KISUTU: ERICK KABENDERA ASEMA ALIPELEKWA HOSPITALI KUPIMWA
- Kabendera amefikishwa tena katika Mahakama ya Kisutu leo akiwa bado anachechemea
- Asema, amepimwa afya katika hospitali ya Amana na vipimo vya awali vimeonesha ana matatizo ya mgongo
Zaidi, soma https://jamii.app/KabenderaApimwaAfya

JAMHURI YAMUWEKEA PINGAMIZI ALIYEFUNGUA KESI YA UKOMO WA URAIS
- Imeweka pingamizi la awali ikiiomba Mahakama iitupilie mbali kesi bila kuisikiliza
- Patrick Mgoya alifungua kesi akiiomba Mahakama itafsiri Ibara ya Katiba ya Ukomo wa Urais
Zaidi, soma https://jamii.app/PingamiziKesiUkomoUrais

ZIMBABWE IKO MBIONI KUINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA MAHINDI KUTOKA TANZANIA
> Makubaliano yanatarajiwa kufikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu. Kiwango cha Mahindi kutajwa baadaye
> Zimbabwe ilikumbwa na ukame na mafuriko mwanzoni mwa mwaka huu
Soma > https://jamii.app/ZimbabweTanzaniaMahindi

SHIRIKA LA NDEGE LA KENYA KUTAIFISHWA
- Shirika hilo linalopata hasara linamilikiwa kwa 48.9% na Serikali na Shirika la ndege la Ufaransa-KLM linamiliki 7.8%
- Mwenyekiti wa Bodi amesema lazima wakwepe Wanasiasa ktk Bodi baada ya kutaifishwa
Zaidi, soma https://jamii.app/KEAirways-Politician

SHULE YA OLD TANGA YATEKETEA KWA MOTO
> Shule hiyo ya Sekondari iliyopo Jijini Tanga inateketea kwa moto muda huu na chanzo cha moto huo hakijajulikana
> Taarifa za awali zinaeleza kuwa Kikosi cha Zimamoto tayari kimefika na kuanza zoezi la kuzima moto na uokoaji

MAHAKAMA YAAMURU DC WA CHEMBA KUMLIPA MKEWE MILIONI 7
- Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar imeitupilia mbali kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na DC wa Chemba, Simon Odunga dhidi ya mkewe, Medilina Mbuwuli aliyefunga naye ndoa Kanisani
Zaidi, soma https://jamii.app/DCChembaKumlipaMkewe

KIGOMA: MWALIMU ALIYEACHIWA HURU BAADA YA MWANAFUNZI KUMKANA, AKAMATWA TENA
- Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, Jason Rwekaza aliyeachiwa katika shtaka la ubakaji anashikiliwa akihusishwa kumfanya Mwanafuzi kubadili maelezo
Zaidi, soma https://jamii.app/MwalimuKubakaAkamatwaTena

BUKOMBE, GEITA: KUKU WAFUNGWA KANDO YA MASHIMO YA MADINI ILI KUONGEZA UZALISHAJI
> Kuku hao wameonekana katika mgodi wa Ikuzi uliopo Wilaya ya Bukombe. Katika moja ya mashimo yupo Jogoo aliyeletwa mgodini hapo akiwa kifaranga
Zaidi, soma => https://jamii.app/KukuMgodiniBukombe

ADHABU YA VIBOKO KWA WATOTO YABAKIA KUWA KOSA NCHINI AFRIKA KUSINI
> Kuwaadhibu watoto kwa viboko ni kosa na ni kinyume cha Katiba ya Taifa hilo
> Adhabu za viboko nchini humo zilikomeshwa mwaka 1995 Gerezani na Shuleni mwaka 2000
Zaidi, soma > https://jamii.app/VibokoWatoto-SA

