TANZANIA YAWAREJESHA WAKIMBIZI 600 BURUNDI
> Mabasi yaliyokuwa yamebeba wakimbizi hao waliorudishwa kwa hiari yao yaliwasili jana kwenye mpaka wa Gisuru, Mashariki mwa Burundi
> Bado kuna wakimbizi wa Burundi 225,000 nchini Tanzania
Soma - https://jamii.app/UrejeshoWakimbiziBRN

TETESI SOKA: Kocha wa zamani wa Juventus, Max Allegri ameripotiwa kwamba ameanza kujifunza lugha ya Kingereza ikielezwa ni mwanzo wa maandalizi yake ya kwenda kuinoa Klabu ya Manchester United
-
Kocha wa sasa wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjaer amekuwa kwenye presha kubwa baada ya kikosi chake kuanza msimu vibaya, ambapo kwa sasa timu inashika nafasi ya 10 Ligi Kuu England
-
Kumekuwa na orodha ya makocha kadhaa wanaohusishwa na kibarua cha Man United, ambapo ukimweka kando Allegri wengine ni Mauricio Pochettino na Brendan Rodgers

RC MBEYA AWATIMUA WANAFUNZI NA KUWATAKA KULIPA FEDHA YA UJENZI
> Ameamuru wanafunzi 392 wa kidato cha 5 na 6 katika Shule ya Sekondari Kiwanja kurudi nyumbani hadi Oktoba 18 na warejee na Tsh. 200,000 kila mmoja kwa ajili ya ukarabati wa mabweni yanayodaiwa kuchomwa moto na baadhi yao
> Wanafunzi 14 aliowachapa viboko jana watatakiwa kulipa Tsh. 500,000 kila mmoja
Soma - https://jamii.app/RCAtimuaWanfnzMBY

MACHAFUKO CAMEROON: RAIS AAMURU WATUHUMIWA WAACHIWE HURU
> Rais Paul Biya ameamuru kuachiliwa huru kwa watu 333 wanaoshutumiwa kuhusika katika mgogoro uliozuka katika maeneo yanayozungumza Kiingereza
> Msamaha huu hauwahusu ambao tayari wamehukumiwa
Soma - https://jamii.app/BiyaFreesPrisoners

SAMSUNG YAFUNGA KIWANDA CHAKE CHA SIMU NCHINI CHINA
> Kampuni hiyo kubwa ya utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya elektroniki, imefunga kiwanda chake nchini China kutokana na kuongezeka kwa gharama za uzalishaji
> Kampuni ya Sony nayo inatarajia kusitisha uzalishaji wa vifaa vyake nchini humo
Soma - https://jamii.app/SamsungEndsProductionChina

RAIS AAGIZA WALIOCHOMA SHULE MBEYA KUFUKUZWA NA BODI YA SHULE IVUNJWE
> Rais John Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kwa kuwachapa viboko wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari Kiwanja Wilayani Chunya kwa madai ya kuhusika kuchoma moto mabweni mawili ya shule hiyo
Soma - https://jamii.app/RaisVibokoWanfzMBY

TUME YA KUAJIRI WALIMU YAWAFUTA KAZI WALIMU 36
> Tume ya kuwaajiri walimu nchini (TSC) imewafuta kazi walimu 36 kwa madai ya utovu wa nidhamu na majina ya walimu hao tayari yameondolewa kwenye orodha ya TSC
> Aidha, TSC wanashughulikia kesi za zaidi ya walimu 124 ambao wanatumikia marufuku, 30 wamepokea barua za onyo huku 17 wakiondolewa lawama
Soma - https://jamii.app/FukuzaWalimuNidhamu

TEKNOLOJIA: MAMBO UNAYOWEZA KUFANYA KWA KAMERA YA SIMU
> Kamera ya simu inaweza kufanya kazi nyingi za faida zaidi ya kutumika katika kupiga picha. Baadhi ya kazi hizo ni ku-Scan nyaraka, ukalimani na ku-scan barcodes
Zaidi, soma => https://jamii.app/CameraZaSimu
#JFTeknolojia

SINGIDA: MWEKA HAZINA AJILIPA POSHO KINYUME CHA UTARATIBU
> Waziri Mkuu amempa siku 3 (kabla ya Oktoba 7) Kaimu Mweka Hazina wa Halmashauri ya Itigi, Optatus Likiliwike arejeshe Tsh. milioni 1.6 ambazo alijilipa kama posho ya safari kinyume cha utaratibu
> Pia, ametakiwa kurejesha Tsh. milioni 196 za ujenzi wa ofisi ya Halmashauri, ambazo zimetumika kinyume na zilivyopangiwa
Soma - https://jamii.app/RejeshoPoshoSafari

RUKWA: LUGOLA AWAONDOA VIONGOZI WA POLISI PAMOJA NA ASKARI 6
> Waziri wa Mambo ya Ndani amewaondoa katika nyadhifa zao Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Nkasi (OCD), Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya (OC CID) na Mkuu wa Kituo cha Polisi Namanyere (OCS) kwa kuwa wameshindwa kuimudu kazi yao ipasavyo
> Pia, ameagiza askari 6 wa Kituo cha Namanyere na Kirando waondolewe kutokana na wananchi kuwalalamikia kwa kushindwa kuwasaidia
Soma - https://jamii.app/ViongoziPolisiWaondolewa

