UGANDA: WASAFIRI KUTOKA CHINA WATENGWA KUTOKANA NA HOFU YA #CORONA
> Wasafiri zaidi ya 100 kutoka China wametengwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Kampala na watasalia ktk uchunguzi wa kiafya kwa siku 14
> Mpaka sasa kuna visa vya maambukizi ya #coronavirus 31,493, mahututi ni 4,824, vifo ni 638 na waliopona ni 1,563
Soma - https://jamii.app/WasafiriWatengwaCorona

FAHAMU MADHARA YA KUFANYA MAPENZI (NGONO) MARA KWA MARA
> Huweza kupelekea hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa mwenzako kama kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu
> Huongeza uzalishaji wa homoni na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa na hivyo kushindwa kuzuia tamaa za mwili
> Kupoteza nguvu nyingi za mwili. Inaaminika tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke
Fahamu zaidi, soma - https://jamii.app/EffectsTooMuchSex
#JFMahusiano

FAHAMU KUHUSU TIBA NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU (PNEUMONIA)
> Pneumonia inaweza kutibiwa kwa chanjo. Hii hutofautiana kulingana na hali ya mgonjwa. Baadhi ya chanjo ni pamoja na Prevnar 13 na Pneumovax 23
> Ni muhimu kuzingatia usafi. Hii hupunguza maambukizi kupitia mfumo wa hewa.
> Wataalamu wanashauri kuacha uvutaji wa sigara kwakuwa unaharibu mishipa ya mapafu na kudhoofisha kinga ya mwili. Mwili unapokosa kinga ya kutosha, kuna hatari kubwa ya kuumwa Homa ya Mapafu
Zaidi, soma - https://jamii.app/TibaPneumonia

SERIKALI YASEMA HAIPENDELEI CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI KATIKA KUTOA ADHABU
> Yasema imekuwa ikichukua hatua bila kupendelea chombo chochote cha habari kinachobainika kukiuka sheria na taratibu ikiwamo kutoa habari za uongo
> Imesema imeshaandika onyo kwa Magazeti ya Tanzanite
Soma - https://jamii.app/UpendeleoSLKKufungaMagazeti

DKT. NDUGULILE: WATOTO WA MTAANI 6,393 WAMETAMBULIWA NA SERIKALI
> Watoto hao wanatoka Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Arusha, Dodoma na Mbeya
> Serikali imewapatia huduma za afya, malazi, elimu pamoja na msaada wa kisaikolojia
Soma - https://jamii.app/WatotoSerikali

MAHAKAMA YAKATAA KUTOA KIBALI KWA MBOWE KUSAFIRI
-
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenyimwa kibali cha kusafiri nje ya nchi na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu licha ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kumruhusu kiongozi huyo kusafiri
-
CHADEMA imesema kitendo cha Mahakama kumnyima ruhusa Mbowe kusafiri kwa kuwasikiliza Mawakili wa Serikali badala ya Mahakama kutumia Uhuru wake ilio nao kufanya maamuzi ni jambo la hatari katika misingi ya Utawala Bora na Sheria

MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA YAONGEZEKA TANZANIA
> Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imesema matukio ya ukatili wa kijinsia yameongezeka kwa wanawake na watoto kutoka matukio 31,996 mwaka 2016 hadi 43,487 mwaka 2018 (ongezeko la 35.9%)
> Inakadiriwa wanawake 4 kati ya 10 wameshafanyiwa ukatili wa kingono, kimwili au kisaikolojia
Soma - https://jamii.app/OngezekoUkatiliJinsia
#JFLeo

ZIMBABWE: WAWILI WAFARIKI NA WENGINE 20 WANASA ARDHINI BAADA YA MIAMBA KUPOROMOKA MGODINI
> Mgodi huo ulifungwa mwaka 2007 na Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira
> Polisi wamesema jitihada zaidi za uokoaji bado zinaendelea
Soma - https://jamii.app/MaporomokoZimbabwe

CUF YAITAKA SERIKALI KUFUTA WARAKA NAMBA 4 WA ELIMU KUTOKANA HASARA ZAKE KWA WANAFUNZI
> Waraka huo unapiga marufuku ratiba za masomo ya ziada, ratiba za masomo ya mwisho wa wiki na vipindi vya likizo, kitendo kitakachoathiri zaidi shule za kutwa
> Umeelekeza muda wa masomo ya darasani ni kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 9:30 mchana na hakuna ratiba za nje ya muda huo
Soma - https://jamii.app/CUFWaraka4Elimu

POLEPOLE: MARIDHIANO WANAYOTAKA UPINZANI YAMEKOSA UHALALI
> Amedai vyama vya upinzani havijazingatia hatua za awali za maridhiano
> Amesema uelewa unahitajika ili kujua Watanzania wanachohitaji na kubadilisha hali na ustawi wa watu
Soma - https://jamii.app/MaridhianoUpinzaniCCM

