KENYA NA SOMALIA ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUBORESHA UHUSIANO
> Kenya na Somalia zimekubaliana kurekebisha Uhusiano wao na kuanza tena kutoa vibali vya kusafiri kwa raia wao baada ya msuguano wa muda mrefu kuhusu mpaka wa baharini
> Makubaliano hayo yametangazwa baada ya mkutano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Rais Mohamed Abdullahi Mohamed mjini Nairobi
Soma - https://jamii.app/UhusianoKESomalia

FAIDA ZA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI
Katika biashara mtandao unaweza kuwa mojawapo ya njia ya kujitangaza, kuongeza wateja na kuongeza mauzo.
> Kati ya sababu muhimu za kutumia mtandao katika biashara ni kwamba kuna gharama nafuu katika kufanya matangazo.
> Intaneti imeleta urahisi wa kuwafikia watu wengi kwa gharama nafuu na inakupa uwezo wa kupata taarifa za wateja wako.
Fahamu zaidi kupitia https://jamii.app/BiasharaMtandao

UJERUMANI: KUREJEA KWA KUNDI LA IS, SERIKALI YALAZIMISHA KUWATULIZA WANANCHI
> Serikali ya Ujerumani inajaribu kuwatuliza wananchi kuwa usalama wao hautoingia hatarini kutokana na kurejea kwa wafuasi wa Kundi la Dola la Kiislam-IS kutoka Uturuki
> Msemaji wa Chama cha Christian Democratic Union CDU amesisitiza kwamba watakaorejea "sio kitisho" kama Vyombo vya Habari vinavyodai
Soma - https://jamii.app/FearReturnISMembers

SUDAN KUSINI: ZAIDI YA WATU LAKI 4 HAWANA MAKAZI KUTOKANA NA MAFURIKO
> Shirika la Kimataifa la Misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko
> Kwa ujumla, inakadiriwa watu 900,000 nchini humo wameathirika na mafuriko
Soma - https://jamii.app/FloodsHomelessSSudan

MICHEZO: Mchezo wa kufuzu AFCON 2021 kati ya Tanzania na Guinea umekwisha huku Tanzania (Taifa Stars) ikiibuka kidedea kwa kuifunga Guinea ya Ikweta goli 2 - 1
> Magoli yamefungwa na Simon Msuva na Abubakari Salum 'Sure Boy'
#JFLeo #AFCON2021Q

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YAWA TISHIO, JAMII YATAKIWA KUEPUKA ULAJI USIOFAA
> Serikali imewataka wananchi kuchukua tahadhari kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza na kubadili mwenendo wa ulaji kutokana na magonjwa hayo kuchangia vifo zaidi ya milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote milioni 57 vilivyotokea 2016 duniani
Soma - https://jamii.app/TishioMagonjwaUlajiMbovu

UTEUZI: Rais Magufuli, amemteua Dkt. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na uteuzi huo umeanza rasmi Novemba 15
> Kabla ya uteuzi, alikuwa Mhadhiri wa Idara ya Uhandisi wa Kemikali na Madini UDSM
Soma - https://jamii.app/UteuziMtendajiGST

SERIKALI DRC: MAAMBUKIZI YA EBOLA YATAISHA MWISHO WA MWAKA HUU
> Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amesema ana matumaini makubwa kuwa, maambukizi ya Ebola, yatamalizika nchini humo kufikia mwisho wa mwaka huu
> Tangu mwezi Agosti mwaka 2018, watu zaidi ya 2,000 wamepoteza maisha na zaidi ya 3,000 kuambukizwa Ebola
Soma - https://jamii.app/UkomoMaambukiziEbola

WALIOJITOA KWENYE UCHAGUZI WATAKIWA KUANDIKA BARUA KABLA YA SAA 10 JIONI
> Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa Vyama vya Upinzani vilivyojitoa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuandika barua za kujitoa katika uchaguzi huo, kabla ya saa 10 jioni ya leo Novemba 16
> Wagombea wanaotakiwa kuandika barua za kujitoa, ni wale walioteuliwa kugombea katika uchaguzi huo, unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019
Soma - https://jamii.app/BaruaWaliojitoaUchaguzi

SONGEA: ACHOMWA KISU BAADA YA KUMMWAGIA MWENZAKE MAJI MACHAFU KWENYE "BIRTHDAY"
> Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi Trade Peramiho, Grayson Maselin (23), amejeruhiwa na Mosses Ngole (23) kwa kuchomwa kisu shingoni baada ya kummwagia maji machafu kwenye siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake
#JFLeo

MJADALA: NI SAHIHI MWENZA WAKO KUJUA KIPATO CHAKO?
- Ndani ya JamiiForums.com katika Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kuna mjadala unaendelea ambapo Wadau wanaelimishana kuhusu faida na hasara za mwenza wako kujua kipato chako
- Wapo wanaodai kuwa mwenza akijua kipato chako inakuwa rahisi kupanga mikakati ya kimaendeleo huku wengine wakisema mwenza akijua maswali ya namna ulivyokitumia yanakuwa mengi
Je, una maoni gani kuhusu mjadala huu? Lipi ni jambo sahihi la kufanya?
Kishiriki mjadala zaidi, tembelea https://jamii.app/MwenzaKujuaKipatoChako
#JFLeo #JFMahusiano

