AFRIKA KUSINI: MAMA ALIYEWEKA VIPANDE VYA KIOO KWENYE UJI WA MTOTO ASHTAKIWA KWA MAUAJI
> Nthabiseng Mokwana (28) anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo na kusababisha kifo cha mwanaye, Katlego Mokwana (11)
> Alikamatwa wiki iliyopita baada ya majirani kumbana awaoneshe mtoto wake alipo, ndipo alionesha alipomzika
Soma - https://jamii.app/CrushedGlassSonPorridge

HAKI YA KUSAFIRI NA KUISHI NDANI YA TANZANIA
- Ibara ya 17 ya #Katiba inasema, kila Raia anayo Haki ya kwenda na kuishi kokote katika Jamhuri ya Muungano
- Haki ya kutoka nje ya nchi na kuingia, kutoshurutishwa kuhama/kufukuzwa kutoka katika Jamhuri ya Muungano
#UmuhimuKatiba

MARA: WATU 3 WAFARIKI KATIKA TUKIO LINALOHUSISHA WIVU WA MAPENZI
- Omari anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Paulina Paul akidai arejeshewe simu aliyompa
- Omari alijiua baada ya kumuua Paulina na Mwanamke mwingine aliyekuwa akiamua ugomvi
Zaidi, soma https://jamii.app/AmuuaMpenziSimu

RIPOTI: AFRIKA YAONGOZA KWA MATUMIZI MADOGO YA INTANETI
> Ripoti ya International Telecommunications Union (ITU) inasema Afrika ina zaidi ya 71% ya watu waliopo 'Offline' wakati Ulaya ikiwa na kiwango cha chini zaidi cha 17.5%
> Eneo la Ulaya lina matumizi makubwa zaidi ya Intaneti kwa 82.5%, huku Afrika ikiwa na kiwango kidogo zaidi cha 28.2
Soma - https://jamii.app/ReportOfflinePopulation

FAHAMU KUHUSU MENDE
> Mende anaweza kuishi zaidi ya mwezi mmoja bila ya kula chakula chochote na anaweza kuishi wiki moja bila ya kunywa maji
> Anakadiriwa kuwa amekuwepo katika uso wa nchi kwa muda mrefu kwa makadirio ya zaidi ya miaka milioni 350 iliyopita
> Mende ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya dakika 40 bila kupumua na pia anaweza kuzama ndani ya maji na kuendelea kuwa hai kwa dakika 30. Mara nyingi hubana pumzi yake ili kuzuia upotevu wa maji mwilini
Fahamu zaidi - https://jamii.app/FahamuMende
#JFMaarifa

BIBI AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KUMUUA MJUKUU WAKE KWA KIPIGO
> Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Esther Lyimo (47) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Naomi John (7) kwa kipigo
> Mshtakiwa alimpiga marehemu, kumng'ata mwilini na kisha kumwagia maji ya moto ya chai
Zaidi, soma https://jamii.app/BibiKunyongwaMauajiMjukuu

MABADILIKO YA SHERIA: RAIS WA ZAMANI WA BRAZIL ALIYE JELA ANAWEZA KUWA HURU
- Luiz Inacio Lula da Silva anaweza kuachiliwa huru baada ya Majaji kubadilisha Kanuni ambayo imekuwa ikitaka wafungwa wanaopoteza rufaa ya kwanza, kufungwa jela
Zaidi, soma https://jamii.app/RaisBrazilHuruSheria

KENYA YAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
> Sheria hiyo inasema Mtumishi wa umma ambaye atashiriki katika kutoa taarifa binafsi za mteja kwa mtu mwingine atatozwa faini ya zaidi ya Tsh. Milioni 11 au kifungo cha miaka 2 jela au kupata adhabu zote kwa pamoja
> Makampuni na Mashirika kabla ya kutoa taarifa za wateja ni lazima kwanza wapate kibali/ruhusa ya mteja husika
Soma - https://jamii.app/DataProtectionBill

MICHEZO: Mtuhumiwa Ashley Smith aliyewashambulia nyota wa kabumbu wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal, Mesut Özil na mchezaji wa Bosnia Hazegovina Sead Kolasinac amehukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani na kulipa faini ya Paundi 181 kutokana na hasara alizosababisha
Ashley Smith alijaribu kuiba saa yenye thamani ya Paundi laki 2 kwa nyota hao

WAZIRI JAFO: JINA LIKITEULIWA LITAKUWEPO KWENYE KARATASI ZA KURA
- Asema Kamati za Rufaa za Uchaguzi wa #SerikaliZaMitaa zinakamilisha kazi na jina la mgombea likiteuliwa litabaki kwenye karatasi ya kupigia kura hata kama amejiengua kushiriki
Zaidi, soma https://jamii.app/JafoWagombeaSMitaa

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA LONGIDO WAKIWA NA NGAMIA 200
> Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe pamoja na Kikosi cha Usalama wamewakamata wahamiaji haramu kutoka Somalia wakiwa na ngamia 200 pamoja nyaraka mbalimbali kutoka Kenya
> Ni baada ya kupata taarifa kuwa katika mpaka wa Namanga upande wa Magharibi kuna watu wasiojulikana wameweka makazi
Soma - https://jamii.app/WahamiajiHaramuNgamia

POLISI: AWAMU YA 5 MAKOSA YA UNYANG’ANYI YAMEPUNGUA KWA ASILIMIA 54.2
- Mwaka 2011-2015, makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha yalikuwa 4,515 lakini kwa mwaka 2015-Septemba 2019 yameshuka kwa 2,070
- Aidha, Makosa makubwa kwa mfano mauaji yameshuka kwa asilimia 26 ikilinganishwa katika vipindi hivyo viwili
Zaidi, soma https://jamii.app/MakosaYapunguaAwamu5

IRAQ: Takriban watu 301 wamefariki dunia, zaidi ya 15,000 kujeruhiwa tangu kuanza kwa maandamano yanayopinga Serikali iliyopo madarakani mwezi Oktoba
> Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Taasisi ya Independent High Commission for Human Rights of Iraq(IHCHR) iliyotolewa jana
Zaidi, soma https://jamii.app/VifoIraq2019

TAARIFA 3 ZA KIFEDHA UNAZOPASWA KUJUA KUZISOMA
> Taarifa ya faida na hasara: Kama mapato ni makubwa kuliko matumizi basi biashara imepata faida na kama matumizi ni makubwa kuliko mapato biashara imepata hasara
> Taarifa ya mali na madeni: Taarifa hii itaonesha kama biashara ina mali za kutosha kujiendesha kwa faida au ina madeni mengi na hivyo kuwa upande wa kufilisika
> Taarifa ya mzunguko wa fedha: Mzunguko wa fedha ni kitendo cha fedha kuingia na kutoka kwenye biashara. Fedha zinaingia kupitia mauzo na zitatoka kupitia matumizi. Mzunguko wa fedha unaweza kuwa chanya au ukawa hasi
Zaidi, soma - https://jamii.app/TaarifaMuhimuFedha
#JFBiashara

DAR: MTU MMOJA ANAHOFIWA KUFA BAADA YA KUZAMA MTO MSIMBAZI
- Mkazi mmoja wa Jiji la Dar anahofiwa kupoteza maisha baada ya kuzama katika bonde la mto Msimbazi maeneo ya Jangwani wakati akiwa katika shughuli zake za kuokota chupa za plastiki
Zaidi, soma https://jamii.app/AfarikiMtoMsimbazi