JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
ZIJUE TOFAUTI ZA MCHUMI NA MBAHILI

> Mbahili huona pesa kama rasilimali pekee ya kuikuza (Maximize) hivyo hupoteza rasilimali nyingine na mara nyingine hata pesa aliyonayo

> Mchumi hukuza rasimali inayohitajika zaidi kwa wakati husika kwa kuwa huangalia ni rasilimali ipi ya kuikuza kwa wakati alionao

Zaidi, tembelea https://jamii.app/MhumiMbahili
TABIBU AKAMATWA KWA KUMUOMBA MGONJWA RUSHWA NA KUMFANYIA UPASUAJI BILA UJUZI

> Eliud Humbo aliomba Tsh. 100,000 ili kumfanyia mgonjwa upasuaji wa Ngiri

> Alitoa utumbo wake nje na kwasababu hana Utaalamu, alishindwa kumaliza upasuaji huo

Zaidi, soma - https://jamii.app/RushwaUpasuajiRukwa
COMPARITECH: TANZANIA YA KWANZA KWA SERA MBOVU ZA USAJILI WA LAINI, YA NNE KWA ULINZI MBOVU WA MTANDAO

> Usajili wa kutumia Alama za Vidole unaongeza hatari ya faragha za wateja

> 28.3% ya Simu na 14.7% ya Kompyuta zake zina 'Malwares'

Zaidi, soma https://jamii.app/SeraMbovu
KENYA: WATU MASHUHURI WENYE SHUTUMA ZA UHALIFU KUONDOLEWA ULINZI

- Polisi imesema wataondolewa ulinzi hadi Mahakama itakapothibitisha tofauti

- Uamuzi umekuja siku chache tangu Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino kumjeruhi DJ kwa risasi

Zaidi, soma https://jamii.app/SecurityDetailVIP-KE
TAKWIMU ZINAONESHA SARATANI IPO KWA WANAWAKE KWA ASILIMIA 70

> Saratani zinazoongoza ni ya Shingo ya Kizazi (37.5%) na Saratani ya Matiti (11%)

> Ocean Road ina matukio 16,546 ya Saratani mbalimbali wakati Bugando ina matukio 4,562

Zaidi, soma - https://jamii.app/WanawakeSarataniUtafiti
KIBAHA, PWANI: MAITI YA MTOTO WA DARASA LA PILI YAKUTWA IKIWA NA MICHUBUKO SEHEMU ZA SIRI

> Mtoto huyo alipotea tangu Januari 14, 2020 akiwa anatoka Gulioni

> Mwili wake ulikutwa ndani ya Nyumba inayoendelea kujengwa, Januari 19, 2020

Zaidi, soma https://jamii.app/MtotoSiri
TCRA: LAINI ZA SIMU ZISIZOSAJILIWA KUZIMWA KWA AWAMU

- Kundi la kwanza ni wenye Vitambulisho vya Taifa au Namba ila hawajasajili

- Kundi la pili ni waliosajili laini zao kwa Kitambulisho cha Taifa kabla ya kuanza mfumo wa Alama za Vidole

Zaidi, soma https://jamii.app/LainiKuzimwaAwamu
BUKOMBE, GEITA: DAKTARI KIZIMBANI KWA KUMBAKA MJAMZITO

- Daktari wa Zahanati ya Lugunga, Emmanuel Mpanduhi anatuhumiwa kumchoma sindano 4 mjamzito (20) na kumbaka

- Inadaiwa ni baada ya Mjamzito huyo kuomba dawa kuzuia mimba yake isitoke

Zaidi, soma https://jamii.app/DaktariAmbakaMjamzito-GIT
MBUNGE AOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

> Susan Lyimo ameshauri Serikali kutoa elimu kuhusu tatizo hilo ili kunusuru ndoa

> Dkt. Ndugulile amesema Muhimbili itaanza kutoa Huduma ya Ugumba

Zaidi, soma - https://jamii.app/WanaumeAfyaSerikali
DRC: RAIS FELIX TSHEKISEKEDI ATISHIA KUVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

> Amesema, Wapinzani wanaoegemea Mrengo wa Rais wa Zamani (Kabila) wanampa taabu kutimiza majukumu yake, atuvunja Bunge kama itambidi

> Pia, amekanusha madai ya kuigawa Nchi hiyo

Zaidi, soma https://jamii.app/DRCMawaziri
MAGOMENI, DAR: WATU WATATU WAUAWA BAADA YA KUWASHAMBULIA POLISI KWA RISASI

> Polisi wamesema, watu hao wanasadikiwa kuwa ni majambazi

> Pia, wamekamata Bastola 1 iliyokuwa imefutwa namba na ilikuwa na 'Magazine' iliyokuwa na risasi moja

Zaidi, soma https://jamii.app/PolisiMajambazi
TCU YAFUTA BAADHI YA VYUO NA KUZUIA UDAHILI

- Miongoni mwa vilivyofutwa ni Chuo Kikuu cha Teofile Kisanji-Dar na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU)

- Kilichozuiliwa kudahili ni Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa

Zaidi, soma https://jamii.app/TCUVyuoUdahili-2020
HISTORIA: MVUA YA MAWE KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI

> Ilitokea Nchini India katika Jimbo la Uttar Pradesh mnamo Aprili 30, 1888 na kuua Watu 246

> Ilikuwa na vimbunga na radi zenye nguvu, mawe ya mvua hiyo yalikuwa na ukubwa wa Yai la Bata Mzinga au Mpira wa 'Cricket'

Zaidi, tembelea https://jamii.app/MvuaMawe
UTEUZI: Rais Magufuli ameteua Wenyeviti wanne wa Bodi mbalimbali akiwemo Dkt. Masatu Masinde Leonard Chiguna anayekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TAA

- Pia, amemteua Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) na Mkuu wa Chuo cha Maji

Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziWenyevitiJan2020
ULINZI WA KIDIGITALI: JIFUNZE BAADHI YA 'APPLICATION' KWA USALAMA WAKO

> Cerberus itasaidia simu yako ikiibwa, X-Privacy kuzuia taarifa kuvuja, Cryptonite kutengeneza 'File' lenye ulinzi ndani ya simu

Kwa elimu na application nyingi zaidi fungua > https://jamii.app/UsalamaSimu
RUKWA: MLINZI AMCHINJA BOSI WAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA MSHAHARA

> Polisi inamshikilia Mlinzi huyo aliyekuwa akidai Tsh. 360,000

> Marehemu alikatwa na kitu chenye ncha kali. Shingo, miguu na kiwiliwili chake vilitenganishwa

Zaidi, soma - https://jamii.app/MauajiMshaharaRukwa
UINGEREZA: DAWA YA SARATANI YAGUNDULIWA

> Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Cardiff wamegundua namna ya kutibu Saratani za aina zote

> Matokeo hayajajaribiwa kwa Wagonjwa lakini Wanasayansi hao wanasema yana uwezekano mkubwa wa kufanikiwa

Zaidi, soma https://jamii.app/DawaSaratani
MBU NDIO KIUMBE TISHIO ZAIDI DUNIANI

> Inakadiriwa watu 725,000 hadi 1,000,000 hufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayosababishwa na mbu

> Mbu aina ya Anofelesi husababisha vifo zaidi kwa kusambaza 'Plasmodiam' ambao husababisha Malaria

Zaidi, soma https://jamii.app/TishioMbu
ULINZI WA KIDIGITALI: Umewahi kukutana na neno 'Encryption'? Je, wajua maana na kazi yake?

> Encryption ni mchakato wa kufunga ujumbe au taarifa ili zisiweze kuinguliwa na Mtu asiyeruhusiwa, asiyehusika au asiyetakiwa. Ni moja kati ya hatua muhimu katika UlinziWaKidigitali

> Katika mchakato huu, taarifa au ujumbe hubadilishwa mantiki na muonekano ili kuzuia asiyehusika kuweza kuupata na kuuelewa

> Mfano: Katika simu au kompyuta ambayo imewezeshwa kufanya 'Encryption' ukituma ujumbe ulioandika (Habari ya Asubuhi) basi wakati wa kusafirishwa kwenda kwa mlengwa/walengwa utafungwa na kuwa (mfano: ₩¥Gskgzk:,÷..._52828) lakini ukimfikia mlengwa utasomeka (Habari ya Asubuhi)

> Kuna baadhi ya Programu Tumishi (Application) hutaka wahusika kubadilishana funguo kwanza kabla ya kuanza kuwasiliana kwa jumbe na taarifa zenye 'Encryption'
KIGWANGALLA: WALISHINDWA KUNIUA WAKATI ULE. NAINGIA VITANI KWA SILAHA ZOTE

- Adai kuna Watu wanalipwa, wanaandika kwenye gazeti vitu vya kipuuzi ili kumchafua

- Asema, vita na ushindi ni asili yake bila kujali nani atadhurika kwenye vita hiyo

Zaidi, soma https://jamii.app/KigwangallaVitani