KIGOMA: MGANGA WA KIENYEJI KIZIMBANI AKIDAIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 8
- Venas Edward(48) anatuhumiwa kumbaka Mtoto aliyepelekwa kwake na Mama yake ili atibiwe
- Alimuagiza Mama wa Mtoto aende kununua wembe na yeye akatenda kosa hilo
Soma > https://jamii.app/MgangaMahamaniKubaka

SPORTPESA YAWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 400 BAADA YA KUSITISHA BIASHARA KENYA
> Kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri imewafukuza kazi wafanyakazi baada ya kusitisha shughuli zake kutokana na mvutano na Serikali baada ya leseni yao kusitishwa kwa tuhuma za kutolipa kodi
Soma - https://jamii.app/SportPesaSacksEmployees

FAHAMU KUHUSU UKOMO WA HEDHI KWA MWANAMKE
> Umri wa mwanamke kufikia ukomo wa hedhi huwa kati ya miaka 45-55, jambo hili linaweza pia kutokea mapema au linaweza isitokee hadi miaka 60 na zaidi
> Matatizo ya kawaida yanayohusiana na kipindi hicho ni kupata joto la ghafla mwilini, kuhisi baridi, kukosa usingizi na kuishiwa nguvu
> Mabadiliko ya homoni hasa kupungua kwa Estrogen huchangia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, kutokufika kileleni mapema na kupata maumivu wakati wa tendo kutokana na uke kuwa mkavu/kusinyaa
Fahamu zaidi - https://jamii.app/AfyaUkomoHedhi

KUKATIKA KWA UMEME DAR: MUONGOZA MIFUMO ASIMAMISHWA KAZI
> Waziri Kalemani amemsimamisha kazi muongoza mifumo wa kituo cha kupoza umeme cha Ubungo, Samson Mwangalume baada ya umeme kukatika usiku wa kuamkia leo huku chanzo kikielezwa kuwa ni uzembe
Soma - https://jamii.app/SimamishoKaziUmeme

MBEYA: MKUU WA MKOA AWACHARAZA VIBOKO WANAFUNZI WALIOKAMATWA WAKIWA NA SIMU
> RC Albert Chalamila amewachapa viboko vitatu kila mmoja, Wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja
> Wanafunzi kumiliki simu kumetajwa kuwa chanzo cha mabweni kuteketea kwa moto Oktoba 1, 2019
Soma > https://jamii.app/RCMbyWanafunzi

MICHEZO: Klabu ya Ligi ya Kuu Soka nchini Ufaransa, Nice imemfuta kazi mchezaji wake, Lamine Diaby – Fadiga (18) baada ya kukiri kuiba saa ya mchezaji mwenzake, Kasper Dolberg yenye thamani ya paundi 62,000
-
Dolberg (21) aliibiwa saa yake katika chumba cha maandalizi mnamo Septemba 16, na kuripoti kisa hicho kwa maafisa wa Polisi
-
Fadiga anawakilisha Ufaransa katika kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18

KAMPUNI 209 ZA UJENZI ZAFUTIWA USAJILI NA CRB
> Bodi ya Usajili wa Wakandarasi imezifutia usajili Kampuni hizo baada ya kushindwa kuendana na vigezo vya Bodi ikiwemo kushindwa kulipia ada ya leseni kwa miaka 2 mfululizo
> Kampuni zote hizo ni za wazawa
Soma - https://jamii.app/SitishoUsajiliKampuniUjenzi

BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOROGORO YAVUNJWA
> Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Maji, Prof. Mbarawa kwa niaba ya Serikali
>Bodi hiyo inatuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake
Zaidi, soma => https://jamii.app/BodiMORUWASA

KENYA: UGONJWA USIOTAMBULIKA WAIBUKA KATIKA SHULE YA STAREHE
> Shule hiyo ya Wasichana imefungwa baada ya kugundulika kwa visa vya dalili za ugonjwa ambao bado haujatambulika
> Wanafunzi 52 wametengwa baada ya kukohoa sana, kupiga chafya na kupata homa kwa kiwango cha chini
Soma - https://jamii.app/StareheSchoolMysteryDisease

UGANDA: MWANAMKE AAZIMA MTOTO KUMLAGHAI MPENZI WAKE KUWA AMEJIFUNGUA
> Polisi wanamshikilia Annet Kabalisa aliyemgawa Mtoto wake wa miezi 3 kwa Annet Kobusinge ili amlaghai mpenzi wake Moses Musinguzi ili aendelee kutoa huduma
Soma > https://jamii.app/PolisiVsWomanUG

