MIGUNA ATOLEWA KWENYE NDEGE KWA AMRI YA MAMLAKA ZA KENYA
- Air France jana imemshusha kwenye ndege Miguna Miguna aliyekuwa akielekea Nairobi
- Hatua hiyo inakinzana na taarifa ya awali, ambapo Serikali ilisema Miguna yupo huru kurejea Kenya
Soma https://jamii.app/AirFranceEjectsMiguna

CAMEROON: MLIPUKO WA BOMU WAUA 9 NA KUJERUHI 30
> Mlipuko umetokea baada ya kijana mmoja kuchukua kifaa cha kulipuka akidhani ni kipande cha chuma
> Tahadhari yatolewa juu ya uwepo wa mabomu na silaha ambazo zimetelekezwa au kupotea
Soma - https://jamii.app/DeathAccidentalBlast

UTAFITI MAREKANI: VIFO VITOKANAVYO NA ULEVI VYAONGEZEKA MARA 2
> Kulingana na uchambuzi mpya wa vyeti vya kifo, vifo vinavyohusiana na unywaji wa pombe kwa watu wenye umri wa miaka 16 na zaidi vimeongezeka kutoka vifo 35,914 mwaka 1999 hadi kufikia vifo 72,558 mwaka 2017
> Wanaofariki sana ni wanaume wenye umri wa kati huku wanawake nao wakishika kasi ktk utumiaji vilevi
Soma - https://jamii.app/AlcoholDeathRateUS

UFILIPINO YAWAONDOA RAIA WAKE IRAQ
> Serikali imeongeza kiwango cha tahadhari na kuwahitaji Wafilipino kuondoka kutokana na hatari
> Wafilipino wanaweza kuondoka peke yao au kusindikizwa kwa msaada wa waajiri wao au Serikali ya Ufilipino
Soma https://jamii.app/FranceRemoveCitizensIraq

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOFUNGUA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA
> Mdau wa JamiiForums anasema Biashara ya duka la rejareja inahitaji mtu kuwa na roho ngumu kwani njia pekee ya kuendeleza biashara ni kuwatolea imani wateja na kuwapa hofu ya kukopa
> Anashauri wanaotaka kuanzisha biashara hii kuisimamia ipasavyo, kuweka urafiki pembeni, kukopesha wateja waaminifu na kuepuka kutumia hela za biashara kwenye masuala binafsi
Soma - https://jamii.app/MsingiBiasharaDukaRejareja
#JFBiashara

IRAN: WANAJESHI 80 WA MAREKANI WAMEUAWA
- Chaneli ya Iran, imetoa taarifa hiyo huku ikiwaita Wanajeshi hao kama 'Magaidi wa Amerika'
- Haikuonesha kithibitisho ila imesema makombora yote yaliyorushwa katika Kambi za Ain al-Asad na Erbil, yalifika
Soma https://jamii.app/IranShambuliKambiUSA

SERIKALI YAZUIA WATOTO KUKATALIWA SHULENI KWA KUKOSA VYETI VYA KUZALIWA
> Waziri Selemani Jafo amesema ni marufuku mwanafunzi kuzuiliwa kuandikishwa Darasa la Kwanza kwasababu ya kukosa Cheti cha Kuzaliwa
> Ameagiza, Watoto wote wapokelewa na waanze masomo huku wazazi wao wakiendelea kuwatafutia vyeti hivyo ndani ya miezi 4
Soma - https://jamii.app/UandikishajiShuleChetiKuzaliwa

UINGEREZA YALAANI SHAMBULIO LA IRAN
> Kambi zilizoshambuliwa ni za Muungano wa Kijeshi wa Marekani na Uingereza
> Kauli hii imekuja baada ya Iran kurusha makombora kadhaa Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Ain al-Asad
Soma https - https://jamii.app/LondonTalksIranAttack

ZANZIBAR KUJA NA ADHABU ZA PAPO KWA HAPO ILI KUDHIBITI AJALI BARABARANI
> Serikali ya Zanzibar inakusudia kutunga Sheria ya Adhabu za ‘’Papo kwa Hapo’’ ili kudhibiti ajali zinazosababishwa na uzembe wa madereva kutofuata Sheria za Barabarani
> Moja ya adhabu inayopendekezwa ni kunyang’anywa leseni kwa dereva aliyesababisha ajali
Soma - https://jamii.app/SheriaAdhabuAjaliZNZ