MOROGORO: MILANGO YA KITUO CHA AFYA YAMPONZA MHANDISI, ASIMAMISHWA KAZI
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Brown Undule kwa kushindwa kutekeleza majukumu
- Asema hajaridhishwa na milango iliyotumika kwani mtu wa nje anamuona wa ndani
Zaidi, soma https://jamii.app/MlangoMhandisiAsimamishwa

MICHEZO: Mechi za awali michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa siku ya leo zimemalizika kwa Tottenham kutoka sare ya goli 2-2 na Olympiakos. Pia, Brugge kutofungana na Galatasaray
- Katika michezo inayofuata, michezo inayosubiriwa kwa hamu ni kati ya PSG na Real Madrid na mwingine kati ya Juventus na Atletico Madrid

MATOKEO YA MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA
- Real Madrid ikiwa ugenini, nyumbani kwa Paris St. Germain(PSG) imechezea kichapo cha goli 3-0 huku Mchezaji wa zamani wa timu hiyo aliyepo PSG kwa sasa, Angel Di Maria akifunga magoli mawili
- Katika michezo mingine, Juventus imelazimishwa sare ya goli 2-2 na Atletico Madrid iliyokuwa katika dimba la nyumbani huku Manchester City ikiifunga Shakhtar Donetsk goli 3-0

TEKNOLOJIA: 'Umeme Jua' ni umeme rafiki kwa mazingira unaoweza kusaidia wale ambao hawajafikiwa na umeme wa TANESCO au kama nyongeza endapo umeme wa kawaida ukikatika
- Nishati hii hutokana na mwangaza wa jua unaonyonywa kwa vifaa maalumu
- Jifunze kuhusu mahitaji ya vifaa kupata 'Umeme Jua' kulingana na ukubwa wa matumizi yako.
Zaidi, soma => https://jamii.app/ElimuBureUmemeSola

BIASHARA 5 UNAZOWEZA KUZIANZISHA WAKATI WOWOTE NA ZIKAFANIKIWA
> Biashara hizo ni za kuuza mazao ya chakula, kupika na kuuza chakula, huduma za mavazi, ufugaji wa Kuku na Samaki, pamoja na biashara ya kilimo cha mbogamboga na matunda
Zaidi, soma > https://jamii.app/Biashara5
#JFBiashara

UGANDA: KIJANA AHUKUMIWA KUFANYA KAZI ZA KIJAMII KWA KULAZIMISHA KUMUOA MKE WA MAREHEMU MJOMBA WAKE
> Mahakama ya Kitgum imemkuta na hatia kijana Denis Omara ya kutaka kumuoa kwa nguvu Betty Aloyo(34) ambaye ni mke wa marehemu Mjomba wake
Soma >https://jamii.app/OmaraUganda

KISUTU: ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA ACT AHUKUMIWA MIAKA 6 JELA
- Salma Mntambo amehukumiwa kwa kukutwa na hatia katika mashtaka 17 yakiwemo ya kujipatia fedha kidanganyifu
- Amewahi kugombea Ubunge Jimbo la Korogwe Mjini mwaka 2015
Zaidi, soma https://jamii.app/AliyegombeaACTAhukumiwa

KENYA: MWANAUME AREJEA KWA MKEWE MIKONO MITUPU BAADA YA KUTOWEKA KWA MIAKA 51
> Francis Chege(81) aliondoka 1968 akimuacha Mkewe na Watoto 6
> Asema alienda kufanya biashara lakini hakufanikiwa akarudi kukata mkaa pori la Mau alikooa tena
Zaidi, soma > https://jamii.app/Muthua-Arejea

ZANZIBAR: WATENDAJI WA TUME NA ASKARI WA ULINZI WATAPIGA KURA SIKU 1 KABLA YA UCHAGUZI
> Utaratibu huu umelenga kutoa fursa kwa makundi hayo kupata haki yao ili watimize majukumu yao kwa uhuru
> Viongozi wa upinzani wautilia shaka utaratibu huo
Soma > https://jamii.app/AskariUchaguziZNZ