HONG KONG: WATUMISHI 2 WA SHIRIKA LA NDEGE LA AFRIKA KUSINI WAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA #DAWAZAKUELEVYA
> Walikamatwa kwa tuhuma hizo kati ya tarehe 23 na 24, Septemba 2019
> Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 6.8
Soma > https://jamii.app/SAAHongKong

TUNDU LISSU AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA HUDUMA ZA SHERIA KWA AJILI YA KULINDA HAKI ZAKE
> Lissu ameingia mkataba na Kampuni ya Amsterdam and Partners LLP itakayomsaidia kumsimamia katika masuala ya kisheria na Mahakama za Kimataifa
Soma >https://jamii.app/LissuLLP

SERIKALI YATAJA MAENEO YENYE VIASHIRIA VYA KUWA NA MAFUTA
> Maeneo hayo ni Ukanda wa Ziwa Rukwa, Ziwa Tanganyika na Kitalu cha Eyasi Wembere chenye ukubwa wa Kilometa za mraba 19.2
> Mafuta hayo yanategemewa kuja kulinufaisha Taifa siku za usoni
Soma > https://jamii.app/ShehenaMafutaTz

MFAHAMU DKT. SHRIKANT JICHKAR RAIA WA INDIA ALIYEKUWA NA SHAHADA ZIPATAZO 20 ZA TAALUMA MBALIMBALI
> Marehemu Dkt. Shrikant Jichkar anatajwa kuwa ndiye alikuwa msomi wa kwanza duniani kuwa na maktaba yake binafsi yenye vitabu takriban 52,000
> Shrikant Jichkar mpaka anafariki alikuwa ana jumla ya shahada (Degrees) 20 alizozipata katika vyuo 42 alivyowahi kusoma
Zaidi, soma => https://jamii.app/ShrikantJichkar

UFARANSA: ASKARI 4 WAUAWA KWA KUSHAMBULIWA NA KISU NA ALIYEVAMIA MAKAO MAKUU YA POLISI
> Mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuanza kuwashambulia askari hao ambao ofisi zao ziko karibu na Jengo la Kanisa la Kihistoria la Notre Dame
Soma > https://jamii.app/ShambuliziPolisiParis

TAARIFA YA MAGONJWA YA MLIPUKO: MAAMBUKIZI YA DENGUE YAPUNGUA
> Kwa Kipindi cha Mwezi Septemba 2019, jumla ya wagonjwa 10 walithibitishwa kuwa na Homa ya Dengue na hakukuwa na kifo
> Takwimu za Julai - Septemba zimeonesha kupungua kwa ugonjwa huu kwa kuwa na wagonjwa 732 Julai, Agosti wagonjwa 92 na Septemba wagonjwa 10
Soma - https://jamii.app/RipotiMagonjwaMlipuko

CHADEMA YASEMA KAMATI ILIBADILISHA RATIBA YA UCHAGUZI
> Taarifa ya chama hicho inaeleza kuwa Kamati Kuu ya Chama ilikaa kikao Julai 27 na 28, 2019, na kurekebisha ratiba ya uchaguzi ambapo utakamilika mwezi Desemba kwa ngazi ya Taifa
> Aidha, kinaifanyia kazi barua ya Msajili wa Vyama ndani ya muda husika uliotajwa
Soma - https://jamii.app/TaarifaCDMUchaguzi

KILIMANJARO YAZINDUA ATM YA KWANZA YA MAZIWA
> RC wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi yenye uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha
> Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya ambapo wameweka ATM 3, moja ikiwa Moshi, Hai na nyingine ipo Arusha
Soma - https://jamii.app/UzinduziATMMaziwa

KENYA: WATU 13 WAFARIKI NA 35 KUJERUHIWA KATIKA AJALI
- Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Kisumu-Kericho karibu na eneo la Awasi
- Basi la abiria la Eldoret Express kutoka Kisumu limegongana uso kwa uso na Lori
Zaidi, soma https://jamii.app/13KilledRoadAccident-KE

MAAFISA WA POLISI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA RUSHWA
> Maafisa upelelezi wa Polisi kituo cha Kawe, Dar wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 9 likiwemo la kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 200 na kupokea zaidi ya Tsh. Milioni 15
> Washtakiwa hao ni Shaban Shillah, Joyce Kita, Ulimwengu Rashid na Emmanuel Njegele
Soma - https://jamii.app/PolisiKizambaniRushwa