MAREKANI KUIONDOLEA VIKWAZO UTURUKI BAADA YA KUSITISHA MAPIGANO
> Rais Donald Trump amesema kutokana na Uturuki kukubali kusitisha vita Kaskazini mwa Syria, Marekani itaondoa vikwazo dhidi ya nchi hiyo vilivyoanza kutekelezwa siku 10 zilizopita
> Jeshi la Uturuki lilianzisha operesheni dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi Oktoba 9, 2019
Soma - https://jamii.app/TrumpLiftsSanctionsTurkey

JE, WAJUA SHERIA YA NDOA INARUHUSU KUDAI ZAWADI ULIZOTOA UCHUMBA UNAPOVUNJIKA
- Kifungu cha 69 (1) kinatoa haki ya kufungua shauri na kudai fidia baada ya uchumba kuvunjwa
- Kifungu cha 71 kinatoa haki ya kufungua shauri kudai zawadi ulizotoa
Soma > https://jamii.app/ZawadiUchumba

BANGLADESH: WATU 16 WAHUKUMIWA KIFO KWA MAUAJI YA MSICHANA ALIYECHOMWA MOTO
> Mahakama ya Bangladesh imewahukumu kifo watu 16 kwa mauaji ya Nusrat Jahan Rafi (19), aliyechomwa moto akiwa hai baada ya kufikisha malalamiko yake Mahakamani kuwa alibakwa na Mkuu wa Shule ya Kidini (Madrasa)
Soma - https://jamii.app/16JailedMurderStudent

TRA: ATAKAYEFICHUA WAKWEPA KODI KULIPWA 3% YA KODI ITAKAYOKOMBOLEWA
> Meneja wa Elimu kwa Mlipakodi kutoka TRA, Diana Masalla amesema mwananchi yeyote atakayefichua wakwepa kodi atalipwa asimilia 3 ya kodi iliyokusanywa kutoka kwa mdaiwa lakini haitazidi Tsh. milioni 20
Soma - https://jamii.app/MalipoWafichuziKodi

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: WAKANDARASI WA KAMPUNI ZA NYANZA NA CHICCO WAKAMATWA KWA AMRI YA MKUU WA MKOA
- Katibu Tawala Mkoa, Abubakar Kunenge amesema Kampuni hizo zimekwishalipwa Bilioni 4.8 lakini bado zinafanya kazi chini ya kiwango na kusababisha maafa
Soma > https://jamii.app/ChiccoNyanzaDar

JE, WANAUME WENGI SIKU HIZI WANAKABILIWA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
> Kumekuwa na mijadala mingi inayopelekea tatizo hili kuzungumzwa sana kwa miaka ya hivi karibuni kuliko zamani hadi kusababisha woga mkubwa kwa baadhi ya wanaume
> Baadhi yao hulazimika kula vipande vya Nazi, Maranga na Muhogo mbichi na kunywa supu ya Pweza kama tiba mbadala
> Ni kweli tatizo hili ni kubwa kwa kizazi cha sasa? Nini kifanyike?
Tembelea - https://jamii.app/TatizoNguvuKiume
#JFAfya

WANANCHI WATAKIWA KUEPUKA KUTUMIA DAWA ZINAZOTANGAZWA MTANDAONI
> Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa hizo kwa kuwa hazijadhibitishwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)
> Aidha, aliyedai Waziri Ummy alifungua duka la dawa za kuongeza viungo vya wanaume akamatwa kwa kuwa taarifa hizo hazikuwa za kweli
Soma - https://jamii.app/ZuioDawaMitandaoni

UINGEREZA: MIILI 39 ILIYOKUTWA NDANI YA LORI KUSINI MWA NCHI HIYO, ILIKUWA NI YA RAIA WA CHINA
> Idara za Polisi England, Ireland ya Kaskazini na Ubelgiji zinaendelea na juhudi za kuitambua miili hiyo na jinsi gani imeweza kufika Uingereza
Soma > https://jamii.app/MiiliEssexChina

WAZIRI KAMWELWE AAGIZA KUKAMATWA KWA ANAYEENDESHA MTANDAO WA ATCL 'AVIATION TV'
> Ameagiza kukamatwa kwa mtu huyo kwa kutangaza kuwa ndege mpya aina ya Dreamliner inakuja nchini wakati si kweli
> Asema, kila jambo lina mamlaka zake za kutangaza na kama ni suala la ndege, Wizara yake ndio ina dhamana ya kutangaza
Soma - https://jamii.app/KukamatwaMwendeshajiAviationTv

BURUDANI: MWANAMUZIKI HARMONIZE ASEMA ALIPASWA KUILIPA KAMPUNI YA WASAFI MILIONI 500 ILI AWE HURU
> Amelazimika kuuza nyumba zake 3 na baadhi ya mali zake ili aweze kulipa kiasi hicho kwasababu hakuwa na fedha
> Kuhusu Rais Magufuli kuwa na kiu ya kumuona anakuwa Mbunge wa Tandahimba amesema hilo ni agizo hivyo lazima atekeleze
Soma > https://jamii.app/HarmonizeVsWCB