MAANDAMANO IRAQ: IDADI YA VIFO YAZIDI KUONGEZEKA
> Idadi ya vifo vya watu inazidi kuongezeka kufuatia maandamano yaliyozuka siku nne zilizopita ya kupinga Serikali ya nchi hiyo ambapo Imeripotiwa kuwa zaidi ya watu 100 wameshapoteza maisha mpaka sasa na zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa
> Idadi hiyo ni ongezeko kubwa ndani ya saa 24 zilizopita
Soma - https://jamii.app/DeathRiseIraqProtests

UPUNGUFU WA MADINI CHUMA NA ULEVI NI SABABU ZA KUZAA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO
> Upungufu wa madini ya chuma mwilini, viini lishe, ulevi uliopindukia, ugomvi uliokithiri wakati wa ujauzito, matumizi ya dawa bila maelekezo na kujifungua katika maeneo yasiyo salama zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia watoto kuzaliwa na mtindio wa ubongo
Soma - https://jamii.app/MaadhimishoUtindioUbongo

ENGLAND: LIVERPOOL YAPATA USHINDI WAKE WA 8 MSIMU HUU
- Liverpool imeendelea kujikita kileleni mwa Ligi Kuu Nchini England baada ya leo kupata ushidi katika dakika za lala salama dhidi ya Leicester City
- Norwich ikiwa nyumbani imeweza kupata kipigo kizito kutoka kwa Aston Villa baada ya kutandikwa goli 5-1

BUNGE LAIAMURU IKULU YA MAREKANI KUTOA NYARAKA ZOTE ZA MAWASILIANO YA TRUMP
> Kamati za Bunge la Marekani zinazoendesha uchunguzi dhidi ya Rais Donald Trump zimeiamuru Ikulu ya Marekani kuwasilisha nyaraka zote za mawasiliano kati ya Rais Donald Trump na Ukraine
> Amri hiyo imetolewa baada ya Ikulu ya Marekani kushindwa kutoa kwa hiari nyaraka hizo
Soma - https://jamii.app/CommitteesSubpoenaedWhiteHouse

WAZIRI MKUU AAGIZA DED ACHUNGUZWE KWA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA
> Ameiagiza TAKUKURU Mkoa wa Singida kumchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama, Godfrey Sanga
> Baadhi ya tuhuma alizonazo ni kujilipa posho ya safari Mwezi Machi 2019 bila kusafiri, kuwasainisha watumishi wa chini yake vocha ya zaidi ya Tsh. milioni 1 na kisha kuwapa ‘Asante Kidogo’
Soma - https://jamii.app/DEDUchunguziUbadhilifu

JE, UNAMJUA ROBERT PERSHING MADLOW, MTU MREFU ZAIDI DUNIANI?
- Alizaliwa Februari 22, 1918 akiwa na uzito wa takriban Kilogram 3.94 lakini tofauti na watoto wengine alianza kukua kwa haraka na kuwa na urefu usio wa kawaida
- Alipofikisha mwaka mmoja alikuwa na uzito wa takriban Kilogram 20.4 na urefu wa Sentimita 100.33 na alipofikisha miaka 8 aliupita urefu wa baba yake wa Sentimita 180.34
Zaidi, soma https://jamii.app/MtuMrefuDunia

MAISHA: JE, ULIANZA MWAKA NA MIPANGO GANI, UNAENDELEA NAYO?
> Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kujiwekea malengo ya kuanza nayo mwanzo wa mwaka
> Imezoeleka watu kuanza mwaka kwa mikakati wa kufanya mazoezi, kula kwa afya na kuweka akiba ya fedha lakini mikakati hiyo huwa haidumu
Soma > https://jamii.app/MwanzoMwaka

HOJA: Miaka ya nyuma kulikuwa na tabia ya watu wanaozamia meli kwenda nchi za Ughaibuni, vijana wakiwa ni wahanga wakubwa
- Walikuwa wakikimbilia huko Ughaibuni kwa lengo la kutafuta maisha
Je, ni kweli Ughaibuni kuna maisha bora kuliko nyumbani?
Zaidi, fuatilia mjadala https://jamii.app/MaishaUghaibuni

MICHEZO: Kufuatia waliokuwa wachezaji wa Klabu ya Yanga kufikisha malalamiko yao katika Chama cha Haki za Wachezaji Tanzania (Sputanza), klabu hiyo imejikuta ikifikishwa katika Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji kujibu mashitaka
Wachezaji hao ambao ni pamoja na Pato Ngonyani, Mwinyi Haji na Antony Matheo walipeleka malalamiko ya kudai fedha zao za mishahara ya miezi miwili pamoja na fedha ya usajili
Mwenyekiti wa Sputanza, Mussa Kisoki amesema wamepokea malalamiko kutoka kwa wachezaji hao ambapo tayari wameshayawasilisha kwa Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao kwa ajili ya kufanyia kazi