ya Katiba imetupilia mbali Rufaa ya Rais Peter Mutharika kupinga kufutwa Uchaguzi Mkuu
> Mahakama pia imepinga madai ya Tume ya Uchaguzi kuwa kurudia Uchaguzi ni gharama
Soma - https://jamii.app/MutharikaRufaa-Malawi