MUZIKI WA DANSI TANZANIA: UNAZIKUMBUKA BENDI GANI ZILIZOTAMBA TANZANIA?
> Muziki wa Dansi ni miongoni mwa mtindo wa Muziki unaopendwa sana na Mtindo wake umetokana na mtindo wa Soukous kutoka Congo. Pia, unafahamika kama Rumba la Tanzania
> Muziki huu ulianza miaka ya 1930, Dar, ambako Bendi nyingi ndiko zinakotoka. Baadhi ya Bendi maarufu ni DDC Mlimani Park, International Ochestra Safari Sound, Juwata Jazz, Marquiz Original, Super Matimila na Vijana Jazz
> Juwata Jazz, sasa Msondo Ngoma, ndiyo bendi kongwe ambayo bado inaendelea. Imekuwa kama chuo cha mafunzo kwa wanamuziki wengi wakiwemo wanamuziki wa Bendi ya Mlimani Park na Safari Sound
Fuatilia zaidi - https://jamii.app/ZilipendwaMuzikiDansi
#JFMuziki

UPDATE: Idadi ya waliofariki kutokana na #CoronaVirus nchini China imeongezeka na kufikia 1,016, huku ikidaiwa kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa idadi hiyo kuongezeka.
-
Imeripotiwa kuwa Vifo hivyo vya Februari 10, vimetokea Hubei (108) na Wuhan (67) ambapo ndio chimbuko la Virusi hivyo
-
Maambukizi mapya 2,478 yamethibitishwa na kuongeza idadi ya walioambukizwa kuwa 42,683
-
Wakati huo huo, viongozi wawili wa juu wa Tume ya Afya katika Jimbo la Hubei wamefukuzwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kudhibiti maambukizi ya Corona

Rais Magufuli amemfukuza kazi mtumishi wa umma aliyekamatwa na Polisi kwa kosa la kuchana na kuchoma kitabu cha Juzuu Amma ambacho ni sehemu ya Quran
> Siku chache zilizopita Waziri Jafo alimsimamisha kazi Daniel Maleki na kusema alichokifanya hakileti afya kwa jamii
Soma https://jamii.app/MagufuliKazi
#JFLeo

JUSTIN KALIKAWE, MWANAMUZIKI 'LEGEND' WA REGGAE TANZANIA
> Inasemekana ndiye muasisi wa muziki wa Reggae ya Kiswahili. Alitamba miaka ya 1990 kwa nyimbo kama 'Roho ya Korosho' na 'Wamachinga'
> Alifariki Agosti, 2003 Hospitali Kuu ya Mkoa wa Kagera
Soma https://jamii.app/JustinKalikawe

AFRIKA KUSINI YAADHIMISHA MIAKA 30 TANGU NELSON MANDELA ALIPOTOKA GEREZANI
> Alikamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini mwaka 1956, baada ya kesi yake kudumu miaka 5, aliachiliwa huru lakini baadaye akakamatwa na kufungwa kwa miaka 27 kwa madai ya kuhujumu Serikali mwaka 1964
> Alitoka gerezani Februari 11, 1990
Soma - https://jamii.app/30YrsMandelaFreedom

BEI YA NYANYA NA VITUNGUU SIO KIPIMO CHA MFUMUKO WA BEI
> Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, amesema bei za vyakula hazijapanda. Bei za nyanya na vitunguu zimepanda ila haziathiri mfumuko wa bei
> Mfumuko wa bei ni asilimia 3.7, umeshuka kwa asilimia 0.1
Soma https://jamii.app/NyanyaBei

KENYA: MKE ACHOMA MOTO NYUMBA BAADA YA MUMEWE KURUDI NA MWANAMKE MWINGINE
> Ni baada ya Mumewe kumtambulisha Mwanamke mwingine kama Mke wake mpya
> Polisi wasema wanaendelea kumtafuta Mwanamke huyo
Soma - https://jamii.app/MotoKenya

TAKUKURU IMEWAKAMATA ASKARI WATANO KWA TUHUMA ZA RUSHWA
> Askari watatu majina yao yanahifadhiwa, mashauri yao yamefikishwa kwa mwajiri wao kabla ya kufikishwa Mahakamani
> Mmoja wao ni Charles Mashita wa Uhamiaji
Soma https://jamii.app/AskariRushwa

OMAR AL BASHIR KUKABIDHIWA KWA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU (ICC)
- Baraza la Mpito la Sudan ndio lililokubali kumkabidhi Rais huyo wa zamani
- Anakabiliwa na mashtaka ya Mauaji ya Kimbari, Uhalifu wa Kivita na Uhalifu dhidi ya Ubinadamu
Soma https://jamii.app/BashirKupelekwaICC

