BUNGE LARIDHIA SEHEMU YA PORI LA SELOUS KUWA HIFADHI YA NYERERE
> Bunge la Tanzania limeridhia kubadilishwa kwa sehemu ya pori la akiba la Selous kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, eneo ambalo lina ukubwa wa Kilomita za mraba 30,893
> Baadhi ya wabunge walipendekeza libadilishwe pori zima kuwa Hifadhi
Soma - https://jamii.app/PoriSelousHifadhi

MAREKANI: WATU WANNE HAWAJULIKANI WALIKO BAADA YA MELI KUPINDUKA
> Watu 23 wameokolewa kutoka ktk meli Golden Ray yenye urefu wa futi 656 iliyopinduka katika Brunswick
> Taarifa za awali zaonesha Meli hiyo ikiwa na dalili za kuwaka moto
Soma > https://jamii.app/MeliBrunswick

BAADA YA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU KUHUSU SHAURI LA LISSU, SPIKA ANENA
> Asema watu wakiheshimu mamlaka basi hawawezi kupata matatizo
> Kwa mwaka 1 anamuona Lissu akifanya shughuli mbalimbali lakini anashindwa kutoa taarifa ya dharula yake
Soma > https://jamii.app/NdugaiVsLissu

ILALA, DAR: TAKUKURU YAWAKAMATA MAAFISA WA WIZARA YA KILIMO KWA TUHUMA ZA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA RUSHWA
> Prisca Joseph na Flora Kuhabwa ambao ni Wakaguzi wa Mimea Bandarini wanatuhumiwa kwa kuzuia mizigo ili kushinikiza wapewe rushwa
Soma > https://jamii.app/MaafisaWizaraKilimoVsTAKUKURU

MZEE MWINYI: MUGABE ALIISAIDIA TANZANIA WAKATI WA SHIDA, NI RAFIKI WA KWANZA KWETU
> Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, amesema kuwa alipoingia madarakani mwaka 1985, alikuta hazina ya Tanzania ikiwa haina kitu
Soma > https://jamii.app/MugabeRafikiTz

DAR: ALIYEGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO(CCM) AJERUHIWA
> Innocent Melleck alivamiwa na vijana 2 waliokuwa na Pikipiki jirani na nyumbani kwake, alidhani wanahitaji msaada
> Aliposhusha kioo cha gari wakamfunika kwa kitambaa akapoteza fahamu
Soma > https://jamii.app/KadaCCMAjeruhiwa

BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA LA HAKI ZA BINADAMU LATOA RIPOTI, TANZANIA YATAJWA
> Kupitishwa kwa sheria ya usimamizi wa NGO Juni, 2019 kunatajwa kuwa kigezo kinachoweza kusababisha kuminywa kwa Uhuru wa NGO
Soma >https://jamii.app/TanzaniaVsOHCHR

CHEMBA: WALIMU WATAKIWA KUVUNJA MAKUNDI YAO YA WHATSAPP
> Barua inayoonekana kusainiwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo iliagiza kuvunjwa kwa makundi ya WhatsApp yanayotumika kutoa na kupokea taarifa za kiutendaji na kitaalam
Soma > https://jamii.app/WalimuWhatsAppChemba

JAMII YATAKIWA KUTOTUMIA ASALI NA MAFUTA KUTIBU MAJERAHA YA MOTO
> Daktari bingwa ktk Hospitali ya Muhimbili ameishauri jamii kuacha kutibu majeruhi ya moto kwa Asali na Mafuta badala yake watumie njia ya kumwagia majeruhi maji zaidi ya dakika 15
> Maji husaidia mwili wa mtu aliyeungua kupoa kutokana na joto alilopata
Soma - https://jamii.app/HoneyOilWounds

MISUNGWI, MWANZA: MTU 1 AFARIKI BAADA YA WATU 10 KUANGUKIWA NA KUFUSI CHA UDONGO KATIKA MGODI
> Wengine 8 wamenusurika baada ya kuokolewa katika ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia leo
> Juhudi za kumuokoa 1 aliyesalia zinaendelea
Soma > https://jamii.app/KifoMgodiMisungwi

KONG: BILIONEA JACK MA ATIMIZA MIAKA 55, ATANGAZA KUSTAAFU KUIONGOZA KAMPUNI YA ALIBABA
> Hatua hii ya Jack Ma, inakuja baada ya miongo 2 ya kuijenga kampuni hiyo hadi kufikisha kiasi cha Dola Bilioni 460 ktk mzunguko wake wa biashara
Soma > https://jamii.app/JackMaRetires

UJERUMANI YATOA BILIONI 32.7 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO
> Kupitia Benki yake ya Maendeleo imeipatia Tanzania Tsh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi wa Tumaini la Mama
Soma - https://jamii.app/MkopoAfyaUzaziGRM

FACEBOOK YADUKULIWA, TAARIFA ZA AKAUNTI MILIONI 210 ZAVUJA
> Jumla ya data zilizowekwa wazi zinaonesha ni data zinazohusisha akaunti milioni 419 ila Msemaji wa Facebook amesema baada ya kuzipitia wamegundua ni milioni 210
> Data hizo zimehusisha watumiaji wa Marekani zaidi ambapo akaunti milioni 133 kati ya 210 ni za nchi hiyo
Zaidi, soma - https://jamii.app/FBDatabaseExposed

SIERRA LEONE: WALINZI WA RAIS WATUHUMIWA KUWAPIGA WANAHABARI
> Walioshambuliwa ni Frances Barnard na Esther Samura wa SLBC Tv na Mwanahabari wa kujitegemea Alimmamy Kamara
> Tukio hilo lilitokea ktk mchezo kati ya Sierra Leone Vs Liberia
Soma > https://jamii.app/SierrraLeoneWanahabari
#JFLeo

KISUTU: MCHUNGAJI NA WAKEZE WAHUKUMIWA KWENDA JELA KWA KUINGIA NCHINI KINYEMELA
> Waliohukumiwa ni Mchungaji Kanisa la The Hill Lord, David Chirhuza(33) na wakeze Esther Sebuyange, Kendewa Ruth
> Wote waliiomba Mahakama iwasamehe
Zaidi, soma => https://jamii.app/MchungajiWakezeJela

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI: MTU MMOJA HUJIUA KILA BAADA YA SEKUNDE 40
> Vijana wa miaka 15-29 ndio waliotajwa kwa kuongoza kwa kujiua
> Matatizo ya uzazi, ajali na migogoro binafsi vyatajwa kuwa vichocheo vikubwa
Zaidi, soma => https://jamii.app/40SecsOnePersonDies
#WorldSuicidePreventionDay