POLISI YAMUACHIA MWANAFUNZI ALIYEPIGA PICHA ZA SHIDA YA MAJI UDOM
- Masumbuko Mgaya ameachiwa kwa dhamana baada ya Polisi kusema hanawa taarifa za kukamatwa kwake
- Makamu wa Chuo, alisema Mgaya alishikiliwa kwa makosa matatu ya matumizi mabaya ya mtandao
Zaidi, soma https://jamii.app/MwanafunziUDOMDhamana

IRAQ: MAELFU WAANDAMANA KUSHINIKIZA MAREKANI KUONDOA VIKOSI VYAKE
> Ni baada ya Moqtada al-Sadr kushawishi raia kujitokeza kwa wingi
> Bunge lilipiga kura kuwaondoa Wanajeshi hao lakini Marekani ilisema haitaondoa majeshi yake nchi humo
Zaidi, soma- https://jamii.app/MaandamanoIraq

MWENDELEZO: 19 WAFARIKI NA 300 WAJERUHIWA KWA TETEMEKO LA ARDHI
- Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.7 katika Kipimo cha Richa limetokea jana huko Elazig
- Shughuli za uokoaji zinaendelea huku idadi ya vifo ikitarajiwa kuongezeka
Zaidi, soma https://jamii.app/TetemekoUturuki

MWANADAMU WA KALE ALIOKA MIKATE KABLA YA KUANZA KILIMO
-Wanaakiolojia wamegundua Mabaki ya Mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400
- Kuoka mikate kwa Nafaka Pori kuliwahimiza Binadamu wa Kale kuanza kulima nafaka
Soma https://jamii.app/ZamadamuMikate

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI: WAKUNGA MILIONI 9 BADO WANAHITAJIKA
> Wadau watautumia mwaka huu kuongeza uwekezaji katika wahudumu hao
> Huu ni Mwaka wa Wauguzi na maadhimisho ya miaka 1000 tangu kuzaliwa Florence Nightngale Muasisi wa Uuguzi
Zaidi, soma https://jamii.app/WauguziDuniani

KENYA: KIJANA AJISALIMISHA POLISI BAADA YA KUMUUA BABA YAKE
> Ni Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu mwenye miaka 18
> Alimchoma kisu wakati wanabishana. Baba yake alimtaka aeleze kwanini alirudi nyumbani mapema kutoka shule
Zaidi, soma - https://jamii.app/MauajiKenya

UN: WATOTO MILIONI 800 HUMALIZA SHULE BILA KUAMBULIA CHOCHOTE
- Pia, watoto zaidi ya milioni 258 walio chini ya umri wa miaka 17 hawaendi shule
- Watu wazima milioni 770 kote Duniani, hawajui kusoma wala kuandika
Zaidi, soma https://jamii.app/ElimuWatoto

FANYA HIVI KUEPUSHA KUWEKWA KWENYE MAKUNDI YA WHATSAPP BILA RIDHAA YAKO
> Ingia WhatsApp bofya Settings, bofya Account kisha Privacy shuka hadi palipoandikwa Groups, utakuta maelezo uchague nani aweze kukuweka kwenye makundi ya WhatsApp
Zaidi, soma https://jamii.app/MakundiWhatsapp

TABORA: SITA WASHTAKIWA KWA WIZI WA MILIONI 119
> Watumishi 6 Wilayani Kaliua wameshtakiwa kwa wizi baada ya kuharibu mashine za Kukusanyia Mapato
> Halmashauri imeshauriwa kubuni mbinu za kupambana na ubadhirifu wa aina hiyo
Zaidi, soma - https://jamii.app/WiziMapato-TBR

ISRAEL: NETANYAHU AUTAKA ULIMWENGU KUIPINGA ICC
> Israel si Wanachama wa ICC, imesema mahakama hiyo haina mamlaka ya kuchunguza uhalifu wa kivita wa jeshi la Israel
> Amemsifu Rais Trump kwa kuikosoa ICC na kuwataka wengine kufanya hivyo
Zaidi, soma https://jamii.app/NetanyahuICC