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MOROGORO: JAFO AAGIZA MTUMISHI ALIYECHANA QURAN KUSIMAMISHWA KAZI
> Jafo amesema kitendo kilichofanywa na Daniel Maleki sio sahihi na hakileti afya kwa Jamii
> Amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri kuchunguza tukio hilo na kuchukua hatua
Soma - https://jamii.app/QuranJafoMorogoro

SERIKALI: SHERIA INAPOCHUKUA MKONDO WAKE ISICHUKULIWE KUWA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU
> Profesa Palamagamba Kabudi amesema hakuna Mtanzania aliye juu ya Sheria na pale mwanataaluma anapofanya makosa ya Kijinai, huchukuliwa hatua za Kisheria kama ilivyo kwa wananchi wengine, isichukuliwe kama ukiukwaji wa Haki za Binadamu au kuminya Uhuru wa Kujieleza
Soma - https://jamii.app/KabudiHumanRightsTZ

MICHEZO: KLOPP ASHINDA TUZO YA KOCHA BORA KWA MARA YA 5, AWEKA REKODI MPYA
> Ameshinda tuzo ya Kocha bora wa EPL mara 5 ndani ya msimu mmoja
> Klopp amevunja rekodi ya Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola katika msimu wa 2017/18
Soma - https://jamii.app/TuzoKloppLiverpool

TANZANIA YAISHAURI ETHIOPIA KUSHUGHULIKIA RAIA WAKE WANAOKIMBILIA NCHINI
> Waziri wa Mambo ya Nje, Profesa Palamagamba Kabudi amemjulisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia, Dkt. Workneh Gebeyehu kuwa mpaka sasa zaidi ya raia 1,300 wa Ethiopia wanashikiliwa katika Magereza nchini Tanzania huku idadi ya wanaoendelea kukamatwa ikiongezeka
Soma - https://jamii.app/MrundikanoRaiaEthiopiaTZ
> Waziri wa Mambo ya Nje, Profesa Palamagamba Kabudi amemjulisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia, Dkt. Workneh Gebeyehu kuwa mpaka sasa zaidi ya raia 1,300 wa Ethiopia wanashikiliwa katika Magereza nchini Tanzania huku idadi ya wanaoendelea kukamatwa ikiongezeka
Soma - https://jamii.app/MrundikanoRaiaEthiopiaTZ
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mtumishi wa Serikali aliyechana Quran Tukufu, Daniel Maleki akiwa amekamatwa na Polisi kutokana na Kitendo hicho alichokifanya Mkoani Morogoro
- Daniel, ambaye ni Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa amesimamishwa kazi kutokana na kosa hilo kwa amri ya Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo

WHO: DUNIA INAKABILIWA NA UHABA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
> Shirika la Afya Duniani limeanza kupeleka vifaa vya kufunika uso na kujikinga kwa nchi zenye uhitaji
> Watakaopewa kipaumbele ni Watumishi wa Afya, wagonjwa na wasaidizi wao
Zaidi, soma - https://jamii.app/UhabaVifaaCorona

MALEZI: UNA WAZAZI, AU WEWE NI MZAZI AINA GANI?
-
Wazazi wapole. Wale ambao unazungumza nao chochote bila wasiwasi. Ni wazazi lakini wakati huo huo, ni marafiki
-
Wazazi wapenda mabadiliko. Hawa huenda na upepo. Watakachoona kwa wengine na wao wanafanya kwa watoto wao
-
Wakuda. Wazazi wa aina hii wana tabia ya kutaka kujua kila kitu. Sio wapole wala wakali, ila ni wafuatiliaji na wanataka kudhibiti kila mtoto anachofanya
Zaidi soma - https://jamii.app/WazaziNaMalezi

AFRIKA MASHARIKI: TANZANIA YAONGOZA KWA KUWA NA MIRADI YA UJENZI MINGI
> Ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) inaonyesha Tanzania na Kenya zote zilikuwa na jumla ya miradi 51 mwaka 2019, ambapo miradi ya Tanzania ina thamani ya dola bilioni 60.3 (tkariban Tsh. trilioni 139), huku miradi ya Kenya ikiwa na thamani ya dola bilioni 36 (takriban Tsh. trilioni 83.2)
Soma - https://jamii.app/MiradiUjenziEAC

NEC: TUME YA UCHAGUZI ILIYOPO IPO HURU KWA MUJIBU WA SHERIA
> Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Wilson Mahera, alisema ushauri uliotolewa na Marekani ni mawazo yao lakini haiwezi kuwaaminisha Watanzania wote kuwa Tume hiyo si Huru kwani NEC imekuwa ikifanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni pasipo kuingiliwa
Soma - https://jamii.app/UhuruNECUchaguzi2020

MVUA ZAATHIRI MIKOA 18. SERIKALI YASEMA INAENDELEA KUCHUKUA HATUA
> Mvua hizo zimesababisha vifo na uharibifu wa barabara na madaraja 73
> Waziri Mkuu awataka Wananchi kuzingatia tahadhari zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa
Soma - https://jamii.app/AthariMvuaSerikali