DAR: Basi la Abood linalofanya safari zake kati ya Dar na Morogoro, limepata ajali baada ya kupinduka katika njia ya mchepuko maeneo ya Kimara Temboni, asubuhi ya leo, Oktoba 30, 2019
- Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na madhara kwa abiria waliokuwemo ndani ya basi, bado hayajajulikana
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliAboodKimara

CAMEROON: WATU 42 WAUAWA KATIKA MAPOROMOKO YA UDONGO
- Wamefariki jana, katika maporomoko ya udongo yaliyotokea huko Bafoussam kutokana na mvua kubwa zinazonyesha
- Zaidi ya watu 30 hawajulikani walipo na 70 wamejeruhiwa, 6 wakiwa mahututi
Zaidi, soma https://jamii.app/42KilledLandslide-CMR

SAN FRANCISCO MAREKANI: KAMPUNI YA WHATSAPP IMELISHTAKI SHIRIKA LA NSO LA ISRAELI KWA UDUKUZI
- WhatsApp wanasema kuwa, NSO Group wamefanya udukuzi kwenye mawasiliano ya WhatsApp ya Wanahabari, Viongozi na Watetezi wa Haki za Binadamu
Zaidi, soma => https://jamii.app/NSOUdukuziWhatsApp

UGANDA: WAMILIKI WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI WATAKIWA KUPELEKA MAJINA YA WATEJA POLISI
- Polisi imesema, hiyo ni njia mojawapo ya kupambana na uhalifu
- Taarifa hizo zitakazokusanywa kila asubuhi zitatumiwa katika masuala ya Kiintelijensia
Zaidi, soma https://jamii.app/HoteliersGuestPolice-UG

RC PAUL MAKONDA AMTAKA IDRIS SULTAN KUFIKA POLISI
- Amemtaka Mchekeshaji huyo kufika Kituo chochote cha Polisi na huko atakuta ujumbe wake
- Ni baada ya Idris kuhariri picha ya Rais Magufuli na kuichapisha kwenye Mitandao yake ya Kijamii
Zaidi, soma https://jamii.app/MakondaIdrisPolisi

UGANDA: MSICHANA WA MIAKA 11 AFANYIWA UPASUAJI NA KUBADILI JINSIA, ASEMA AMETIMIZA NDOTO YA KUWA MVULANA
- Mtoto huyo alizaliwa akiwa na jinsi ya Kike lakini kadiri siku zinavyokwenda sehemu ya uke wake ilianza kubadilika na kuota uume
Soma => https://jamii.app/UpasuajiJinsiaMulago

KAGERA: KAIMU MENEJA KAMPUNI YA RANCHI YA TAIFA (NARCOS) KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
- Prof. Philemoni Nyangi, anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya Ofisi, Ubadhirifu na Uhujumu Uchumi
- Anadaiwa kupokea Tsh. Milioni 12 kwa aliyehitaji kitalu
Zaidi, soma https://jamii.app/KMenejaNARCOKizimbani

GUINEA-BISSAU: RAIS AMTANGAZA WAZIRI MKUU MPYA LAKINI WAZIRI MKUU WA SASA AGOMA KUACHIA NGAZI
- Rais Jose Vaz, amemtangaza Faustino Imbali kuwa Waziri Mkuu mpya
- Waziri Mkuu wa sasa, Aristides Gomes asema anaendelea na kazi kama kawaida
Soma > https://jamii.app/VazVsGomes

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UGANDA: Askari Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wanaondelea na mgomo katika Chuo Kikuu Makerere
- Wanafunzi wamedai Polisi hao wametumia risasi za moto dhidi ya Wanafunzi waliokuwa vyumbani ktk bweni la Mitchell
Soma > https://jamii.app/PolisiVsWanafunziMakerere

LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA: SIMBA SC YANYUKWA BAO 1 KWA 0 NA MWADUI FC
> Bao pekee la Mwadui FC limefungwa na Gerald Mathias kunako dakika ya 33 ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo
#JFSports

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA YAIPATIA TANZANIA TAKRIBAN TRILIONI 1.04
- Imetoa Dola za Marekani Milioni 180 za kujenga barabara za mzunguko Jijini Dodoma na Dola Milioni 275 za kujenga Uwanja wa Ndege wa Msalato zitaidhinishwa Novemba 2019
Zaidi, soma https://jamii.app/AfDB-TanzaniaMsalato

JAFO: NIMEPOKEA MALALAMIKO 72 KATIKA UCHUKUAJI NA UREJESHAJI FOMU
- Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema amepokea malalamiko kutoka Kata 72 kuhusu dosari mbalimbali katika uchukuaji na urejeshaji fomu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Zaidi, soma https://jamii.app/JafoMalalamikoUchaguziMitaa

WANAUME WANAONYONYA MAZIWA YA WAKE ZAO WAONYWA
- Onyo hilo kali limetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Lishe katika Wizara ya Afya, Dkt. Grace Moshi
- Amesema, Wanaume wanaonyonya maziwa ya Wake zao wanaonyonyesha waache kwani wanawapunja watoto
Zaidi, soma https://jamii.app/OnyoWanaumeWanyonyaji

PAKISTANI: TAKRIBAN WATU 16 WAMEFARIKI BAADA YA TRENI KUWAKA MOTO
- Wengine 13 wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea mapema leo
- Moto umesababishwa na jiko la gesi lililolipuka wakati abiria wakipika chai ambapo ni Kinyume cha Sheria
Zaidi, soma https://jamii.app/TrainFireKills16-PKST

UPDATE: Kwa mujibu wa The Associated Press, Maafisa wa Uokoaji wa Pakistani wamesema idadi ya vifo vilivyotokea kwenye treni iliyowaka moto vimefikia 62
- Aidha, Watu wengi wamejeruhiwa na kati yao wengi wao wapo mahututi. Shughuli za uokoaji zinaendelea
Zaidi, soma https://jamii.app/TrainFireKills16-PKST
- Aidha, Watu wengi wamejeruhiwa na kati yao wengi wao wapo mahututi. Shughuli za uokoaji zinaendelea
Zaidi, soma https://jamii.app/TrainFireKills16-PKST
SHINYANGA: MGONJWA WA AKILI AFUNGIWA CHUMBANI
- Shadrack Johanes(26), amefungiwa kwa miezi miwili akiwa amefungwa minyororo mikononi na miguuni
- Ndugu wanadai hawana hela ya matibabu na wakimuacha anawatia hasara kwa kuharibu mali za watu
Zaidi, soma https://jamii.app/MgonjwaAkiliAfungiwa-SHY