#CORONA: CHINA KUJENGA HOSPITALI KWA SIKU 6
- Mji wa #Wuhan unajenga hospitali inayotarajiwa kuanza kutumika Februari 3 ikiwa na vitanda vya Wagonjwa 1000
- Ili kusaidia kutibu #coronavirus ambapo Watu 3000 wameathirika na 80 kufa
Soma https://jamii.app/CoronaHospSiku6
#JFLeo #nCoV2019

UPELELEZI KESI YA KABENDERA UNAENDELEA. KUSOMWA TENA FEBRUARI 10, 2020
- Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi Erick Kabendera imeahirishwa baada ya Jamhuri kudai upelelezi unaendelea
- Pia, Jamhuri imesema mchakato wa Mshtakiwa kukiri makosa kwa DPP unaendelea

BUNGE LAIAGIZA TAKUKURU KUKAMATA VIGOGO KWA UBADHIRIFU
> Limebaini watendaji wa NARCO na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi waliohudumu 2008 hadi 2015, walishirikiana na Kampuni ya NICOL kuwaibia Watanzania Tsh. bilioni 15
> Soma https://jamii.app/BungeWizaraTakukuru

LINDI: ZAIDI YA WATU 4,500 HAWANA MAKAZI KUFUATIA MVUA KUBWA ILIYONYESHA
> Mali zao zimesombwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu mfululizo
> Uokoaji unaendelea na wanahitaji msaada wa chakula, dawa, nguo na vitu vingine muhimu
Soma https://jamii.app/MafurikoKilwaLindi

RIPOTI: CHINA NI NCHI YA 2 KWA UUZAJI WA SILAHA DUNIANI
> Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani (SIPRI) imesema, China ina Makampuni 4 yanayoingiza mapato makubwa ya mauzo ya silaha
> Makampuni hayo ambayo ni pamoja na Kampuni ya kutengeneza ndege ya China (AVIC) yaliuza silaha zenye thamani ya dola Bilioni 54.1 mwaka 2017
Soma - https://jamii.app/China2UuzajiSilaha

MWENDELEZO: Haya ni majina ya wengine waliofariki katika ajali helikopta iliyowauwa Kobe Bryant na Mwanaye Gianna;
- John Altobelli, mkewe Keri na mwanaye Alyssa; Sarah Chester na Mwanaye Payton Chester; Christina Mauser na rubani Ara Zobayan
Soma https://jamii.app/KobeBryantAfariki
#JFLeo

BRAZIL: WATU 46 WAFARIKI KWA MAPOROMOKO YALIYOSABABISHWA NA MVUA KALI
> Nyumba zaidi ya 20 zimekwenda na maji na watu 28 hawajulikani walipo
> Siku tatu za maombolezo zimetangazwa katika Jimbo la Minas Gerais na katika Miji mingine 47
Soma https://jamii.app/MvuaKaliBrazil

FAHAMU NJIA BORA ZITAKAZOKUFANYA UFANIKIWE KATIKA MAISHA YAKO
> Weka Malengo: Malengo ni dira inayokuonyesha unahitaji kutimiza nini. Huwezi kufanikiwa wala kushidwa kama hujui unahitaji nini
> Tengeneza mpango mkakati wa kutimiza malengo yako: Mpango mkakati ni njia na mbinu mbalimbali utakazozitumia kutimiza malengo uliyonayo
> Kuwa na nidhamu ya kukamilisha malengo na ratiba uliyojiwekea. Fuata mipango na mikakati yote uliyojiwekea katika kutimiza malengo yako
Tembelea - https://jamii.app/NjiaKufanikiwaMaisha
#JFMaisha

IRAN: WATU 135 WANUSURIKA KUFA BAADA YA NDEGE YAO KUANGUKA BARABARANI
> Ndege hiyo aina ya Caspian 6936 ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Mahshahr
> Ndege kama hiyo ilianguka mwaka 2009 katika mji wa Qazvin kusababisha vifo 168
Soma https://jamii.app/NdegeYaangukaIran

IKULU: Rais Magufuli awaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateua hivi karibuni
- Mabalozi hao wataiwakilisha Tanzania katika vituo vya Geneva-Uswisi, Tokyo-Japan na New York-Umoja wa Mataifa
Fuatalia https://jamii.app/UapishoIkuluJan27-20

ETHIOPIA: UKAME WAFANYA WATU MILIONI 7 KUHITAJI MSAADA WA CHAKULA
> Ethiopia wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1 sawa na Tsh. trilioni 2.3
> Hali ya ukame wa mara kwa mara umeathiri vibaya uchumi na maisha ya watu
Soma zaidi https://jamii.app/ChakulaEthiopia

