MALAWI: MAHAKAMA YABATILISHA MATOKEO YA URAIS 2019
> Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo
> Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia leo kulingana na matangazo ya Tume ya Uchaguzi
Soma https://jamii.app/Malawi2019

KENYA: WANAFUNZI 14 WAFARIKI BAADA YA KUKANYAGANA SHULENI
- Wengine 39 wamejeruhiwa katika tukio hilo lililotokea katika Shule ya Msingi ya Kakamega
- Ni baada ya kutokea mshtuko waliporuhusiwa kwenda nyumbani
- Chanzo cha mshtuko hakijajulikana
Zaidi, soma https://jamii.app/WanafunziWafarikiKakamega

MADHARA ANAYOWEZA KUPATA MTOTO ANAYELELEWA NA MZAZI MMOJA
> Chuki na kupunguza upendo kwa mzazi mmoja: Hii ni kutokana Wazazi wengi hupenda kushirikisha ugomvi wao kwa watoto
> Mawazo / Mgogoro wa nafsi: Hakuna mtoto anayependa kuona wazazi wake wanakosana na hili humuumiza zaidi mtoto kuliko wazazi
> Hali hii pia huweza kupelekea mtoto Kukosa matunzo bora iwapo mzazi aliyebeba jukumu la malezi hana uchumi imara
Zaidi, soma - https://jamii.app/HasaraMaleziMzazi1
#JFMahusiano

UPDATE: #CoronaVirus vimeua Watu 427 kufikia leo huku Watu 20,627 wakiathirika Duniani. Vifo viwili na waathirika 190 wametokea nje ya #China
- Nje ya China, Mataifa 25 yamekumbwa na CoronaVirus huku #Japan (20), #Thailand (19) na #Singapore (18) yakiwa na Waathirika zaidi

SERIKALI KUANZISHA KIWANDA CHA MAFUTA YA BANGI. WAWEKEZAJI WAPATIKANA
> Waziri Angela Kairuki amesema, wamejitokeza wawekezaji wawili wa Bangi ambao lengo lao ni kuchakata mafuta yanayotokana na zao hilo ambayo hutumika kwenye Matibabu
> Amewataka Wabunge kuwaachia Mamlaka zinazohusika kulishughulikia jambo hilo kwa kuwa Sheria ya Kilimo hicho ipo kinachofuata ni kutunga Kanuni
Soma - https://jamii.app/KiwandaMafutaBangi

IRAQ: MAANDAMANO YASABABISHA VIFO ZAIDI YA 500 NDANI YA MIEZI 4
-
Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Iraq imetoa taarifa kuhusu maandamano yaliyotokea katika sehemu mbalimbali za Iraq katika miezi 4 iliyopita ambayo yamesababisha vifo vya watu 536 na wengine 23,000 kujeruhiwa
-
Taarifa hiyo imesema, kuanzia Oktoba 1, 2019 hadi Januari 30, 2020, maandamano hayo yamesababisha vifo vya askari 17 na wengine 3,500 wakijeruhiwa kwa upande wa Kikosi cha Usalama

MACHAFUKO BURKINA FASO: RAIA KUPATIWA SILAHA KUPAMBANA NA WANAMGAMBO WA KIGAIDI
> Wabunge wamepitisha Muswada utakaowezesha Wananchi kupewa silaha ili kupambana na Makundi ya Waasi kwa lengo la kupunguza mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wenye uhusiano na Makundi ya Al-Qaeda na Islamic State
Soma - https://jamii.app/CitizensGunOwnership

MEMBE AITWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI WA NIDHAMU
- Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa kwenye Kikao hicho cha CCM
- Amesema atahudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho cha Februari 06
Soma https://jamii.app/MembeKamatiNidhamu

MBUNGE ATAKA WABAKAJI WAHASIWE
> Zainabu Katimba, Mbunge Viti Maalimu (CCM), ameshauri kufanyike Marekebisho ya Sheria ili kuongeza adhabu ikiwemo kuhasiwa kwa wale watakaothibitika kwamba wamefanya Kosa la Ubakaji
> Waziri wa Katiba na Sheria asema, adhabu zilizopo sasa ni kali na kama itabidi kuongeza, basi Bunge likae pamoja
Soma - https://jamii.app/AdhabuKuhasiwaWabakaji

DODOMA: MAGARI YAKWAMA KWA ZAIDI YA SAA NANE
> Mvua zimeharibu barabara na kusababisha magari zaidi ya 100 kukwama eneo la Mpunguzi
> Magari ya mizigo yamenasa kwenye matope na kusababisha magari mengine kushindwa kuendelea na safari
Soma - https://jamii.app/MiundombinuBarabaraDOM

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU (PNEUMONIA) - 1
> Pneumonia ni ugonjwa unaosababishwa na wadudu, virusi, fangasi na bakteria ambazo hushambulia njia ya hewa na mapafu
> Inakadiriwa kuwa, mtoto mmoja hupoteza maisha kila sekunde 20 kutokana na Homa ya Mapafu. Takwimu za WHO zinaonesha kuwa, watoto 808,694 walipoteza maisha kutokana na ugonjwa huu Mwaka 2017
> Watoto wenye umri chini ya miaka mitano wapo kwenye hatari zaidi ya kupata Pneumonia kutokana na kwamba Mfumo wao wa mwili wa kujilinda haujakomaa bado
Zaidi, soma - https://jamii.app/FahamuUgonjwaPneumonia

KUELEKEA UCHAGUZI: VYAMA VYA SIASA VYADAIWA KUANZISHA VIKUNDI VYA UHALIFU
> Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa Vyama vya Siasa wameanzisha Vikundi vya Uhalifu kwa ajili ya kufanya fujo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
> Amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, kwamba ana ushahidi juu ya hilo na kumtaka aende Mtwara kuchukua ushahidi huo
Soma - https://jamii.app/VijanaUhalifuUchaguzi

SERIKALI KUWABANA MAKOCHA NA WACHEZAJI WA KIGENI KULIPA KODI
> Naibu Waziri wa Fedha amesema, Sheria ya Kodi ya Mapato ya 2004, Kifungu cha 7, inaeleza kuwa, anayepata mapato kutokana na ajira ndani ya Tanzania ana wajibu wa kulipa kodi
Soma - https://jamii.app/WageniSerikaliKodi

#WorldCancerDay: FAHAMU HAYA KUHUSU SARATANI
#Saratani ni kundi la #Magonjwa yanayoweza kuanza takriban kwenye kila Kiungo cha mwili seli zinapokua kuliko kawaida bila kudhibitiwa
- Ukuaji huo unaweza kuvamia viungo vingine vya mwili vilivyo pembeni na kilichoathirika
Zaidi, soma https://jamii.app/CancerDay2020

WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA HEROIN
> Stanley/Sultan Ngowi na Jimmy Mlaki wamekamatwa baada ya kuwekewa mtego
> Kwa mujibu wa Sheria, Mtuhumiwa wa #DawazaKulevya akitiwa hatiani anaweza kupata adhabu ya Kifungo cha Maisha
Zaidi, soma - https://jamii.app/WatuhumiwaHeroin-DSM

#WorldCancerDay: Februari 4 kila mwaka ni siku ya Saratani Duniani. Siku hii hutumika kwa ajili ya kukumbusha kuhusu ugonjwa huo na namna ya kuendelea kujikinga na kuzuia Ugonjwa huo
- Takwimu zilizotolewa hapa ni za mwaka 2018 na ni kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO)