DPP ASHAURIWA KUKAMILISHA USHAHIDI AU KUFUTA KESI YA MASHEKHE WA UAMSHO
> Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ameshauriwa kukamilisha upelelezi ndani ya muda mfupi ama kuiondoa Mahakamani kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake 22
> Washtakiwa hao wako ndani tangu mwaka 2014
Zaidi, soma - https://jamii.app/UpeleleziMashekheUamsho

HONDURAS: MKE WA RAIS WA ZAMANI AHUKUMIWA MIAKA 58 JELA
- Rosa Elena Bonilla (52) amehukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya kutumia Paundi 635,000 (takriban Tsh. Bilioni 1.8) za misaada ya Kimataifa na fedha za Umma kwa matumizi binafsi
Zaidi, soma https://jamii.app/MkeRaisAhukumiwa-HNDRS

ASKARI AKAMATWA KWA KUDAIWA KUTAKA KUMUUA MTOTO WA DADAYE
- Ni Askari wa FFU wa Mkoani Dodoma, Christopher Kione (23) anayetuhumiwa kunywesha sumu mtoto (7)
- Mtoto alitibiwa katika Hospitali ya Dodoma kwa siku 11 na baadaye kuruhusiwa
Zaidi, soma https://jamii.app/AskariAuaMtotoDadaye

ZAMBIA: MCHUNGAJI AFARIKI KWA UTAPIAMLO BAADA YA KUFUNGA SIKU 20
> Mchungaji Brighton Samajomba kutoka Zambia, amefariki kwa kinachotajwa kupatwa na Utapiamlo akiwa katika mfungo ambao alikuwa anadhamiria kufikisha siku 30
> Mpaka anafariki alikuwa amefikisha siku 20
Soma - https://jamii.app/MchungajiKifoMfungo

TANZIA: ALIYEWAHI KUWA RAIS WA ZIMBABWE, ROBERT MUGABE AFARIKI DUNIA
> Robert Mugabe amefikwa na umauti katika Hospitali moja nchini Singapore alikokuwa akipatiwa matibabu
> Mugabe aliyeondolewa madarakani na Jeshi mwaka 2017 alianza matibabu nchini Singapore mwezi Aprili, 2019
Zaidi, soma => https://jamii.app/RIPMugabe

MAWAZIRI WA UGANDA NA TANZANIA KUJADILIANA KUHUSU BOMBA LA MAFUTA
> Waziri wa Viwanda amesema, mawaziri wa Tanzania na Uganda watakutana na kujadiliana suala la mradi wa bomba la mafuta na kutoa taarifa rasmi
> Amesema, jambo la msingi ni ujenzi kuendelea bila kujali ni nani ametoka katika mradi
Zaidi, soma - https://jamii.app/MajadilianoBombaMafuta

JAMIIFORUMS YATWAA TUZO YA UHAMASISHAJI WA UHURU WA KUTOA NA KUPATA TAARIFA
- Umoja wa Klabu za Wanahabari Tanzania (Union of Tanzania Press Clubs) umetoa tuzo ya mwaka 2019 ya Daudi Mwangosi kwa Taasisi ya JamiiForums leo
Zaidi, soma https://jamii.app/JFTuzoDaudiMwangosi2019

DAR: WATU SITA KIZIMBANI KWA KUSAFIRISHA BANGI
- Wafanyabiashara watano na dereva mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hapo jana
- Wanadaiwa kukutwa njia panda ya Segerea Wilayani Ilala wakisafirisha bangi Kilo 197.49
Zaidi, soma https://jamii.app/SitaKizimbaniBangi

UFARANSA: JOGOO ALIYEDAIWA KUPIGA KELELE ASHINDA KESI DHIDI YAKE
- Wanandoa waliostaafu Kazi katika Kisiwa cha Oleron walimshtaki Jogoo huyo kwa kuwika na kuwapigia kelele
- Mmiliki wa Jogoo huyo atalipwa fidia ya takriban Tsh. Milioni 2.5
Zaidi, soma https://jamii.app/JogooAshindaKesi-UFRNS

NICKI MINAJ ATANGAZA KUACHANA NA BIASHARA YA MUZIKI
- Mwimbaji huyo wa miziki ya miondoko ya Hip Hop, ametangza kuwa anastaafu biashara ya Muziki ili aweze kuanzisha familia
- Ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter
Zaidi, soma https://jamii.app/NickMinajKustaafuMuziki

INDIA: MWANAMKE WA MIAKA 73 AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA
- Mangayamma Yaramati amejifungua kwa mayai yake ya uzazi kuanguliwa nje ya mfuko wa uzazi na baadae kuchanganywa na mbegu za kiume na kisha kupandikizwa ndani ya mfuko wake wa uzazi
Zaidi, soma https://jamii.app/Miaka73Ajifungua-IND

RAIS MAGUFULI AMSHAURI RAIS MUSEVENI KUFUKUZA WATENDAJI WANAOKWAMISHA MAENDELEO
- Rais Magufuli amemtaka Rais Museveni kuwa mkali kwa Watendaji wanaokwamisha ujenzi wa bomba la mafuta
- Ametoa mfano kuwa alipoingia madarakani alibadili Makamishna Wakuu wa TRA watano ili kuongeza ufanisi
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliAmshauriMuseveni

WATU 28 WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU GARI LA DC
> Wamewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali likiwamo gari la Mkuu wa Wilaya hiyo, Claudia Kita
> Agosti 28, katika Kijiji cha Mpunguti kundi la vijana waliharibu magari mawili ya Serikali ambapo gari 1 lilivunjwa vioo vyote kwa kupigwa mawe
Zaidi, soma https://jamii.app/KizimbaniShambuliziGariDC

MUSOMA, MARA: KATIBU WA MSIKITI MBARONI KWA UTAPELI
- TAKUKURU inamshikilia Katibu wa Msikiti wa Rahman, Shaban Mohamed Kalla(30) kwa kujifanya Kamanda wa TAKUKURU
- Mtuhumiwa anadaiwa kujihusisha na utapeli na kujipatia fedha kwa udanganyifu
Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniKujifanyaTAKUKURU-Mara

WANAOJIUZA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI SITA KILA MMOJA
> Polisi Mkoani Dodoma imewakamata na kuwafikisha Mahakamani watu 15 wanaofanya biashara ya ngono ambao kila mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela bila kulipa faini
> Wanaume 4 waliosadikiwa kuwa ni wateja wao wameachiwa baada ya kukosekana ushahidi
Zaidi, soma https://jamii.app/JelaMiezi6Wanaojiuza

KENYA: AKAMATWA KWA KUCHINJA NA KUMPIKA MBWA
- John Munene amekamatwa nyumbani kwake baada ya Polisi kukuta nyama ya Mbwa ikichemshwa na nyingine imehifadhiwa
- Hata hivyo, DPP Noordin Haji ameagiza aachiwe na apewe chakula cha kutosha
Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniKuuaMbwa-KE

DAR: AUAWA AKIDAIWA KUJARIBU KUMPORA PAROKO
- Mtu mmoja ameuawa baada ya kujaribu kumpora Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresa ya Mbezi
- Alifariki baada ya kupigwa risasi kiunoni na Askari anayelinda Kanisani hapo
Zaidi, soma https://jamii.app/AuawaAkijaribuKumuibiaParoko

KIFO CHA MUGABE: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO
- Ametangaza siku 3 za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe
- Katika siku hizo 3 zinazoanza leo hadi Septemba 08, bendera itapepea nusu mlingoti
Zaidi, soma https://jamii.app/Siku3MaombolezoMugabe

YANGA YAKATAA KUVAA JEZI YENYE NEMBO YA VODACOM KISA RANGI NYEKUNDU
- Imesema haina utamaduni wa kuvaa rangi nyekundu bali kijani, njano na nyeusi
- Imesema hali mbaya ya kiuchumi ya klabu yao isiwe sababu ya kuwafanya wageuke Katiba yao
Zaidi, soma https://jamii.app/YangaYakataaJezi

SERIKALI YATANGAZA KUTONUNUA KOROSHO MSIMU UJAO
- Imesema katika msimu ujao wa mavuno, mfumo utakuwa wa Wafanyabiashara kununua korosho hizo
- Katika mfumo huo, imesema yenyewe itasimamia utaratibu wa ununuzi ili usimuathiri mkulima
Zaidi, soma https://jamii.app/SerikaliKutonunuaKorosho