MGOGORO MASHARIKI YA KATI: BAADHI YA MATAIFA YAANZA KUONDOA MAJESHI YAO IRAQ
- Uhispania, Canada na baadhi ya Washirika wamesema baadhi ya Wanajeshi watapelekwa Kuwait
- Ni baada ya NATO kusema itawaondoa baadhi ya Wanajeshi wake Wakufunzi
Soma https://jamii.app/MataifaMajeshiIraq

MKAKATI WA TAIFA DHIDI YA RUSHWA NA MPANGO WA UTEKELEZAJI(2017-2022): Kuanzia Juni 2018 na kuendelea, katika jitihada za kuimarisha mapambano dhidi ya Rushwa; Serikali imeanzisha na kutekeleza mfumo wa kompyuta wa kushughilikia malalamiko katika Ofisi za Umma na Binafsi na kuwataka wasimamizi kutoa majibu ya hatua zinazochukuliwa kwa malalamiko yanayopokelewa
IRAN YAKATAA KUKABIDHI 'BLACK BOX' YA NDEGE KWA BOEING
- Iran imesema hayo na kutoweka wazi ni wapi 'Black Box' hiyo itachambuliwa data zake
- Boeing hiyo ya Ukraine ilipata ajali dakika 3 baada ya kupaa huko Tehran na kuua watu wote 176
Zaidi, soma https://jamii.app/IranBlackBoxBoeing

KAULIMBIU YA "MSHAHARA WANGU UPO WAPI" KUWABANA WATUMISHI WA SERIKALI SINGIDA
> Watumishi watalazimika kuonesha mafanikio waliyopata kutokana na mshahara wanaolipwa ifikapo mwisho wa mwaka
> Mkuu wa Mkoa atoa onyo kwa watumishi wazembe
Zaidi, soma https://jamii.app/MafanikioMshaharaWatumishi

DRC: WAFUNGWA 11 WAFARIKI KUTOKANA NA UHABA WA DAWA NA CHAKULA
> Tangu mwezi Oktoba mwaka uliopita, Serikali haijatoa fedha za kulisaidia gereza hilo kununua Dawa na Chakula
> Waziri Célestin Tunda amekiri ucheleweshwaji wa Dawa na Chakula
Zaidi, soma https://jamii.app/VifoWafungwaDawaChakula

MASHIRIKA YA NDEGE YAZUIA NDEGE ZAKE KUPITA ANGA LA IRAN NA IRAQ
- Ni Mashirika ya Malaysia, Poland, Taiwan (EVA Air), Uholanzi, Ufaransa, China, Korea, Australia (Qantas), Singapore, Ujerumani (Lufthansa) na Shirika la Kimataifa la Swiss
Zaidi, soma https://jamii.app/MashirikaNdegeIran

MAFUTA GHAFI YAPANDA BEI
> Gharama za Mafuta Ghafi zimepanda kwa 1.4% kwa dola 69.21 za Marekani kwa pipa moja
> Gharama za mafuta zimepanda baada ya Kambi mbili za Majeshi ya Marekani nchini Iraq kushambuliwa na makombora
Zaidi, soma https://jamii.app/OilPriceRise

IRAN: SHAMBULIO LETU KWA MAREKANI NI ‘KOFI LA USO’ KWAKE
- Imesisitiza kuwa Kitendo cha Kijeshi (kushambulia Kambi za Jeshi) walichochukua dhidi ya Marekani hakitoshi
- Imesema kilicho cha muhimu ni kutokomeza kabisa uwepo wa Marekani katika eneo hilo
Zaidi, soma https://jamii.app/IranShambuliKambiUSA

TRUMP: HAKUNA MWANAJESHI WETU ALIYEUAWA AU KUJERUHIWA
- Baada ya shambulio la Iran, Rais Trump amesema kumetokea uharibifu kidogo tu kwenye Kambi hizo
- Aidha, amesema Iran inaonekana kusitisha kutaka kulipa kisasi, ambacho ni kitu kizuri
Zaidi, soma https://jamii.app/TrumpAjibuShambulioIran

MREMA AITAKA SERIKALI IMLIPE BILIONI 2 KAMA FIDIA
- Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema ameitaka Serikali kumlipa Tsh. Bilioni 2 kama fidia ya kesi alizowahi kusingiziwa chini ya Serikali ya Awamu ya Tatu ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Zaidi, soma https://jamii.app/MremaAtakaFidia

UKATILI WA KINGONO IRINGA: WATOTO 404 WAATHIRIKA MWAKA 2019
> Kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019, Mkoa wa Iringa umekuwa na matukio takriban 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto
> Serikali imezitaka Kamati za Malezi Nchi nzima kutoa taarifa za vitendo hivyo na sio kumalizana kifamilia na watuhumiwa
Soma - https://jamii.app/RipotiUkatiliWatoto2019