MJUE RAIS WA KWANZA WA MALAWI, KAMUZU BANDA
> Kamuzu maana yake ni Mzizi kwa lugha ya Kichewa huko Malawi. Inasemekana, alipewa jina hili kwa kuwa Mama yake alitumia Dawa za Mitishamba ili kushika Mimba
> Baada kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu, miaka ya 1945 alirudi Malawi na kuanza Harakati za Ukombozi na Mwaka 1959 Harakati za Uhuru ziliongezeka na alikamatwa na kuwekwa jela kwa miezi 11
> Aprili 1960 alitolewa gerezani, Februari 1963 alikuwa Waziri Mkuu wa Nyasaland na Mwaka 1964 aliongoza nchi kwenye Uhuru Kamili na aliamua kubadilisha jina kutoka Nyasaland kuwa "Malawi"
Zaidi, soma - https://jamii.app/Banda1stPresdMalawi
#JFHistoria

AFGHANISTAN: NDEGE YA ABIRIA YAANGUKA
> Ilianguka Kusini Magharibi ya Mji wa Kabul. Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na majeruhi
> Ndege hiyo ilianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji wa Mkoa alisema
Soma https://jamii.app/NdegeAfghanstan

#IjueKatiba: MUDA WA JAJI WA RUFANI MADARAKANI
#KatibaTanzania, Ibara 120: Kila Jaji wa Mahakama ya Rufani atalazimika kuacha kazi yake atakapotimiza umri wa miaka 65
- Jaji huyo aweza kujiuzulu kazi ya utumishi wa Serikali wakati wowote baada ya kutimiza miaka 60

UINGEREZA: BIKRA ZA KUTENGENEZA ZALETA MDAHALO
> Wanawake wana hatari ya kuuawa wanapoolewa bila kuwa na Bikra hivyo baadhi yao huwafuata Madaktari wa kuwafanyia upasuaji ili kuwarudishia Bikra
> Inagharimu hadi £3,000 sawa na Tsh. milioni 9
Zaidi, soma https://jamii.app/BikraUingereza

ULINZI WA KIDIGITALI: BAADHI YA 'BROWSER' AMBAZO HUSHAURIWI KUZITUMIA
> 1. Google Chrome: Hii ni Browser maarufu na inatumiwa na wengi sana. Browser hii inatumiwa na Kampuni ya Google kukusanya taarifa za watu. Hivyo inaelezwa kuwa Faragha ya watumiaji iko mashakani
> 2. Microsoft Internet Explorer/Edge: Browser hizi zinamilikiwa na Kampuni ya Microsoft. Internet Explorer na Edge hazielezi nini kinaendelea wakati mtumiaji akitembelea tovuti mbalimbali. Wataalam wa Ulinzi Wa Kidigitali wanaeleza kuwa si nzuri kwa usalama na faragha
> 3. Opera browser: Browser hii ilikuwa ikimilikiwa na Kampuni moja kutoka nchini Norway na ilikuwa Browser bora. Mwaka 2016 iliuzwa kwa Kampuni nyingine ya China ambapo Sera ya Faragha ilibadilishwa na kueleza wazi kuwa taarifa za watumiaji zitakusanywa na kutumwa kwa Washirika wao na yawezekana zikawa hatarini

UN: RUSHWA HUATHIRI ZAIDI WANAWAKE
> Wanawake hukumbana na rushwa wanapohitaji Huduma za Umma za Msingi kama vile afya, elimu, maji na usafi
> Wanalazimika kutoa rushwa ili kupata huduma za msingi ambazo ni asilimia kubwa ya mapato yao
Soma https://jamii.app/RushwaWanawake

ATHARI ZA POMBE KWA WAJAWAZITO NA WATOTO WATARAJIWA
> Tafiti zinaonyesha kwamba matumizi ya pombe kwa mama mjamzito yana athari lukuki kwa mtoto aliye tumboni. Mama mjamzito anywapo pombe huingia kwa mtoto kupitia kondo la nyuma. Hizi ni baadhi ya athari;
> Kudumaa kwa akili za mtoto pindi anapozaliwa, madhara ya jumla katika ukuaji wa mwili hasahasa ubongo wa mtoto
> Mtoto hupata tabu kuwakumbuka ndugu hata wale anaoshinda nao nyumbani
Kufahamu zaidi soma https://jamii.app/AthariPombeWajawazito
#JFAfya

MWENDELEZO: Mamlaka za China zimesema watu 106 wamepoteza maisha kutokana na Virusi vya Corona na zaidi ya watu 4,000 wameambukizwa
-
Nchi hiyo imeweka katazo kali la kusafiri ili kuzuia maambukizi zaidi, huku Mji wa Wuhan unaelezwa kuwa chanzo cha maambukizi ya Virusi hivyo
-
Idadi ya walioambukizwa kimataifa imeongezeka kukiwa na taarifa za maambukizi mapya huko Singapore na Ujerumani