MAREKANI: AREJESHA TSH. MILIONI 98 ALIZOPATA KWENYE BIDHAA YA MTUMBA
> Howard Kirby amewashangaza wengi baada ya kukuta dola 43,000 zimefichwa katika kochi la mtumba alilonunua, na akamtafuta mmiliki wa mwanzo wa kochi hilo na kumrudishia
Zaidi, soma https://jamii.app/ArejeshaPesa

FAO: NZIGE WASIPODHIBITIWA WATASAMBAA ZAIDI NA KUONGEZEKA MARA 500
- Imesema, nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa
- Yadokeza, wasipodhibitiwa wanaweza kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki
Soma > https://jamii.app/NzigeOnyoFAO

JamiiForums
FAO: NZIGE WASIPODHIBITIWA WATASAMBAA ZAIDI NA KUONGEZEKA MARA 500 - Imesema, nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa - Yadokeza, wasipodhibitiwa wanaweza kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki Soma >…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAREKANI: KOBE BRYANT AFARIKI
Mchezaji maarufu wa Zamani wa Mpira wa Kikapu kwenye Ligi ya NBA, Kobe Bryant (41) amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California
Helkopta hiyo imeanguka baada ya kuwaka moto angani na watu wote (5) waliokuwemo wamefariki
Zaidi, soma https://jamii.app/KobeBryantAfariki

MAAMBUKIZI YA KIRUSI CORONA KUONGEZEKA KWA KASI
> Mpaka sasa watu zaidi ya 2,000 wameshaambukizwa duniani na watu 56 wameshapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo
> Kirusi hiki kimeenea katika miji mingine ikiwemo Beijing na Shanghai, Marekani, Thailand, Korea Kusini, Japan, Australia, Ufaransa, na Canada
Soma - https://jamii.app/CoronaVirusOutbreak

NACSAP III: NJIA ZA NAMNA RUSHWA INAVYOWEZA KUJIDHIHIRISHA
- Rushwa katika Mifumo ya Utawala: Hii inatokana na Watumishi wa Umma na Mawakala wao kudai rushwa wakati wa kutoa huduma za bure kwa Wananchi
- Rushwa Kabambe (Kubwa): Aina hii ya Rushwa imebainishwa kuhusisha Viongozi wa Ngazi za juu Serikalini wenye Mamlaka ya kutoa maamuzi kupitia Sera na Mikataba
#KemeaRushwa

SERIKALI: ZOEZI LA KUZUIA MIKUTANO ISIYOFUATA SHERIA LIKO PALEPALE
> Imesema muda wa siasa ukifika Serikali itaruhusu mikutano hiyo yenye lengo la kutoa nafasi kwa wanasiasa kuzungumza na wananchi na kueleza kwa wananchi walichokifanya kwa muda waliopewa baada ya kuchaguliwa ktk nafasi mbalimbali
Soma - https://jamii.app/EndelezoZuioMikutano

LESOTHO: WAZIRI MKUU NA MKEWE WAKABILIWA NA TUHUMA ZA MAUAJI
> Thomas Thabane pamoja na mkewe, Maesaiah Thabane wanatakiwa kuhojiwa kuhusiana na mauaji yaliyotokea mwaka 2017 ya Mke wa kwanza wa Thabane, Lipolelo Thabane(58)
> Lipolelo aliuawa siku 2 kabla ya Thabane kuapishwa kuwa Waziri Mkuu kwa kupigwa risasi sehemu mbalimbali za mwili wake
Soma - https://jamii.app/PMWifeMurderExWife

KENYA: MWANAMKE AFARIKI BAADA YA KURUKA KUTOKA KWENYE GARI LA WAGONJWA
> Naiso Leslie (26) alifanya maamuzi hayo baada ya kuona hali ya mtoto wake ikizidi kuwa mbaya wakiwa njiani kuelekea katika Hospitali ya Rufaa ya Kajiado
Soma zaidi https://jamii.app/KenyaGariKifo