IRINGA: JESHI LA POLISI LAMZUIA MBUNGE PETER MSIGWA KUFANYA MKUTANO WA HADHARA, LASEMA HAKUNA ASKARI WA KUTOSHA KUTOA ULINZI
> Mbunge huyo ameelezwa, ktk barua yake ya kulitaarifu Jeshi la Polisi hakuainisha dhumuni la kufanya mkutano huo
Soma > https://jamii.app/MsigwaPolisi

RAIA WA NIGERIA WANAOTUHUMIWA KWA KESI YA #DAWAZAKULEVYA NAO WAMUANDIKIA BARUA DPP KUKIRI MAKOSA YAO
- Washtakiwa hao ni Henry Ozoemana Ogwuanyi(Mchungaji), Onyebuchi Ogbu na Lucy Oding waliokutwa na Kilo 15.8 za Heroin
Zaidi, soma > https://jamii.app/NigeriansDPP

AFRIKA KUSINI: ALIYEAJIRI MAJAMBAZI KWA AJILI YA KUMUUA BABA YAKE AFUNGWA MAISHA
> Brutus Mhlanga alitaka kumuua Baba yake kwa sababu amekuwa akimsumbua kwa kumshauri kuhusu madhara ya #DawaZaKulevya
> Mwaka 2017 aliajiri majambazi 3
Soma > https://jamii.app/MhlangaAfungwa

CPJ IMEITAKA BURUNDI KUWAACHIA WANAHABARI 4 INAOWASHIKILIA
> Waliokamatwa ni Christine Kamikazi, Agnès Ndirubusa, Egide Harerimana, Térence Mpozenzi na dereva wao Adolphe Masabarikiza
> Walikuwa wakiripoti uwepo wa ghasia nchini humo
Soma > https://jamii.app/IwacuCPJ

MISRI YAKUMBWA NA MAFURIKO, WATU 11 WAPOTEZA MAISHA
> Takriban watu 11 wamefariki wakiwemo watoto 4 na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya mafuriko makubwa yaliyotokana na mvua kunyesha Jumanne na Jumatano kuikumba nchi ya Misri hasa katika mji wa Alexandria
> Mamia ya watu wamelazimika kubaki katika nyumba zao baada ya mitaa mingi ya mji huo kujaa maji na kushindwa kupitika
Soma - https://jamii.app/DisasterEgyptFloods

UTAMADUNI WA KIAFRIKA NA MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME
> Katika utamaduni wetu kama Waafrika/Watanzania, Mwanaume ndio huwa wa kwanza siku zote kueleza hisia zake kwa binti kama anamuhitaji kimapenzi
> Inaonekana kama vile Msichana anayemtaka kimapenzi Mwanaume ni muhuni/mapepe/malaya. Tabia hii bado watu wanaona kama si tabia ya kawaida
> Je, wewe unaona ni sawa kwa msichana kumtongoza mwanaume au bado tubaki na mila/utamaduni wetu wa mwanaume kumtongoza mwanamke?
Kwa mjadala zaidi - https://jamii.app/MwanamkeKutongozaMwanaume
#JFMahusiano

SABABU 4 ZA KWANINI UACHE AU UPUNGUZE KUTUMIA BIDHAA ZA PLASTIKI
> Plastiki ina sumu inayoweza kukufanya uugue, huathiri afya ya uzazi, huongeza unene na kuharibu mazingira
> Inashauriwa kutumia vyombo vya udongo, kioo, mbao au hata vya aluminiamu
Soma > https://jamii.app/AthariPlastiki

MAHAKAMA YAWATAKA POLISI KUELEZA SABABU ZA KUKAA NA MTUHUMIWA SIKU 14
> Mahakama ya Kisutu imewataka Wakuu wa vituo vya Polisi Kijitonyama na Oysterbay kufika Mahakamani hapo leo, Oktoba 25 kueleza sababu za kukaa na Elizabeth Balali kwa siku 14 badala ya kumpeleka Gereza la Segerea kama Mahakama ilivyoagiza
> Elizabeth anakabiliwa na mashtaka ya kujipatia Tsh. Milioni 25 kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji fedha
Soma - https://jamii.app/PolisiKujielezaMahakamani

MAHAKAMA KUU YAKUBALI ACT-WAZALENDO KUJIUNGA KWENYE KESI KUHUSU UKOMO WA URAIS
> Imekubali ombi la Chama cha ACT-Wazalendo kujiunga kama Washtakiwa kwenye kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Dezydelius Mgoya, maarufu kama Mkulima, kuhusu Ukomo wa Urais
> Mgoya anahoji Ibara ya 40 (20) ya Katiba ambayo imeweka ukomo wa mihula miwili tu ya miaka 5-5 ya uongozi
Soma - https://jamii.app/ACTKesiUkomoRais

RIPOTI YA BENKI YA DUNIA (WB) YATAJA VIKWAZO 12 VYA UFANYAJI BIASHARA TANZANIA
> Vikwazo hivyo ni mazingira ya kuanzisha biashara, kupata kibali cha ujenzi, upatikanaji wa umeme, usajili wa bidhaa, kuwalinda wawekezaji, makato katika kodi, uingizaji wa bidhaa mipakani, uingiaji wa mikataba, kuajiri wafanyakazi, pamoja na mikataba kati ya wawekezaji na Serikali
Soma - https://jamii.app/WBVikwazoBiasharaTZ