SOMALIA: WALIOKUTWA NA HATIA YA KUMBAKA NA KUMUUA MTOTO WA MIAKA 12 WAUAWA
> Wawili wamepigwa risasi Feb. 11, 2020. Mtu wa tatu bado anachunguzwa
> Maafisa walitumia teknolojia ya vinasaba (DNA) kuwapata na hatia washukiwa
Soma https://jamii.app/KuuawaSomalia

BALOZI KAIRUKI: HAKUNA MTANZANIA ALIYE CHINA AMEAMBUKIZWA CORONA
> Amesema kitendo cha kukusanyika kama ilivyoonekana ktk video ni hatari kwa afya
> Serikali haitawarudisha kwa kuwa hakuna usafiri unaoruhusiwa kutoka/kuingia mjini Wuhan
Soma https://jamii.app/CoronaWatanzania

ILO: MTU MMOJA HUFA KILA BAADA YA SEKUNDE 15 KWA AJALI KAZINI
> Ajali milioni 374 hutokea maeneo ya kazi kwa mwaka Dunia nzima
> Kwa nchi zinazoendelea wafanyakazi 881,280 hupata maradhi yatokanayo na kazi kila siku
Soma https://jamii.app/AjaliKazini

AFRIKA INAATHIRIKA ZAIDI NA KIFAFA
> Watanzania takriban 1,000,000 wana kifafa na wako katika hatari ya kifo mara sita
> Zaidi ya asilimia 75, huenda kwa waganga wa kienyeji na viongozi wa dini, wakiamini kuwa ni mapepo au mashetani
Soma https://jamii.app/KifafaTanzania

MJUE NYOKA AINA YA KOBOKO (BLACK MAMBA)
> Anadaiwa kuwa na sumu inayoweza kuua binadamu ndani ya dakika 20
> Anapojiandaa kushambulia, hutanua shingo na hutoa sauti kama tairi linalotoa upepo. Ukiona hivyo, unashauriwa kutulia mpaka hasira zake zishuke na aondoke
Soma https://jamii.app/NyokaKoboko

UGONJWA UNAOSABABISHWA NA VIRUSI VYA CORONA WAPEWA JINA LA COVID-19
> Shirika la Afya Duniani linasema hakukuwa na jina rasmi
> "CO" ni Corona, "VI" ni Virus, "D" ni Disease na 19 ni mwaka ambao mlipuko huo ulitangazwa kwa mara ya kwanza
Soma - https://jamii.app/WHO-COVID19

TMA: HALI YA HEWA SIO RAFIKI KWA NZIGE KUVAMIA TANZANIA
> Imetabiri kiwango hafifu cha upepo kwa Mikoa ya Kaskazini
> Upepo unaovuma sasa ni wa kasi ya kilomita 20 hadi 25 kwa saa na ili nzige wahame unatakiwa kufika kilomita 28 kwa saa
Soma https://jamii.app/TMANzige

MAHAKAMA YA RUFANI YATENGUA KUFUKUZWA KAZI NAIBU KATIBU MKUU WA CWT
> Naibu Katibu mstaafu wa Chama cha Walimu, Ezekia Oluoch alifukuzwa kazi kwa amri ya Katibu Mkuu Utumishi mwaka 2017 kwa madai ya kushindwa kuamua ni nani wa kumtumikia kati ya mwajiri wake au CWT
> Mahakama imesema kuwa Katibu Mkuu Utumishi hana mamlaka ya kumwondoa mtumishi wa umma katika utumishi
Soma - https://jamii.app/UtenguziKaziOluoch

UGANDA: ASKARI AMUUA ASKARI MWENZAKE BAADA YA KUBISHANA KUHUSU KESI
> Konstebo Ben Ojilong amempiga risasi, Koplo Alex Opito na mtu wa ulinzi shirikishi na kisha kujiua
> Ilitokea baada ya kubishana juu ya namna ya kuendelea na kesi waliyokuwa wanaisimamia
Soma https://jamii.app/UGAskariKifo

MAREKANI: KOBE BRYANT NA MWANAYE GIANNA WAZIKWA KWA SIRI
> Inadaiwa Kobe Bryant na Gianna wamezikwa tarehe 7 Februari 2020
> Maombolezo ya pamoja ya vifo vyao yatafanyika Februari 24 katika Uwanja wa Staples Center
Soma - https://jamii.app/KobeGiannaBuried

MWANZA: MOTO WATEKETEZA VIBANDA VYA BIASHARA ZAIDI YA 30
> Chanzo kinadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyosababishwa na uunganishaji holela wa nyaya
> Moto umeteketeza mali za Wafanyabiashara. Hakuna majeruhi wala vifo vilivyoripotiwa
Soma - https://jamii.app/MotoMwanza