SIKU 22 BAADA YA MSIBA: BINTI ALIYEHITIMU KIDATO CHA NNE APOKEA TAARIFA
- JamiiForums inatoa pole kwa Mwanafunzi Anna Zambi(16) kwa msiba mkubwa alioupata
- Octoba 26, 2019 Wazazi na wadogo zake 3 walifariki ktk ajali iliyotokea Mkoani Tanga
Soma > https://jamii.app/AnnaTaarifaMsiba

KENYA: MAMA NA WATOTO 2 WALIOTOWEKA KWA WIKI 3 WAPATIKANA WAKIWA WAMEFARIKI
> Miili 3 inayoaminika kuwa ya mke wa mwanajeshi, Peter Mwaura na wanawe 2 waliotoweka majuma 3 yaliyopita, imepatikana ikiwa imezikwa katika mtaa wa Thingithu, mjini Nanyuki
> Imepatikana baada ya kuelekezwa mahala hapo na mwanajeshi huyo ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji hayo
Soma - https://jamii.app/MauajiMamaWatotoKE

HISTORIA: MIAKA 135 BAADA YA MKUTANO WA BERLIN
- 15 Novemba 1884 hadi Februari 26, 1885 viongozi wa Mataifa ya Ulaya walikaa na kugawana Bara la Afrika
- Baada ya mkutano huo Tanganyika iliangukia mikononi mwa Utawala wa Ujerumani
Soma > https://jamii.app/BerlinConference
#JFHistoria

FAHAMU KUHUSU MAUMIVU KWENYE MATITI
> Maumivu ya matiti yanaweza kuwa ni sababu mojawapo ya dalili ya kansa lakini sehemu kubwa ya maumivu hayo ni matokeo ya mabadiliko anayoyopata mwanamke katika ukuaji wake
> Kuna aina mbili za maumivu ya matiti; Maumivu yanayotokana na hedhi ikiwa ni sehemu ya maumbile kibaiolojia na aina ya pili ni maumivu ambayo husababishwa na maambukizi au kunyonyesha
> Robo tatu ya maumivu ya matiti ni matokeo ya homoni za ‘Estrogen’ na ‘Progesterone’. Maumivu ya matiti yanayotokana na homoni yanampata kila mwanamke ambaye bado anapata hedhi
Fahamu zaidi - https://jamii.app/MaumivuMatitiKansa
#JFAfya

WATANO WAKAMATWA KWA KUMUUA MWALIMU KWA MSHALE WAKIONESHANA UJASIRI
> Jeshi la Polisi Wilayani Tarime linawashikilia vijana 5 kwa tuhuma za kumuua kwa kumchoma na Mshale shingoni Justine Sospeter Ogo
> Walimsimamisha Marehemu na kuanza kumdai awape fedha lakini hakusimama, ndipo mmoja wapo alimchoma na mshale shingoni
Soma - https://jamii.app/MbaroniMauajiMwlMshale

HOJA: Mdau wa JamiiForums anasema siku hizi kumeshamiri sherehe za kuzaliwa kwa kasi sana. Sherehe hizi zimekuwa zikifanywa zaidi na watu wazima
- Anasema, ajabu ni sherehe hizo kuambatana na kumwagiana maji, kupakana icing sugar na kadhalika. Mambo hayo ameyaita kuwa ni ya kitoto
- Wapo wanaosema sherehe za birthday zinapaswa zibaki kufanywa kwa ajili ya watoto wadogo tu.
Wewe unasemaje?
Shiriki mjadala => https://jamii.app/ShereheBirthday

KENYA: AJIUA MIEZI MICHACHE BAADA YA KUJIANDALIA KABURI
- Charles Moseti(50) amejinyonga hadi kufa katika Kijiji cha God Okombo huko Homa Bay
- Polisi imesema mapema mwaka huu ilipokea taarifa kuwa marehemu amejiandalia kaburi nyumbani kwake
Zaidi, soma https://jamii.app/AchimbaKaburiAjiua-KE

RAIS WA TEC AWASIHI WATU KUTOSUSIA UCHAGUZI
- Askofu Gervas Nyaisonga amewataka wanaoamini katika Misingi ya Dini kutosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- Amehimiza Watu kushiriki kikamilifu kushughulikia yanayoweza kuathiri uchaguzi huo
Zaidi, soma https://jamii.app/RaisTECAhimizaUchaguzi

MAREKANI: MWANAUME AHUKUMIWA KWA KUMLISHA MTOTO WAKE 'COCAINE'
- Mwanaume ambaye ni Baba wa Mtoto wa miaka 5 amefungwa jela kwa hatia ya kumlisha Mtoto #DawaZaKulevya
- Mtoto asema Baba yake humpa 'Cocaine' ili ajisikie kama 'Spiderman'
Soma > https://jamii.app/MtotoCocaineUS