JOHN MNYIKA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA
- Baraza Kuu la CHADEMA limeridhia baada ya Mnyika kuteuliwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe
- Salum Mwalimu ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Singo Benson Kigaila ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara
Zaidi, soma https://jamii.app/MnyikaKKuu-CDM

RIPOTI WHO: IDADI YA WATU WANAOTUMIA TUMBAKU DUNIANI YAPUNGUA
> Mwaka 2000, karibu theluthi tatu ya watu duniani wenye miaka 15 na zaidi walikuwa wakitumia Tumbaku, Sigara na bidhaa nyingine za Tumbaku
> Kila mwaka watu zaidi ya milioni 8 hupoteza maisha kutokana na athari za tumbaku ikiwemo watu milioni 1.2 ambao si wavutaji lakini wakiathirika na moshi wa wavutaji
Soma - https://jamii.app/RipotiMatumiziTumbaku

UTAFITI: MFUMO WA UTAMBUZI WA SURA UNATOA MATOKEO YASIYO SAHIHI KWA WASIO WAZUNGU
> Utafiti huo umetolewa na Taasisi ya Viwango na Teknolojia (NIST) ya Marekani ambapo imebainika mifumo ya Utambuzi wa Sura (Facial Recognition) ilitoa matokeo yasiyo sahihi kwa Wamarekani weusi na Waasia
> Kiwango cha makosa ni kikubwa sana na inaweza kusababisha watu wasio na hatia kufungwa gerezani
Soma - https://jamii.app/FacialRecognitionFalseIdentification

TCRA: LAINI ZISIZOSAJILIWA KWA KITAMBULISHO CHA NIDA ZITAFUNGWA BAADA YA DESEMBA 31
> Mamlaka ya Mawasiliano imesema hadi sasa laini za simu milioni 20 zimesajiliwa na ikifika Desemba 31, 2019 laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa Namba ya NIDA na kuthibitisha kwenye mifumo zitafungwa
> Aidha, hakuna mtoa huduma atakayeruhusiwa kufunga au kukatisha mawasiliano ya mtumiaji yeyote kabla ya muda uliopangwa
Soma - https://jamii.app/TCRAKufungwaLainiDesemba31

TANESCO YATAKIWA KUBAINI VYANZO VINGINE VYA NISHATI
- Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya TANESCO kuhakikisha wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/TanescoVyanzoNishati

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Spika wa Bunge la Marekani akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa yote yanayoendelea kumpinga Rais Trump sio kwasababu anamchukia bali anamuona ni Rais dhaifu anayeshindwa kushughulikia matumizi mabaya ya silaha ambayo huwaathiri sana watoto nchini humo
KATAVI: MUUGUZI ADAIWA KUMBAKA MJAMZITO ALIYEKUWA AKISUBIRI KUJIFUNGUA
> Abednego Alfred (32), anadaiwa kumbaka mjamzito aliyekuwa amekwenda hospitali hapo kupata huduma ya kujifungua baada ya kushikwa na uchungu
> Baada ya kufanya kitendo hicho alitokomea kusikojulikana lakini polisi walifanikiwa kumkamata
Soma - https://jamii.app/MuuguziAbakaMjamzito

TITO MAGOTI ADAIWA KUCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA
> Tito ambaye ni Mfanyakazi wa LHRC inadaiwa kachukuliwa Mwenge, Jijini Dar
> Imedaiwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia wanaodaiwa kumfunga pingu kabla ya kuondoka naye
> JamiiForums kwa kushirikiana na wadau kadhaa toka Asasi za Kiraia wanafuatilia kwa karibu tukio hili na taarifa za kina zitakuja kadiri zinavyopatikana
Soma https://jamii.app/FreeTitoMagoti
#FreeTitoMagoti

MWANDISHI CHRISTOPHER GAMAINA NA WENZAKE 3 WAACHIWA HURU
> Waandishi hao awali walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na baada ya kukata rufaa Mahakama Kuu iliamuru kesi hiyo kusikilizwa upya chini ya Hakimu mwingine
> Wenzake ni Wilfred Makuna, Manga Msalaba na Zephania Mandia
Soma - https://jamii.app/GamainaAachiwaHuru

NIGERIA: MAHAKAMA YATANGAZA UKAHABA KATIKA TAIFA HILO SIO UHALIFU
> Mahakama Kuu Jijini Abuja imetangaza rasmi kwamba ukahaba katika Taifa hilo sio uhalifu tena katika Uamuzi wa kesi ya wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba
> Pia, imeiagizia Serikali kuwalipa fidia wanawake hao
Soma - https://jamii.app/SexWorkNotCrime

SERIKALI: HATUDAIWI NA WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
- Imesema, imewalipa Wastaafu hao kwa mujibu wa Hati ya Makubaliano iliyosajiliwa Mahakama Kuu
- Imesema, hadi Desemba 2013 Wastaafu 31,788 kati ya 31,831 walikwishalipwa
Soma https://jamii.app/WastaafuEAHawaidaiSerikali

MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA MALARIA YAPUNGUA NCHINI
> Kiwango cha ugonjwa wa Malaria kimepungua zaidi ya 50% ndani ya miaka 2 kutoka 14% mwaka 2015 hadi 7.3% mwaka 2017 huku vifo vikipungua 75%
> Watu wanaougua kwa maambukizi mapya nao wamepungua kwa zaidi ya 67%
Soma - https://jamii.app/PunguoMaambukiziMalaria

MIKEL ARTETA ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA ARSENAL
- Arteta amerejea Arsenal kama Kocha baada ya kuacha kazi yake katika klabu ya Manchester City kama Kocha Msaidizi
- Amesaini mkataba wa miaka mitatu na nusu akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Unai Emery aliyefukuzwa

MOROGORO: AKAMATWA AKIWA UCHI NA MTOTO MTONI
- Mtu mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kukutwa mtoni na mtoto mwenye miaka kati ya 5 na 10, wote wakiwa hawana nguo
- Tukio hilo limetokea Desemba 19, 2019 katika Maporomoko ya Maji ya Nguzi Camp
Zaidi, soma https://jamii.app/BabaMbaroniUchiMtoto

MAREKANI YAPINGA ICC KUICHUNGUZA ISRAEL, ISRAEL YASEMA UCHUNGUZI HUO NI SILAHA YA KISIASA
> Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imetangaza kufungua uchunguzi dhidi ya uhalifu unaotuhumiwa kufanywa na Israel ndani ya Palestina
> Waziri Mkuu wa Israel asema Mahakama ya ICC haina uwezo wa kuchunguza yanayotokea ndani ya mipaka ya Palestina
Soma - https://jamii.app/ICCInvestigateIsrael

SERIKALI: HAKUNA MLIPUKO WA MAFUA HATARISHI NCHINI
> Wizara ya Afya imesema hakuna mlipuko hatarishi wa mafua makali hapa nchini licha ya kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wanaougua mafua yanayoambatana na homa, kuumwa kichwa na kuchoka mwili
> Hali iliyopo husababishwa na virusi vya influenza ambavyo siyo vipya na husababisha pia mafua na magonjwa mengine ya njia ya hewa
Soma - https://jamii.app/TaarifaMlipukoMafua