JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
SHINYANGA: MBARONI KWA KUTOZA WATU FEDHA ILI WASAJILI LAINI

- Afisa wa NIDA, Haruna Mushi na Wakala wa Usajili Laini, Victor Vicent wanatuhumiwa kutoza Wananchi Tsh. 30,000 ili wawape Namba za NIDA na kusajili laini zao kwa Alama za Vidole

Zaidi, soma https://jamii.app/WakalaAfisaNIDA-Mbaroni
ADHABU YA KOSA: Kwa mujibu wa Sheria ya Kuzia na Kupambana na Rushwa Na. 11 ya Mwaka 2007, Kifungu cha 34 (1) kinasema Mtu huyo atakuwa ametenda Kosa na atawajibika kwa kulipa faini isiyozidi Tsh. Milioni 10 au kwenda Jela kwa Kifungo kisichozidi miaka 7 au vyote kwa pamoja

#KemeaRushwa
ZIJUE TOFAUTI ZA MCHUMI NA MBAHILI

> Mbahili huona pesa kama rasilimali pekee ya kuikuza (Maximize) hivyo hupoteza rasilimali nyingine na mara nyingine hata pesa aliyonayo

> Mchumi hukuza rasimali inayohitajika zaidi kwa wakati husika kwa kuwa huangalia ni rasilimali ipi ya kuikuza kwa wakati alionao

Zaidi, tembelea https://jamii.app/MhumiMbahili
TABIBU AKAMATWA KWA KUMUOMBA MGONJWA RUSHWA NA KUMFANYIA UPASUAJI BILA UJUZI

> Eliud Humbo aliomba Tsh. 100,000 ili kumfanyia mgonjwa upasuaji wa Ngiri

> Alitoa utumbo wake nje na kwasababu hana Utaalamu, alishindwa kumaliza upasuaji huo

Zaidi, soma - https://jamii.app/RushwaUpasuajiRukwa
COMPARITECH: TANZANIA YA KWANZA KWA SERA MBOVU ZA USAJILI WA LAINI, YA NNE KWA ULINZI MBOVU WA MTANDAO

> Usajili wa kutumia Alama za Vidole unaongeza hatari ya faragha za wateja

> 28.3% ya Simu na 14.7% ya Kompyuta zake zina 'Malwares'

Zaidi, soma https://jamii.app/SeraMbovu
KENYA: WATU MASHUHURI WENYE SHUTUMA ZA UHALIFU KUONDOLEWA ULINZI

- Polisi imesema wataondolewa ulinzi hadi Mahakama itakapothibitisha tofauti

- Uamuzi umekuja siku chache tangu Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino kumjeruhi DJ kwa risasi

Zaidi, soma https://jamii.app/SecurityDetailVIP-KE
TAKWIMU ZINAONESHA SARATANI IPO KWA WANAWAKE KWA ASILIMIA 70

> Saratani zinazoongoza ni ya Shingo ya Kizazi (37.5%) na Saratani ya Matiti (11%)

> Ocean Road ina matukio 16,546 ya Saratani mbalimbali wakati Bugando ina matukio 4,562

Zaidi, soma - https://jamii.app/WanawakeSarataniUtafiti
KIBAHA, PWANI: MAITI YA MTOTO WA DARASA LA PILI YAKUTWA IKIWA NA MICHUBUKO SEHEMU ZA SIRI

> Mtoto huyo alipotea tangu Januari 14, 2020 akiwa anatoka Gulioni

> Mwili wake ulikutwa ndani ya Nyumba inayoendelea kujengwa, Januari 19, 2020

Zaidi, soma https://jamii.app/MtotoSiri
TCRA: LAINI ZA SIMU ZISIZOSAJILIWA KUZIMWA KWA AWAMU

- Kundi la kwanza ni wenye Vitambulisho vya Taifa au Namba ila hawajasajili

- Kundi la pili ni waliosajili laini zao kwa Kitambulisho cha Taifa kabla ya kuanza mfumo wa Alama za Vidole

Zaidi, soma https://jamii.app/LainiKuzimwaAwamu
BUKOMBE, GEITA: DAKTARI KIZIMBANI KWA KUMBAKA MJAMZITO

- Daktari wa Zahanati ya Lugunga, Emmanuel Mpanduhi anatuhumiwa kumchoma sindano 4 mjamzito (20) na kumbaka

- Inadaiwa ni baada ya Mjamzito huyo kuomba dawa kuzuia mimba yake isitoke

Zaidi, soma https://jamii.app/DaktariAmbakaMjamzito-GIT
MBUNGE AOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

> Susan Lyimo ameshauri Serikali kutoa elimu kuhusu tatizo hilo ili kunusuru ndoa

> Dkt. Ndugulile amesema Muhimbili itaanza kutoa Huduma ya Ugumba

Zaidi, soma - https://jamii.app/WanaumeAfyaSerikali
DRC: RAIS FELIX TSHEKISEKEDI ATISHIA KUVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

> Amesema, Wapinzani wanaoegemea Mrengo wa Rais wa Zamani (Kabila) wanampa taabu kutimiza majukumu yake, atuvunja Bunge kama itambidi

> Pia, amekanusha madai ya kuigawa Nchi hiyo

Zaidi, soma https://jamii.app/DRCMawaziri
MAGOMENI, DAR: WATU WATATU WAUAWA BAADA YA KUWASHAMBULIA POLISI KWA RISASI

> Polisi wamesema, watu hao wanasadikiwa kuwa ni majambazi

> Pia, wamekamata Bastola 1 iliyokuwa imefutwa namba na ilikuwa na 'Magazine' iliyokuwa na risasi moja

Zaidi, soma https://jamii.app/PolisiMajambazi
TCU YAFUTA BAADHI YA VYUO NA KUZUIA UDAHILI

- Miongoni mwa vilivyofutwa ni Chuo Kikuu cha Teofile Kisanji-Dar na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU)

- Kilichozuiliwa kudahili ni Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa

Zaidi, soma https://jamii.app/TCUVyuoUdahili-2020
HISTORIA: MVUA YA MAWE KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI

> Ilitokea Nchini India katika Jimbo la Uttar Pradesh mnamo Aprili 30, 1888 na kuua Watu 246

> Ilikuwa na vimbunga na radi zenye nguvu, mawe ya mvua hiyo yalikuwa na ukubwa wa Yai la Bata Mzinga au Mpira wa 'Cricket'

Zaidi, tembelea https://jamii.app/MvuaMawe
UTEUZI: Rais Magufuli ameteua Wenyeviti wanne wa Bodi mbalimbali akiwemo Dkt. Masatu Masinde Leonard Chiguna anayekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TAA

- Pia, amemteua Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) na Mkuu wa Chuo cha Maji

Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziWenyevitiJan2020
ULINZI WA KIDIGITALI: JIFUNZE BAADHI YA 'APPLICATION' KWA USALAMA WAKO

> Cerberus itasaidia simu yako ikiibwa, X-Privacy kuzuia taarifa kuvuja, Cryptonite kutengeneza 'File' lenye ulinzi ndani ya simu

Kwa elimu na application nyingi zaidi fungua > https://jamii.app/UsalamaSimu
RUKWA: MLINZI AMCHINJA BOSI WAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA MSHAHARA

> Polisi inamshikilia Mlinzi huyo aliyekuwa akidai Tsh. 360,000

> Marehemu alikatwa na kitu chenye ncha kali. Shingo, miguu na kiwiliwili chake vilitenganishwa

Zaidi, soma - https://jamii.app/MauajiMshaharaRukwa
UINGEREZA: DAWA YA SARATANI YAGUNDULIWA

> Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Cardiff wamegundua namna ya kutibu Saratani za aina zote

> Matokeo hayajajaribiwa kwa Wagonjwa lakini Wanasayansi hao wanasema yana uwezekano mkubwa wa kufanikiwa

Zaidi, soma https://jamii.app/DawaSaratani
MBU NDIO KIUMBE TISHIO ZAIDI DUNIANI

> Inakadiriwa watu 725,000 hadi 1,000,000 hufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayosababishwa na mbu

> Mbu aina ya Anofelesi husababisha vifo zaidi kwa kusambaza 'Plasmodiam' ambao husababisha Malaria

Zaidi, soma https://jamii.app/TishioMbu